Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali. Onyesha machapisho yote

1.25.2019

Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God

       upendo wa Mungu, Mazungumzo chekeshi Kutoroka Kizimbani yanaeleza hadithi ya jinsi Mkristo Xiaolan aliteswa na kufungiwa nyumbani mwao kwa mwezi mmoja na baba yake afisa wa Chama cha Kikomunisti, pale ambapo hakuweza kushiriki katika maisha ya kanisa, na uzoefu wake wa kutoroka nyumbani na kukimbia.

12.09.2018

Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family

Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family

       Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini Biblia humaanisha kumwamini Bwana."