Inaonyesha machapisho ya hoja yaliyopangwa kwa uhusiano ukweli. Panga kwa tarehe Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho ya hoja yaliyopangwa kwa uhusiano ukweli. Panga kwa tarehe Onyesha machapisho yote

9.18.2019

Unashuhudia kuwa maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu katika Neno Laonekana katika Mwili ni maneno ya Mungu Mwenyewe, lakini tunaamini kuwa ni maneno ya mtu aliyepatiwa nuru na Roho Mtakatifu. Kwa hiyo, Kile ningependa kufuatilia ni, ni nini hasa tofauti kati ya maneno yanayoonyeshwa na Mungu mwenye mwili na maneno yaliyosemwa na mtu ambaye amepatiwa nuru na Roho Mtakatifu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa

Unashuhudia kuwa maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu katika Neno Laonekana katika Mwili ni maneno ya Mungu Mwenyewe, lakini tunaamini kuwa ni maneno ya mtu aliyepatiwa nuru na Roho Mtakatifu. Kwa hiyo, Kile ningependa kufuatilia ni, ni nini hasa tofauti kati ya maneno yanayoonyeshwa na Mungu mwenye mwili na maneno yaliyosemwa na mtu ambaye amepatiwa nuru na Roho Mtakatifu?

Jibu:
Yote ambayo Mwenyezi Mungu huonyesha ni ukweli, na Neno Laonekana katika Mwili kwa kweli ni matamshi ya Mwenyezi Mungu, ambaye ni kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu. Wote walio na moyo na roho watakikubali kikamilifu baada ya kuona neno Lake, watambue kwamba ni sauti ya Mungu, na kusujudu mbele ya Mungu. Hata hivyo, bado kuna baadhi ya watu wanaoamini kwamba maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho ni maneno tu yaliyoandikwa na mwanadamu aliyetiwa msukumo na Roho Mtakatifu, na hawaamini ni neno halisi la Mungu. Hili linaonyesha kwamba imani yetu kwa Mungu haimaanishi kumjua Mungu, kwamba hatuwezi kubainisha neno la Mungu kutoka kwa maneno ya mwanadamu, na kwamba zaidi ya hayo, hatuwezi kubainisha dhahiri maneno yanayokubaliana na ukweli kutoka kwa ukweli halisi.

1.19.2018

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?
Mwenyezi Mungu alisema, Ninyi nyote mara nyingi mmepata uzoefu wa hali ya kuwa katika mkutano, na kuhisi kana kwamba huna chochote cha kuhubiri kuhusu—hatimaye unajilazimisha na unasema kitu cha juu juu. Unajua vizuri kuwa maneno haya ya juu juu ni kanuni, lakini unahubiri kuyahusu hata hivyo, na mwishowe unahisi kuwa huna shauku, na watu chini yako wanasikiliza na wanahisi kuwa yanachosha sana—je hilo halijafanyika? Kama inabidi ujilazimishe kuhubiri, basi kwa upande mmoja Roho Mtakatifu hatafanya kazi, na kwa upande huo mwingine, hakuna faida kwa watu.

1.02.2018

Sura ya 10. Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata

mu
Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada


Sura ya 10. Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata


1. Kama hali ya Watu Ni Ya Kawaida Inategemea na Kama Wanapenda Ukweli au La
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wameibua suala lifuatalo: Baada ya ushirika wa juu, wanahisi wazi kabisa, wanakuwa na nguvu zaidi, na hawana hisia hasi—lakini hali kama hiyo inabaki tu kwa karibu siku kumi, ambapo baadaye hawawezi kudumisha hali ya kawaida. Suala ni nini? Je mmewahi kujiuliza kinachosababisha hili?

6.24.2018

59. Uzoefu wa Kutenda Ukweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mungu

59. Uzoefu wa Kutenda Ukweli

Hengxin     Jiji la Zhuzhou, Mkoa wa Hunan
Sio muda mrefu mno uliopita, nilisikia "Ushirika na Kuhubiri Kuhusu Kuingia kwa Maisha," jambo ambalo lilinielekeza kuelewa kwamba ni wale tu wanaotenda ukweli wanaoweza kupata ukweli na hatimaye kuwa wale ambao wanaomiliki ukweli na ubinadamu hivyo kupata kibali cha Mungu. Kuanzia hapo kwendelea, kwa makusudi nilifanya jitihada za kuunyima mwili wangu na kutenda ukweli katika maisha yangu ya kila siku. 

6.27.2018

Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa

Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa

Kazi na neno la Mungu vina maana ya kuleta mabadiliko katika tabia zenu; lengo Lake si kuwafanya tu kulielewa au kulitambua na kufanya hilo kuwa mwisho wa jambo hilo. Kama mmoja wa uwezo wa kupokea, hampaswi kuwa na ugumu katika kuelewa neno la Mungu, kwa kuwa wingi wa neno la Mungu limeandikwa kwa lugha ya kibinadamu ambayo ni rahisi sana tu kuelewa. Kwa mfano, mnaweza kujua ni nini Mungu anataka muelewe na kutenda; hili ni jambo ambalo mtu wa kufaa ambaye ana uwezo wa uelewa anapaswa kuwa na uwezo wa kufanya.

2.19.2018

Onyo kwa Wale Wasioweka Ukweli katika Vitendo

Onyo kwa Wale Wasioweka Ukweli katika Vitendo

Mwenyezi Mungu alisema, Wale miongoni mwa ndugu na dada ambao daima hueneza ubaya wao ni vibaraka wa Shetani na hulivuruga kanisa. Watu hawa lazima siku moja wafukuzwe na kuondolewa.

7.27.2019

Kuna tofauti ipi kati ya maneno ya watu wanaotumiwa na Mungu kote katika enzi zote ambayo yanakubaliana na ukweli na maneno ya Mungu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa

XII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kipengele cha Ukweli Kuhusu Wanawali Wenye Busara Wakiisikia Sauti ya Mungu

Kuna tofauti ipi kati ya maneno ya watu wanaotumiwa na Mungu kote katika enzi zote ambayo yanakubaliana na ukweli na maneno ya Mungu?


Maneno Husika ya Mungu:
Ukweli unatoka katika ulimwengu wa mwanadamu, na bado ukweli katika mwanadamu unapitishwa na Kristo. Unaanzia kwa Kristo, yaani, kutoka kwa Mungu mwenyewe, na hauwezi kufikiwa na mwanadamu.
kutoka katika “Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea” katika Neno Laonekana katika Mwili
Ukweli ndio halisi zaidi katika methali zote za maisha, na ni mkuu kabisa kuliko methali hizo miongoni mwa wanadamu wote. Kwa sababu ni matakwa ambayo Mungu anayataka kwa mwanadamu, na ni kazi ambayo inafanywa na Mungu mwenyewe, hivyo inaitwa methali ya maisha.

10.10.2019

Kuna tofauti ipi kati ya kuuelewa ukweli na kuyaelewa mafundisho?

Kuna tofauti ipi kati ya kuuelewa ukweli na kuyaelewa mafundisho?

Maneno Husika ya Mungu:
Kupata ufahamu wa kweli kuhusu maana halisi katika neno la Mungu sio jambo rahisi. Usifikiri tu kwamba ikiwa unaweza kutafsiri maana halisi ya maneno ya Mungu, na kila mtu akisema ni vizuri na kukupa hongera inahesabika kama kuelewa, neno la Mungu. Hilo si sawa na kuelewa neno la Mungu. Ikiwa umepata nuru kiasi kutoka ndani ya neno la Mungu na umefahamu umuhimu wa kweli wa neno la Mungu, ikiwa unaweza kueleza mapenzi ya Mungu ni yapi ndani ya maneno hayo na yatafanikisha nini hatimaye, punde haya yote yanaeleweka hilo linahesabika kama kuwa na kiwango fulani cha ufahamu wa neno la Mungu. Hivyo, kuelewa neno la Mungu si jambo rahisi kabisa.

1.07.2018

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
kutenda ukweli

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako


Kwa kutafuta ukweli tu ndipo utapata mabadiliko katika tabia yako: Hili ni jambo unalofaa kulielewa na kulielewa vizuri kabisa. Usipoelewa ukweli vya kutosha, utateleza kwa urahisi na kupotoka. Kutafuta kukua katika maisha lazima utafute ukweli katika kila kitu.

4.03.2018

Umeme wa Mashariki | Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana |

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu
Umeme wa Mashariki | Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Umeme wa Mashariki | Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa kweli, kazi inayofanywa sasa ni kuwafanya watu kumtoroka Shetani, kutoroka babu zao wa kale. Hukumu zote kwa neno zinalenga kufichua tabia potovu ya binadamu na kuwawezesha watu kuelewa kiini cha maisha. Hukumu hizi zote zilizorudiwa zinapenyeza mioyo ya watu.

10.07.2019

Mtu kutekeleza wajibu wake ni nini?

Maneno Husika ya Mungu:
Kutimiza wajibu wako ni ukweli. Kutimiza wajibu wako katika nyumba ya Mungu sio tu kutimiza masharti fulani au kufanya kitu unachopaswa kufanya. Ni kutimiza wajibu wa kiumbe aliyeumbwa anayeishi kati ya mbingu na dunia! Ni kutimiza majukumu na wajibu wako mbele ya Bwana wa uumbaji. Majukumu haya ni majukumu yako ya kweli. Linganisha kutimiza wajibu wa kiumbe aliyeumbwa na kuwa na upendo kwa wazazi wako—ni kipi ndicho ukweli? Kutimiza wajibu wa kiumbe aliyeumbwa ndio ukweli; ni wajibu wako unaotarajiwa kutimiza.

1.11.2018

Sura ya 44. Kuutoa Ukweli Ndiyo Njia ya Kweli ya Kuwaongoza Wengine

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
watu wa Mungu

Sura ya 44. Kuutoa Ukweli Ndiyo Njia ya Kweli ya Kuwaongoza Wengine 

Ikiwa mnataka kufanya kazi nzuri katika kuwaongoza wengine na kuhudumu kama mashahidi wa Mungu, la muhimu zaidi, lazima uwe na ufahamu wa kina wa kusudi la Mungu katika kuwaokoa watu na kusudi la kazi Yake. Lazima uyaelewe mapenzi ya Mungu na mahitaji Yake mbalimbali ya watu.

1.06.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,utukufu kwa Mungu
utukufu kwa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

 Mwenyezi Mungu alisema, Je, ni vitu vipi vya asili ya mwanadamu? Unajua tu kuhusu upotovu wa mwanadamu, uasi, upungufu, dosari, fikra, na dhamira, lakini huwezi kugundua sehemu za ndani za asili ya mwanadamu—unafahamu tu safu ya nje, lakini huwezi kugundua chanzo chake.

9.28.2019

Hukumu ni nini?

Hukumu ni nini?

Maneno Husika ya Mungu:
Kazi ya hukumu ni kazi ya Mungu Mwenyewe, kwa hivyo lazima ifanywe na Mungu Mwenyewe kwa kawaida; haiwezi kufanywa na mwanadamu kwa niaba Yake. Kwa sababu hukumu ni kumshinda mwanadamu kupitia ukweli, hakuna shaka kuwa Mungu bado Anaonekana kama kiumbe aliyepata mwili kufanya kazi hii miongoni mwa wanadamu. Hiyo ni kumaanisha, wakati wa siku za mwisho, Kristo atautumia ukweli kuwafunza wanadamu duniani kote na kufanya ukweli wote ujulikane kwao. Hii ni kazi ya hukumu ya Mungu.

8.11.2019

Ukweli ni nini? Maarifa ya Biblia na mafundisho ni nini?

XVII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Jinsi ya Kutambua Kati ya Uhalisi wa Ukweli na Maarifa ya Biblia na Mafundisho

Ukweli ni nini? Maarifa ya Biblia na mafundisho ni nini?


Aya za Biblia za Kurejelea:
Mwanzoni kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa na Mungu, na Neno alikuwa Mungu” (Yohana1:1).
“Na Neno alifanywa kuwa mwili, na akakaa kati yetu, aliyejawa neema na ukweli” (Yohana 1:14).
Mimi ndiye njia, ukweli na uhai” (Yohana 14:6).
Watakase kupitia kwa ukweli wako: neno lako ni ukweli” (Yohana 17:17).

1.03.2018

Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli


Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli


1. Uhusiano Kati ya Ubinadamu na Uwezo wa Kutenda Ukweli
Watu husema kuwa kutenda ukweli ni vigumu kabisa. Basi mbona watu wengine wanaweza kutenda ukweli? Watu wengine husema ni kwa sababu kwa asili wanaipokea kazi ya Roho Mtakatifu ikifanya kazi juu yao, na pia kwa sababu ni wazuri kiasili.

11.25.2019

Mabadiliko ya tabia ni nini?

Maneno Husika ya Mungu:

Je, mabadiliko katika tabia ni nini? Lazima uwe mpenzi wa ukweli, lazima uikubali hukumu na kuadibu kwa neno la Mungu unapopitia kazi Yake, na kupitia aina zote za mateso na usafisho, ambayo kwayo unatakaswa kutokana na sumu za kishetani zilizo ndani yako.

5.15.2018

34. Kupata Ahueni kwa Njia ya Kumwamini Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda, Umeme wa Mashariki

34. Kupata Ahueni kwa Njia ya Kumwamini Mungu

Zhuanbian     Mji wa Shanghai
Ingawa nilikuwa nikimfuata Mungu kwa miaka mingi, nilikuwa karibu sijafanya maendeleo yoyote na kuingia kwangu katika maisha, na hii ilinifanya nihisi kuwa na wasiwasi sana. Hasa wakati niliposikia rekodi ya mahubiri juu ya kuingia kwa maisha, na kusikia mtu aliyetumiwa na Roho Mtakatifu akizungumza na ndugu wa kiume na wa kike waliokuwepo na kusikiliza mahubiri, nilihisi nikiwa nimejawa na wasiwasi nikimsikia akisema jambo kama hili,

8.06.2019

Matokeo ya mtu anayemwamini Mungu katika dini na ambaye hupitia mchafuko na udhibiti wa Mafarisayo na wapinga Kristo ni yapi? Mtu anaweza kuokolewa na Mungu kama anamwamini Mungu kwa njia hii?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ukweli

XV. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Jinsi ya Kutambua Asili ya Mafarisayo na ya Ulimwengu wa kidini ambao Humkana Mungu

Matokeo ya mtu anayemwamini Mungu katika dini na ambaye hupitia mchafuko na udhibiti wa Mafarisayo na wapinga Kristo ni yapi? Mtu anaweza kuokolewa na Mungu kama anamwamini Mungu kwa njia hii?


Aya za Biblia za Kurejelea:
Wao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwelekeza kipofu, wote wawili wataanguka ndani ya shimo” (Mathayo 15:14).
Kwa kuwa viongozi wa watu hawa wanawafanya wapotoke; nao wanaoongozwa na hao watu wameangamizwa” (Isaya 9:16).
Watu wangu wanateketezwa kwa ajili ya ukosefu wa maarifa…. Walivyokuwa wakizidishwa, ndivyo walivyokuwa wakitenda dhambi dhidi Yangu: kwa hiyo nitabadili utukufu wao uwe aibu. Wanakula dhambi ya watu Wangu, nao hupendezwa na udhalimu wao. Na itakuwa, jinsi watu walivyo, ndivyo jinsi kuhani alivyo: na mimi nitawaadhibu kwa sababu ya njia zao, na kuwalipiza kwa sababu ya vitendo vyao” (Hosea 4:6-9).

9.10.2019

Bwana Yesu alisema: “Ila yeyote akunywaye maji ambaye nitampa hatawahi kuwa na kiu; lakini maji hayo ambayo nitampa yatakuwa chemichemi ya maji ambayo yanachipuka katika uhai wa daima” (Yohana 4:14). Watu wengi wanafikiri kwamba Bwana Yesu tayari ametupa njia ya uzima wa milele, lakini nimeyasoma maneno haya ya Mwenyezi Mungu: “Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele.” Haya yote yanahusu nini? Kwa nini yanasema kwamba ni Kristo tu wa siku za mwisho anayeweza kumpa mtu njia ya uzima wa milele?

 Bwana Yesu alisema: “Ila yeyote akunywaye maji ambaye nitampa hatawahi kuwa na kiu; lakini maji hayo ambayo nitampa yatakuwa chemichemi ya maji ambayo yanachipuka katika uhai wa daima” (Yohana 4:14). Watu wengi wanafikiri kwamba Bwana Yesu tayari ametupa njia ya uzima wa milele, lakini nimeyasoma maneno haya ya Mwenyezi Mungu: “Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele.” Haya yote yanahusu nini? Kwa nini yanasema kwamba ni Kristo tu wa siku za mwisho anayeweza kumpa mtu njia ya uzima wa milele?

Jibu:
Kuhusu kile njia ya uzima wa milele kilicho kwa kweli, tunapaswa kwanza kujua inapotoka. Sisi sote tunajua kwamba Mungu alipokuwa mwili, Alitoa ushuhuda kwamba Yeye ndiye kweli, njia, na uzima. Huu ni ushahidi wa kutosha kwamba Kristo pekee ndiye Anayeweza kuonyesha njia ya uzima wa milele. Kwa kuwa Kristo ndiye kuonekana kwa Mungu mwenye mwili, kwa kuwa Yeye ndiye Roho wa Mungu aliyejivika mwili, hiyo ina maana kwamba kiini cha Kristo ni kiini cha Mungu, na kwamba Kristo Mwenyewe ndiye kweli, njia, na uzima. Kwa hivyo, Kristo anaweza kuonyesha ukweli na kutekeleza kazi ya kuwakomboa na kuwaokoa wanadamu. Hii ni ya hakika. Bila kujali Mungu anakuwa mwili katika enzi gani, kiini cha Kristo hakiwezi kubadilika kamwe. Bwana Yesu ni Mungu Mwenyewe katika mwili.