Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
12.31.2018
Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 61
Ukiwa na ufahamu wa hali yako mwenyewe basi utafanikisha mapenzi Yangu. Kwa kweli, mapenzi Yangu si magumu kushika, ni kwamba tu katika siku zilizopita hukuweza kutafuta kulingana na lengo Langu. Ninachotaka si dhana wala fikira za binadamu, sembuse pesa zako wala mali yako. Ninachotaka ni moyo wako, unaelewa? Haya ni mapenzi Yangu, na hata zaidi ni kitu ambacho Nataka kupata. Watu daima hutumia dhana zilizo akilini mwao kunifanyia maamuzi, na kuhakiki kimo Changu wakitumia Vipimo vyao.
12.30.2018
Watu Wanamjua Mungu Bora Kupitia Kazi ya Maneno
Watu Wanamjua Mungu Bora Kupitia Kazi ya Maneno
I
Mungu wa siku za mwisho hasa anatumia neno kumkamilisha mwanadamu,
si ishara na miujiza ya kumdhulumu au kumshawishi,
kwa kuwa hivi haviwezi kueleza nguvu za Mungu.
Ikiwa Mungu angeonyesha tu ishara na miujiza,
haingewezekana kudhihirisha ukweli wa Mungu,
na hivyo haingewezekana kumkamilisha mwanadamu.
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 103
Sauti ya mngurumo inatoka, ikiutetemesha ulimwengu mzima, ikiwahanikiza watu, na kuwafanya wachelewe kukwepa, na wengine wanauawa, baadhi wanaangamizwa, na wengine wanahukumiwa. Kweli ni kioja ambacho hakuna yeyote amewahi kukiona awali. Sikiliza kwa makini, milio ya radi inafuatana na sauti za kuomboleza, na sauti hii inatoka kuzimu, sauti hii inatoka jahanamu.
12.29.2018
nyimbo za injili | Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu
12.28.2018
Umeme wa Mashariki | Sura ya 98
Mambo yote yatakuja juu ya kila mmoja wenu, na yatawawezesha kujua zaidi juu Yangu na kuwa na uhakika zaidi juu Yangu. Yatawawezesha kunijua, Mungu mmoja Mwenyewe, kunijua Mimi Mwenye uweza, kunijua Mimi Mungu Mwenyewe mwenye mwili. Baadaye, Nitatoka katika mwili, Nirudi Sayuni, Nirudi katika nchi nzuri ya Kanaani, ambayo ni makazi Yangu, ndiyo hatima Yangu, na ndio msingi ambao niliumba vitu vyote. Sasa hakuna yeyote kati yenu anayeelewa maana ya maneno ambayo Ninasema, hakuna mtu hata mmoja ambaye anaweza kuelewa maana ya maneno haya.
Umeme wa Mashariki | Sura ya 101
Sitakuwa mwenye huruma kwa yeyote anayeingilia usimamizi Wangu ama anayejaribu kuiharibu mipango Yangu. Kila mtu anapaswa kuelewa kile Ninachomaanisha kutoka kwa maneno Ninayosema na lazima aelewe vizuri kile Ninachozungumzia. Kwa kuzingatia hali iliyopo, kila mtu anapaswa kujichunguza: Ni wajibu gani unaotekeleza? Unaishi kwa ajili Yangu, au unamtumikia Shetani? Je, kila moja ya matendo yako hutoka Kwangu, au hutoka kwa Shetani?
Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path
Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path
Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Thamani na maana ya maneno Yake yanaamuliwa na kiini chao,
sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua.
12.27.2018
Sura ya 100
Mwenyezi Mungu alisema, Ninawachukia wale wote ambao hawajajaaliwa na kuchaguliwa na Mimi. Kwa hiyo ni lazima Niwafukuze watu hawa kutoka katika nyumba Yangu mmoja baada ya mwingine, hivyo hekalu Langu litakuwa takatifu na bila doa, nyumba Yangu itakuwa mpya daima na haitakuwa nzee kamwe, jina Langu takatifu litaenezwa milele na watu Wangu watakatifu watakuwa wapendwa Wangu. Aina hii ya mandhari, aina hii ya nyumba, aina hii ya ufalme ni lengo Langu, makao Yangu nayo ni msingi wa uumbaji Wangu wa vitu vyote.
nyimbo za injili | Mungu Amekuwa Akijishughulisha Kumuongoza Mwanadamu Daima
Mungu Amekuwa Akijishughulisha Kumuongoza Mwanadamu Daima
I
Tangu Mungu alipoanza usimamizi Wake, amekuwa akijitolea kwa kazi Yake.
Daima akiwa karibu ya wanadamu, japo akijifichika, akiwaongoza kwa kiini Chake.
Mungu amekuwa akiwashughulikia wote kwa uwezo, kwa hekima na mamlaka,
akionyesha tabia Yake, na Akaleta Enzi za Sheria, Neema, na Ufalme.
12.26.2018
Umeme wa Mashariki | Sura ya 45
Mnawahukumu ndugu zenu hadharani kana kwamba si kitu. Hakika hamjui mema na maovu; hamna aibu! Je, hii si tabia mbaya ya kifidhuli, ya kutojali? Kila mmoja wenu amechanganyikiwa na ni mwenye moyo mzito; mnabeba mizigo mingi na hakuna sehemu Yangu ndani yako. Watu vipofu! Ninyi ni wakatili namna gani—hili litakoma lini?
Unyenyekevu wa Mungu ni wa Kupendeza Sana
Unyenyekevu wa Mungu ni wa Kupendeza Sana
I
Mungu hujinyenyekeza Mwenyewe na kufanya kazi Yake
kwa mwanadamu mchafu na mwovu ili kumfanya awe mkamilifu.
Mungu anakuwa mwanadamu.
Yeye huwachunga na kuwahudumia, huja kwa maskani ya joka kuu jekundu
kuokoa na kuwashinda wale waliopotoka,
kufanya kazi ya kuwabadilisha na kuwafanya wapya.
12.25.2018
Umeme wa Mashariki | Sura ya 97
Mwenyezi Mungu alisema, Nitafanya kila mtu aone matendo Yangu ya ajabu na kusikia maneno Yangu ya hekima. Ni lazima iwe kila mtu na ni lazima iwe juu ya kila suala. Hii ni amri Yangu ya utawala na ni ghadhabu Yangu. Nitahusisha kila mtu na kila jambo ili watu wote kutoka mwisho mmoja wa ulimwengu hadi mwingine wataona kwa macho yao wenyewe, la sivyo Sitaacha kamwe. Ghadhabu Yangu imemwagwa kikamilifu na hakuna hata chembe imezuiwa. Inaelekezwa kwa kila mtu mmoja ambaye anakubali jina hili (hivi karibuni itageuzwa juu ya mataifa yote ya dunia). Na ghadhabu Yangu ni nini?
Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli"
12.24.2018
Umeme wa Mashariki | Sura ya 85
Mimi huwatumia watu tofauti kufanikisha mapenzi Yangu. Laana Zangu hufanikishwa kwa wale Ninaowaadibu na baraka Zangu kufanikishwa kwa wale ambao Ninawapenda. Ambao sasa hukutana na baraka Zangu na ambao hupitia laana Zangu kwa neno Langu moja na tamko Langu.
nyimbo za injili | Hakuna Anayeweza Kuizuia Kazi ya Mungu
Hakuna Anayeweza Kuizuia Kazi ya Mungu
Kazi ya Mungu, kazi ya Mungu, hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe.
I
Mungu alipomwahidi Ibrahimu kuwa angekuwa na mwana,
alifikiri haiwezekani.
