12.26.2018

Unyenyekevu wa Mungu ni wa Kupendeza Sana

Unyenyekevu wa Mungu ni wa Kupendeza Sana

I
Mungu hujinyenyekeza Mwenyewe na kufanya kazi Yake
kwa mwanadamu mchafu na mwovu ili kumfanya awe mkamilifu.
Mungu anakuwa mwanadamu.
Yeye huwachunga na kuwahudumia, huja kwa maskani ya joka kuu jekundu
kuokoa na kuwashinda wale waliopotoka,
kufanya kazi ya kuwabadilisha na kuwafanya wapya. 
Anajinyenyekeza Mwenyewe kuwa mwanadamu na huvumilia taabu inayoleta.
Ni fedheha kuu ya Roho mkuu.
Mungu, mkuu na wa juu. Mwanadamu, mchoyo na wa chini.
Lakini Mungu huongea, kuruzuku, kuishi miongoni mwao.
Yeye ni mnyenyekevu sana, wa kupendeza sana.
II
Mungu kuishi katika mwili kwa maisha ya kawaida na mahitaji,
kunathibitisha Ameshushwa kwa kiwango.
Roho wa Mungu, wa juu na mkuu, huja kama mwanadamu wa kawaida
kutekeleza kazi ya Roho Wake.
Ninyi hamstahili kazi Yake, hamstahili mateso kama hayo ambayo Amepitia.
Inaonyesha katika sifa zenu, ufahamu na akili.
Ninyi hamstahili kazi Yake, hamstahili mateso kama hayo ambayo Amepitia.
Inaonyesha katika ubinadamu wenu na maisha yenu.
Mungu, mkuu na wa juu. Mwanadamu, mchoyo na wa chini.
Lakini Mungu huongea, kuruzuku, kuishi miongoni mwao.
Yeye ni mnyenyekevu sana, wa kupendeza sana.
kutoka katika "Ni Wale tu Wanaolenga Vitendo Ndio Wanaweza Kufanywa kuwa Watimilifu" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

      Soma zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni