Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake
I
Mungu ni uzima, chanzo cha viumbe wote wanaoishi.
Mamlaka ya Mungu hufanya kila kitu kitii maneno Yake,
kije kuwepo kulingana na maneno Yake,
kiishi na kuzaa kwa amri ya Mungu.
Mungu huwaongoza viumbe wote waishio,
Mamlaka ya Mungu yanaweza kuunda mambo ya aina yoyote
ambao yana uhai na nguvu.
Na hii inadhamiriwa na uzima wa Mungu.
II
Mamlaka haya, hakuna mtu wala kitu kinachoshikilia.
Muumba pekee ndiye aliye nayo.
Ni ishara ya utambulisho Wake wa pekee,
kiini, hadhi, na inaitwa mamlaka.
Mungu huwaongoza viumbe wote waishio,
na hakutakuwa na kupotoka milele na milele.
Mamlaka ya Mungu yanaweza kuunda mambo ya aina yoyote
ambao yana uhai na nguvu.
Na hii inadhamiriwa na uzima wa Mungu.
III
Kumbuka, mbali na Yeye, hakuna mtu au kitu
aliye na uhusiano na neno "mamlaka" au kiini chake.
Mungu huwaongoza viumbe wote waishio,
na hakutakuwa na kupotoka milele na milele.
Mamlaka ya Mungu yanaweza kuunda mambo ya aina yoyote
ambao yana uhai na nguvu.
Na hii inadhamiriwa na uzima wa Mungu.
kutoka katika "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I" katika Neno Laonekana katika Mwili
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni