Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Urejeaji wa Bwana Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Urejeaji wa Bwana Yesu. Onyesha machapisho yote

11.01.2017

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani"

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani"

Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha.

Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake.

Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu.

Mapenzi yangu kwa Mungu hukua siku baada ya siku, Mungu ndiye chanzo cha furaha yangu.