Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukombozi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukombozi. Onyesha machapisho yote

4.09.2018

Umeme wa Mashariki | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukombozi
Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe” | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”


Mwenyezi Mungu alisema, Kwa maelfu kadhaa ya miaka, mwanadamu ametamani kuweza kushuhudia kufika kwa Mwokozi. Mwanadamu ametamani kumtazama Yesu Mwokozi katika wingu jeupe Anaposhuka, yeye binafsi, kati ya wale ambao wamengoja na kumtamani kwa maelfu ya miaka. Mwanadamu ametamani Mwokozi arejee na kuungana na watu, yaani, ili Yesu Mwokozi Arudi kwa watu ambao wamekuwa mbali Naye kwa maelfu ya miaka.

2.18.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu

Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa
Mwenyezi Mungu alisema, Nimewatafuta wengi duniani wawe wafuasi Wangu. Kati yao ni wale wanaohudumu kama makuhani, wanaoongoza, wanaojumuisha wana, wanaojumuisha watu, na wale wanaotoa huduma. Ninaweka migawo hii kulingana na uaminifu alionao mwanadamu Kwangu. Wanadamu wote wakitofautishwa kulingana na aina, yaani, asili ya kila aina ya mwanadamu inapowekwa wazi, basi Nitamhesabu kila mwanadamu miongoni mwa aina yake kamili na kuweka kila aina katika nafasi yake kamili ili Nikamilishe lengo Langu la ukombozi wa mwanadamu.

12.25.2017

Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu|Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Yesu
Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu|Umeme wa Mashariki

Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu|Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Katika kipindi kile ambacho Petro alikuwa na Yesu, aliona sifa nyingi za kupendeza ndani ya Yesu, hali nyingi zenye za kustahili kuigwa, na nyingi ambazo zilimkimu. Ingawa Petro aliona nafsi ya Mungu ndani ya Yesu katika njia nyingi, na kuona sifa nyingi za kupendeza, mara ya kwanza hakumjua Yesu. Petro alianza kumfuata Yesu alipokuwa na umri wa miaka 20, na akaendelea kufanya hivyo kwa miaka sita.

12.03.2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)

Mwenyezi-Mungu, Kanisa -La-Mwenyezi Mungu, Umeme-wa-Mashariki
  
Mwenyezi Mungu alisema: Wanadamu kwa kupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo. Lakini baada ya kupotoshwa, mwanadamu alipoteza utukufu na ushuhuda kwa sababu kila mtu alimwasi Mungu na kuacha kumtukuza kabisa. Kazi ya sasa ya kushinda ni kuupata ushuhuda na utukufu wote, na kuwafanya wanadamu wote wamwabudu Mungu, ili kuwepo na ushuhuda miongoni mwa viumbe wote. Hili ndilo linapaswa kufanywa katika hatua hii ya kazi.

11.25.2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Maisha ya Kawaida ya Kiroho

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Maisha ya Kawaida ya Kiroho

Mwenyezi Mungu alisema, Muumini lazima awe na maisha ya kawaida ya kiroho huu ni msingi wa kupitia maneno ya Mungu na kuingia katika hali halisi. Sasa hivi, je, maombi yote, kule kuja karibu na Mungu, kuimba, kusifu, kutafakari, na kule kujaribu kuelewa maneno ya Mungu ambayo mnatenda yanafikia viwango vya maisha ya kawaida ya kiroho? Hakuna kati yenu aliye wazi sana juu ya hili.

11.06.2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unajua Nini Kuhusu Imani?

ukombozi, Video za Injili, Yesu Kristo

     Mwenyezi Mungu alisema,  Ndani ya binadamu, kunalo neno lisilokuwa la uhakika, ilhali binadamu hajui imani inajumuisha nini, na vilevile hajui ni kwa nini anayo imani. Binadamu huelewa kidogo sana, na binadamumwenyewe amepungukiwa sana; yeye anakuwa tu na imani ndani Yangu bila kujali na bila kujua. Ingawa hajui imani ni nini wala ni kwa nini anayo imani ndani Yangu, anaendelea kufanya hivyo kwa shauku mno.

11.04.2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maono ya Kazi ya Mungu (2)

Mwenyezi Mungu, Yesu, Mungu

Maono ya Kazi ya Mungu (2)

Mwenyezi Mungu alisema, Enzi ya Neema ilihubiri injili ya toba, na alimradi mwanadamu aliamini, basi angeokolewa. Leo, badala ya wokovu kuna majadiliano tu ya ushindi na ukamilifu. Haisemwi katu kwamba mtu mmoja akiamini, familia yake yote itabarikiwa, au kwamba wokovu ni ya mara moja na kwa wote.

10.22.2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ukweli Kuhusu Kazi Katika Enzi ya Ukombozi

Ukweli Kuhusu Kazi Katika Enzi ya Ukombozi

Mwenyezi Mungu alisemaMpango Wangu mzima wa usimamizi, ambao una urefu wa miaka elfu sita, unashirikisha awamu tatu, au enzi tatu: Kwanza, Enzi ya Sheria; pili, Enzi ya Neema (ambayo pia ni enzi ya Ukombozi); na mwisho, Enzi ya Ufalme. Kazi Yangu katika enzi hizi tatu hutofautiana kulingana na asili ya kila enzi, lakini katika kila hatua huambatana na mahitaji ya mwanadamu-au, inatofautiana kulingana na ujanja ambao Shetani anatumia katika vita Vyangu dhidi yake. Madhumuni ya Kazi Yangu ni kumshinda Shetani, ili kutoa wazi hekima Yangu na kudura, kufichua ujanja wote wa Shetani na hivyo kuokoa wanadamu wote, wanaoishi chini ya miliki yake. 

10.14.2017

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi


Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi


Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi.

Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu.

Vitu vyote vimo mkononi Mwake. Kwa busara takatifu na nguvu,

Amejenga na kuimarisha Sayuni, kujenga na kuimarisha Sayuni.