12.23.2018
Sura ya 83
Hujui kwamba Mimi ni Mwenyezi Mungu; hujui kwamba mambo yote na vitu vyote viko chini ya udhibiti Wangu! Maana ya kila kitu huumbwa na kukamilishwa na Mimi ni ni? Baraka au misiba ya kila mtu hutegemea utimilifu Wangu, matendo Yangu. Mwanadamu anaweza kufanya nini? Mwanadamu anaweza kufanikisha nini kwa kufikiri? Katika enzi hii ya mwisho, katika enzi hii potovu, katika dunia hii ya giza ambayo Shetani ameipotosha sana, ni kina nani wachache ambao wako jinsi Nipendavyo? Ikiwa ni leo, jana, au katika siku zijazo zisizo mbali, maisha ya kila mtu huamuliwa na Mimi.
Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake
Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake
I
Mungu ni uzima, chanzo cha viumbe wote wanaoishi.
Mamlaka ya Mungu hufanya kila kitu kitii maneno Yake,
kije kuwepo kulingana na maneno Yake,
kiishi na kuzaa kwa amri ya Mungu.
Mungu huwaongoza viumbe wote waishio,
na hakutakuwa na kupotoka milele na milele.
12.22.2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 53
Mimi ndiye mwanzo, na Mimi ndiye mwisho. Mimi ndiye Mungu mmoja wa kweli aliyefufuka na kamili. Nasema maneno Yangu mbele yenu, na lazima muamini Ninachosema kwa thabiti. Mbingu na dunia zinaweza kupita lakini hakuna herufi moja au mstari mmoja wa kile Ninachosema kitawahi kupita. Kumbuka hili! Kumbuka hili! Punde ambapo Nimesema, hakuna neno hata moja limewahi kurudishwa na kila neno litatimizwa.
nyimbo za injili | Unapaswa Kutafuta Kumpenda Mungu kwa Hiari
Unapaswa Kutafuta Kumpenda Mungu kwa Hiari
I
Leo lazima uwe katika njia sahihi
kwani unamwamini Mungu wa vitendo.
Ukiwa na imani, usitafute tu baraka Zake,
bali tafuta kumpenda na kumjua Mungu.
12.21.2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Sitini
Mwenyezi Mungu alisema, Si jambo rahisi kwa maisha kukua; yanahitaji mchakato, na aidha, kwamba muweze kulipa gharama na kwamba mshirikiane na Mimi kwa uwiano, na hivyo mtapata sifa Yangu. Mbingu na dunia na vitu vyote vinaanzishwa na kufanywa kamili kupitia maneno ya kinywa Changu na chochote kinaweza kutimizwa nami.
Maneno ya Roho Mtakatifu | "Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini"
12.20.2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Sabini na Nane
Nimesema kabla ya kuwa kazi inafanywa na Mimi, sio na mwanadamu yeyote. Kwangu, kila kitu kimetulia na kufurahi, lakini na ninyi mambo ni tofauti sana na chochote mnachofanya ni kigumu sana. Kitu chochote Ninachokubali hakika kitatimizwa na Mimi, wakati mtu yeyote Ninayemkubali atakamilishwa na Mimi. Wanadamu—msiingilie katika kazi Yangu!
nyimbo za dini | Mamlaka ya Mungu ni ya Pekee
I
Mamlaka ya Mungu ni ya pekee; ni maneno Yake maalum na kiini,
ambayo hakuna viumbe wengine walio nayo, walioumbwa au wasioumbwa.
Muumba peke Yake ndiye aliye na mamlaka kama hayo, Mungu wa Pekee ana kiini hiki.
Mungu aliumba kila kitu, Yeye ana mamlaka juu ya vyote.
12.19.2018
Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu
Matamshi ya Mungu | Sura ya 104
Mwenyezi Mungu alisema, “Watu, matukio na vitu vyote nje Yangu vitakufa na kuwakatika hali ya kutokuwepo, ilhali watu, matukio na vitu vyote vilivyo ndani Yangu vitapata kila kitu kutoka Kwangu na kuingia katika utukufu pamoja na Mimi, kuingia katika Mlima Wangu Sayuni, makazi Yangu, na kuishi pamoja kwa amani nami milele. Niliumba vitu vyote mwanzoni na Nitamaliza kazi Yangu mwishowe, na pia Nitatawala milele kama Mfalme. Katikati, pia Ninaongoza na kuutawala ulimwengu mzima. Hakuna anayeweza kuondoa mamlaka Yangu, kwani Mimi ni Mungu mmoja Mwenyewe, na pia Nina uwezo wa kupitisha mamlaka Yangu kwawazaliwa Wangu wa Kwanza, ili wazaliwa Wangu wa kwanza waweze kutawala kandokando Yangu.
12.18.2018
Tamko la Mia Moja na Kumi na Tisa
Mwenyezi Mungu alisema, Ni lazima nyote muelewe nia Zangu, nyote mnapaswa kuelewa hali Yangu ya moyo. Sasa ni wakati wa kujiandaa kurudi Sayuni, sina mawazo ya lolote isipokuwa hili. Mimi Ninatumaini tu kwamba Ninaweza kukutana nanyi siku moja hivi karibuni, na kutumia kila dakika na kila sekunde pamoja nanyi katika Sayuni.
Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu" | God Is My Salvation
Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.
Atamshinda Shetani kumshinda mwanadamu, pia kupitia kukufanya mkamilifu.
12.17.2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Mia Moja na Kumi na Saba
Wewe Ndiwe ambaye hufungua kitabu, Wewe Ndiwe ambaye hufungua mihuri saba, kwa sababu siri zote hutoka Kwako na baraka zote hufichuliwa na Wewe. Mimi sina budi kukupenda Wewe milele, na Mimi sina budi kuwafanya watu wote wakuabudu Wewe, kwa sababu Wewe ni nafsi Yangu, Wewe ni sehemu ya onyesho Langu kamili lenye ukarimu, sehemu ya msingi ya mwili wangu. Kwa hiyo, ni lazima Mimi Nitoe ushahidi maalum.
nyimbo za injili | Jina la Mungu Linatukuzwa Kati ya Mataifa
12.16.2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Themanini na nane
Mwenyezi Mungu alisema, Watu hawawezi tu kuwaza kiasi ambacho mwendo Wangu umezidisha kasi: Ni ajabu ambayo imetokea isiyoeleweka kwa mwanadamu. Tangu uumbaji wa dunia, mwendo Wangu umeendelea na kazi Yangu haijawahi kusimama. Ulimwengu wote hubadilika siku kwa siku na watu pia wanabadilika mara kwa mara.
12.15.2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Sabini na Moja
Mwenyezi Mungu alisema, Mimi wote Nimejiweka dhahiri kwenu, lakini kwa nini mnashindwa kutafakari maneno Yangu kwa mioyo na nafsi zenu zote? Kwa nini mnachukua maneno Yangu kama takataka? Je,yote Ninayosema ni makosefu? Je, maneno Yangu yamekupiga katika sehemu ya uzima? Daima kuchelewesha, daima kusita, kwa nini mnafanya mambo hivi?
Gospel Video Clip "Wayahudi Wakienda Uhamishoni Ughaibuni na Injili ya Ufalme wa Mbinguni Ikienezwa"
Baada ya kufufuka kwa Bwana Yesu, Wayahudi walitupwa uhamishoni duniani kote, na kusababisha injili ya ufalme wa mbinguni kuenea kwa kila kona ya dunia.
12.14.2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Sitini na Tisa
Mwenyezi Mungu alisema, Mapenzi Yangu yatokapo, yeyote anayethubutu kupinga na yeyote anayethubutu kuhukumu au kuwa na shaka, mara moja Nitamfukuza. Leo, yeyote ambaye hatendi kulingana na mapenzi Yangu, au yeyote anayeyafikiria mapenzi Yangu visivyo, ni lazima atupwe nje na kuondolewa kutoka kwa ufalme Wangu.
nyimbo za dini | Katika Enzi ya Ufalme, Neno Linatimiza Kila Kitu
I
Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anaikaribisha enzi mpya na neno.
Anabadilisha mbinu ya kazi Yake, anafanya kazi ya enzi nzima na neno.
Hii ni kanuni ambayo Mungu anafanya kazi nayo katika Enzi ya Neno.
Alikuwa mwili ili kunena kutoka sehemu tofauti,
hivyo mwanadamu kweli anamwona Mungu, Neno likionekana katika mwili,
anaona ajabu Yake, na anaona hekima Yake.
12.13.2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Sitini na Sita
Kazi Yangu imeendelea hadi hatua ya sasa na yote imefuata mipango ya busara ya mkono Wangu, na pia kuwa fanikio Langu kuu. Nani kati ya wanadamu anaweza kufanya kitu kama hiki? Na je, si wanaona ni afadhali waingilie kati usimamizi Wangu? Lakini lazima ujue kuwa hakuna namna yeyote anaweza kufanya kazi Yangu badala Yangu, sembuse kuizuia, kwani hakuna yeyote anayeweza kusema au kufanya vitu Nifanyavyo na kusema.
nyimbo za dini | Umuhumi wa Maombi
12.12.2018
Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Ufalme wa Milenia Umewasili"
Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Ufalme wa Milenia Umewasili"
Mwenyezi Mungu anasema, "kuwasili kwa Ufalme wa Milenia duniani ni kuwasili kwa neno la Mungu duniani. Kushuka kwa Yerusalemu mpya kutoka mbinguni ni kuwasili kwa maneno ya Mungu kuishi miongoni mwa mwanadamu, kuenenda na kila tendo la mwanadamu, na mawazo yake yote ya ndani.
Tamko la Sitini na Tano
Maneno Yangu daima yanaendeleza barabara, yaani yanaonyesha udhaifu wenu wa jaala, vinginevyo bado mgekuwa mnakokota visigino vyenyu, bila wazo la muda gani ulioko sasa. Fahamu hili! Mimi Hutumia njia ya upendo ili kuwaokoa. Bila kujali jinsi nyinyi mlivyo, bila shaka Nitakamilisha mambo ambayo Nimekubali bila kufanya kosa lolote.
12.11.2018
Tamko la Sitini na Tatu
Mwenyezi Mungu alisema, Zielewe hali zako mwenyewe, na zaidi ya hayo, kuwa wazi kuhusu njia unayohitaji kutembea; usubiri tena Mimi niyainue masikio yako na kukuonyesha mambo. Mimi ni Mungu ninayekagua moyo wa ndani kabisa wa mwanadamu nami najua kila fikra na wazo lako, hata zaidi Naelewa matendo na tabia yako.
Mungu Anamthamini Yule Anayeweza Kusikiliza Neno Lake na Kumtii
Mungu Anamthamini Yule Anayeweza Kusikiliza Neno Lake na Kumtii
I
Mungu hajali kama mtu ni wa chini ama mkubwa.
Mradi tu anamsikiliza Mungu,
anatii kile ambacho Mungu anaamuru na kumwaminia,
anaweza kushirikiana na kazi Yake, na mpango Wake na mapenzi Yake,
ili mapenzi Yake na mpango uweze kuendelea bila kizuizi,
kitendo kama hiki kinastahili, kinastahili kukumbukwa na Mungu,
na kinastahili kupokea, kupokea baraka Yake.
12.10.2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Themanini na Mbili
Mwenyezi Mungu alisema, Wote wanaogopa wanaposikia neno Langu. Wote wamejawa na hofu. Mnaogopa nini? Sitawaua! Ni kwa sababu mnahisi hatia na mnaogopa kugunduliwa. Yale unayoyafanya nyuma Yangu ni ya upuuzi na yasiyo na maana kabisa.
Kuwa Mtu Mpya na Uuliwaze Moyo wa Mungu
Kuwa Mtu Mpya na Uuliwaze Moyo wa Mungu
I
Umeona ndani ya moyo wangu, kiburi kilichoje ndani yangu.
Nafikiri kuwa mimi ni mzuri sana na kila kitu ni duni kwangu.
Mkuu na mwenye majivuno, asili yangu ni ngumu kutupa.
Zaidi ya kudharau, mimi ni mdogo. Binadamu wamepotea. Oo, binadamu wamepotea.
12.09.2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Hamsini na Tisa
Mwenyezi Mungu alisema, Tafuta mapenzi Yangu zaidi katika mazingira unayoyakabili na kwa hakika utapata kibali Changu. Ilmradi uwe tayari kwenda katika utafutaji na kuhifadhi moyo ambao unanicha, Mimi Nitakupea yote unayokosa.
Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family
Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family
Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini Biblia humaanisha kumwamini Bwana."
12.08.2018
Wimbo wa Ufalme (III) Watu Wote, Pigeni Kelele za Furaha!
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Hamsini na Sita
Mwenyezi Mungu alisema, Nimeanza kuchukua hatua kuadhibu wale ambao hufanya uovu, wale ambao hushika madaraka, na wale ambao hutesa wana wa Mungu. Kuanzia sasa kuendelea, yeyote anayenipinga katika moyo wake, mkono wa amri Zangu za utawala utakuwa daima juu yake.
12.07.2018
Shetani Hawezi Kubadili Chochote Chini ya Mamlaka ya Mungu
Shetani Hawezi Kubadili Chochote Chini ya Mamlaka ya Mungu
I
Ni kwa miaka ngapi, maelfu ya miaka,
Shetani amekuwa akimpotosha mwanadamu, akifanya mabaya mengi sana.
Vizazi, kimoja baada ya kingine vimedanganywa naye.
Oh, ni uhalifu kiasi kipi, uhalifu wa kuogofya
ambao Shetani amefanya katika dunia hii yote.
Tamko la Hamsini na Mbili
Mwenyezi Mungu alisema, Ninatokea kama Jua la haki, na nyinyi pamoja na Mimi tunashiriki utukufu na baraka, milele na milele! Huu ni ukweli thabiti, na tayari umeanza kutimizwa kwenu. Kwa yote ambayo Nimewaahidi, Nitawatimizia; yote Nisemayo ni ya kweli, na hayatarudi tupu.
12.06.2018
2018 Gospel Music "Usimamizi wa Mungu Daima Ukiendelea Mbele" (Swahili Subtitles)
2018 Gospel Music "Usimamizi wa Mungu Daima Ukiendelea Mbele" (Swahili Subtitles)
Mababu wa wanadamu, Adamu na Hawa, walipopotoshwa na Shetani, Mungu alianza usimamizi Wake wa wokovu wa wanadamu. Tangu wakati huo, Amefanya kazi bila ya kukoma: Mungu alitangaza sheria kuwaongoza wanadamu, na Yeye binafsi alikuja miongoni mwa wanadamu kusulubiwa na kuwakomboa wanadamu, na katika siku za mwisho, Mungu anaendelea na kazi Yake, akitimiza unabii wa Biblia: "Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali" (Yohana 14:2).
Kufanikiwa au Kushindwa Kunategemea na Ufuatiliaji wa Mwanadamu
I
Mwanadamu anapaswa kutekeleza wajibu wake
kama kiumbe wa Mungu,
atafute kumpenda Mungu bila chaguo lingine,
kwa kuwa Mungu anastahili upendo wa mwanadamu.
Watu ambao hutafuta kumpenda Mungu
hawapaswi kutafuta faida ya binafsi,
au kile wanachotaka wenyewe.
