Hakuna Anayeweza Kuizuia Kazi ya Mungu
Kazi ya Mungu, kazi ya Mungu, hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe.
I
Mungu alipomwahidi Ibrahimu kuwa angekuwa na mwana,
alifikiri haiwezekani.
Chochote ambacho mwanadamu hufanya au kufikiria, si muhimu kwa Mungu.
Vyote huendelea kwa wakati na mpango wa Mungu; hiyo ndiyo sheria ya kazi Yake.
Usimamizi wa Mungu, usioathiriwa na vitu na mwanadamu.
Yote yatafanywa kwa wakati kama ilivyopangwa.
Hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe, kazi ya Mungu.
Hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe.
II
Mungu haingilii mawazo ya mwanadamu,
wala kuacha mipango Yake au kazi kwa sababu hawaamini au kuelewa.
Kwa mawazo na mipango ya Mungu, basi vitu hufanyika.
Kama vile tunavyoona katika Biblia, Alichagua kuzaliwa kwa Isaka.
Usimamizi wa Mungu, usioathiriwa na vitu na mwanadamu.
Yote yatafanywa kwa wakati kama ilivyopangwa.
Hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe, kazi ya Mungu.
Hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe.
III
Tabia na mwenendo wa mwanadamu, imani yake ndogo na dhana
vilizuia au kuathiri kazi ya Mungu? Hapana, sio hata kidogo.
Mungu hupuuza upumbavu wa mwanadamu, upinzani na mawazo yake.
Anafanya tu kile Anachopaswa kufanya.
Hii ni tabia ya Mungu, ukubwa Wake.
Usimamizi wa Mungu, usioathiriwa na vitu na mwanadamu.
Yote yatafanywa kwa wakati kama ilivyopangwa. Hakuna anayeweza kuzuia ...
Usimamizi wa Mungu, usioathiriwa na vitu na mwanadamu.
Yote yatafanywa kwa wakati kama ilivyopangwa.
Hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe, kazi ya Mungu.
Hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe, kazi ya Mungu.
Hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe.
kutoka kwa "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II" katika Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Tazama zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni