Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo baraka. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo baraka. Onyesha machapisho yote

1.03.2019

2018 Gospel Music "Uumbaji wa Mungu wa Dunia" (Swahili Subtitles)


2018 Gospel Music "Uumbaji wa Mungu wa Dunia" (Swahili Subtitles)

     upendo wa Mungu, Mungu Alitayarisha vitu vyote vyema hili mwanadamu kufurahia upendo wake, lakini mwanadamu hakusikia maneno na nasaha yake.

12.29.2018

nyimbo za injili | Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo

Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

I
Watu leo hawamthamini Mungu.
Hana nafasi ndani ya mioyo yao.
Katika siku zijazo, siku za mateso,
je, wanaweza kuonyesha upendo wa kweli, kuonyesha upendo wa kweli Kwake? 

12.21.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Sitini

Mwenyezi Mungu alisema, Si jambo rahisi kwa maisha kukua; yanahitaji mchakato, na aidha, kwamba muweze kulipa gharama na kwamba mshirikiane na Mimi kwa uwiano, na hivyo mtapata sifa Yangu. Mbingu na dunia na vitu vyote vinaanzishwa na kufanywa kamili kupitia maneno ya kinywa Changu na chochote kinaweza kutimizwa nami. 

12.19.2018

Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,nyimbo za injili

Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

I
Mungu aliumba vitu vyote, na hivyo Yeye hufanya viumbe wote
kuja chini ya utawala Wake, na kutii utawala Wake.
Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mikono Yake. 

Matamshi ya Mungu | Sura ya 104


      Mwenyezi Mungu alisema,  “Watu, matukio na vitu vyote nje Yangu vitakufa na kuwakatika hali ya kutokuwepo, ilhali watu, matukio na vitu vyote vilivyo ndani Yangu vitapata kila kitu kutoka Kwangu na kuingia katika utukufu pamoja na Mimi, kuingia katika Mlima Wangu Sayuni, makazi Yangu, na kuishi pamoja kwa amani nami milele. Niliumba vitu vyote mwanzoni na Nitamaliza kazi Yangu mwishowe, na pia Nitatawala milele kama Mfalme. Katikati, pia Ninaongoza na kuutawala ulimwengu mzima. Hakuna anayeweza kuondoa mamlaka Yangu, kwani Mimi ni Mungu mmoja Mwenyewe, na pia Nina uwezo wa kupitisha mamlaka Yangu kwawazaliwa Wangu wa Kwanza, ili wazaliwa Wangu wa kwanza waweze kutawala kandokando Yangu.

12.18.2018

Tamko la Mia Moja na Kumi na Tisa



Mwenyezi Mungu alisema, Ni lazima nyote muelewe nia Zangu, nyote mnapaswa kuelewa hali Yangu ya moyo. Sasa ni wakati wa kujiandaa kurudi Sayuni, sina mawazo ya lolote isipokuwa hili. Mimi Ninatumaini tu kwamba Ninaweza kukutana nanyi siku moja hivi karibuni, na kutumia kila dakika na kila sekunde pamoja nanyi katika Sayuni.

6.14.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Saba

Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Tamko la Sab

Umeme wa Mashariki | Tamko la Saba

Matawi yote ya magharibi yanapaswa kuisikiliza sauti Yangu:
Mwenyezi Mungu alisema, Je, mmekuwa waaminifu Kwangu hapo awali? Je, mmekuwa mkiyasikia maneno Yangu mazuri ya ushauri? Je, mnayo matumaini ambayo ni halisi na yasiyo na mashaka? Utiifu wa mwanadamu, mapenzi yake, imani yake—hamna kipatikanacho ila kutoka Kwangu, hamna hata kimoja ila kilichotawazawa na Mimi.