12.05.2018
Tamko la Thelathini na Saba
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa kweli hamna imani mbele Yangu na mara kwa mara mnajitegemea wenyewe kufanya mambo. "Hamuwezi kufanya chochote bila Mimi!" Lakini nyinyi watu wapotovu daima mnachukua maneno Yangu ndani ya sikio moja na linatokea nje ya lile nyingine. Maisha siku hizi ni maisha ya maneno; bila maneno hakuna maisha, hakuna uzoefu, wala hakuna imani. Imani iko katika maneno; ni kwa kuegemea zaidi ndani ya maneno ya Mungu ndio mnaweza kuwa na kila kitu. Msihangaike kuhusu kutokomaa; maisha yanachipuka, sio kwamba watu hukomaa kwa kuhangaika.
Mungu Amemleta Mwanadamu Katika Enzi Mpya
Mungu Amemleta Mwanadamu Katika Enzi Mpya
Kazi ya Mungu inaongoza ulimwengu wote na, zaidi ya hayo, umeme unaangaza moja kwa moja kutoka Mashariki hadi Magharibi.
I
Mungu anaeneza kazi Yake kati ya mataifa.
Utukufu Wake unaangaza katika ulimwengu.
Mapenzi Yake, yaliyomo katika wanadamu waliotawanyika,
wote wakiongozwa na mkono Wake, wakifanya kazi walizopewa.
12.04.2018
Tamko la Themanini na Moja
Mwenyezi Mungu alisema, Oh, enzi hii mbaya na yenye uzinzi! Nitakumeza! Mlima Sayuni! Simama unisifu Mimi! Kwa kukamilika kwa mpango Wangu wa usimamizi, kwa kukamilika kwa kazi Yangu kuu, ni nani athubutuye kutoinuka na kufurahi! Ni nani athubutuye kutoinuka na kuruka kwa furaha bila kukoma! Atakutana na kifo chake mkononi Mwangu.
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (3) - Kufichua Fumbo la Kupata Mwili
12.03.2018
Tamko la Sabini na Tisa
Vipofu! Wajinga! Rundo la takataka lisilo na maana! Nyinyi hutenganisha ubinadamu Wangu wa kawaida na uungu Wangu! Je, hamfikiri kuwa hii ni dhambi dhidi Yangu? Na zaidi ni kuwa ni kitu ambacho ni vigumu kusamehe! Mungu wa vitendo anakuja miongoni mwenu leo lakini mwajua tu upande Wangu mmoja ambao ni ubinaamu Wangu wa kawaida, na hamjaona kabisa upande Wangu ambao ni wa kiungu kabisa.
Mtazamo wa Ayubu kwa Baraka za Mungu
Mtazamo wa Ayubu kwa Baraka za Mungu
I
Ayubu aliamini moyoni mwake kwamba yote aliyomiliki
yalitolewa na Mungu na si kwa mkono wake mwenyewe.
Hakuona baraka kama vitu vya kumnufaisha,
lakini aliishikilia njia ambayo anapaswa kufuata
kama mwongozo wake wa kuishi.
12.02.2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Moja
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Roho Mtakatifu sasa imewaleta katika mbingu mpya na dunia mpya. Kila kitu kinaendelea kufanywa upya, kila kitu ki mikononi Mwangu, kinarudi ulingoni! Kwa dhana zao, watu wanashindwa kulifikiria kwa makini, na kwao haina maana, lakini ni Mimi ambaye niko kazini, na hekima Yangu iko ndani yake.
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nimeona Uzuri wa Mungu
Nimeona Uzuri wa Mungu
Ⅰ
Nasikia sauti ninayoifahamu ikiniita kila wakati.
Nikiamshwa na kutazama ili nione, ni nani yuko hapo akizungumza.
Sauti Yake ni nyororo lakini kali, sura Yake nzuri!
Pitia pigo na uvumilie uchungu mkubwa, kupapaswa na mkono Wake wa upendo.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)