12.11.2018

Mungu Anamthamini Yule Anayeweza Kusikiliza Neno Lake na Kumtii

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo

Mungu Anamthamini Yule Anayeweza Kusikiliza Neno Lake na Kumtii

I
Mungu hajali kama mtu ni wa chini ama mkubwa.
Mradi tu anamsikiliza Mungu,
anatii kile ambacho Mungu anaamuru na kumwaminia,
anaweza kushirikiana na kazi Yake, na mpango Wake na mapenzi Yake,
ili mapenzi Yake na mpango uweze kuendelea bila kizuizi,
kitendo kama hiki kinastahili, kinastahili kukumbukwa na Mungu,
na kinastahili kupokea, kupokea baraka Yake. 
Mungu anathamini watu kama hao, na Anapenda sana matendo yao,
na moyo wao na upendo Kwake.
Huu ni mtazamo wa Mungu.
II

kutoka kwa "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

      Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni