12.06.2018

Kufanikiwa au Kushindwa Kunategemea na Ufuatiliaji wa Mwanadamu

I
Mwanadamu anapaswa kutekeleza wajibu wake
kama kiumbe wa Mungu,
atafute kumpenda Mungu bila chaguo lingine,
kwa kuwa Mungu anastahili upendo wa mwanadamu.
Watu ambao hutafuta kumpenda Mungu
hawapaswi kutafuta faida ya binafsi,
au kile wanachotaka wenyewe. 
Huu ni ufuatiliaji katika njia sahihi.
Ee, na kama unachotafuta ni ukweli,
kama kile ambacho unatenda ni ukweli,
ikiwa unapata mabadiliko ya tabia,
basi njia unayopitia ni sahihi.
Kama utafanywa kuwa mkamilifu au kuondolewa
kunategemea na ufuatiliaji wako mwenyewe.
Kama utafanikiwa au kushindwa
kunategemea na njia unayoyotembea.
II
Ikiwa unatafuta baraka za mwili,
tenda ukweli wa matendo yako,
bila mabadiliko katika tabia yako,
ikiwa humtii Mungu katika mwili,
na ikiwa unaishi kwenye mashaka bado,
kile unachotafuta kitakupeleka kuzimu,
kwa sababu njia ambayo unatembea
kwa hakika itashindwa.
Kama utafanywa kuwa mkamilifu au kuondolewa
kunategemea na ufuatiliaji wako mwenyewe.
Kama utafanikiwa au kushindwa
kunategemea na njia unayoyotembea,
kunategemea na njia unayoyotembea.
Kama utafanywa kuwa mkamilifu au kuondolewa
kunategemea na ufuatiliaji wako mwenyewe.
Kama utafanikiwa au kushindwa
kunategemea na njia unayoyotembea,
kunategemea na njia unayoyotembea,
kunategemea na njia unayoyotembea.
kutoka kwa "Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

      Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni