Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu wa Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu wa Mungu. Onyesha machapisho yote

12.18.2019

Mungu huwaokoa watu gani? Yeye huwaondosha watu gani?

Maneno Husika ya Mungu:


Wale walio wa Shetani hawaelewi maneno ya Mungu, na wale walio wa Mungu wanaweza kusikia sauti ya Mungu. Wale wote wanaotambua na kuelewa maneno Ninayozungumza ni wale watakaookolewa, na kumshuhudia Mungu; wote wasioelewa maneno Ninayoyazungumza hawawezi kutoa ushuhuda kwa Mungu, na ni wale watakaoondolewa.

Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Katikati ya Usimamizi wa Mungu Pekee


Neno la Mungu | “Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Katikati ya Usimamizi wa Mungu Pekee"(Dondoo 1)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho.

12.09.2019

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu (I)

Matamshi ya Mungu | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu (I)" (Sehemu ya Kwanza)


Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu "Neno Laonekana katika Mwili".
Maudhui ya video hii:
Amri ya Yehova Mungu kwa Mwanadamu
Nyoka Anamshawishi Mwanamke

11.25.2019

Mabadiliko ya tabia ni nini?

Maneno Husika ya Mungu:

Je, mabadiliko katika tabia ni nini? Lazima uwe mpenzi wa ukweli, lazima uikubali hukumu na kuadibu kwa neno la Mungu unapopitia kazi Yake, na kupitia aina zote za mateso na usafisho, ambayo kwayo unatakaswa kutokana na sumu za kishetani zilizo ndani yako.

11.24.2019

Maskani Yangu Yako Wapi



Wazazi wa Wenya walitengana alipokuwa na umri wa miaka miwili, na baada ya hapo aliishi na baba yake na mama wa kambo. Mamake wa kambo hakuweza kumvumilia na daima alikuwa akibishana na baba yake.

11.11.2019

Kwaya ya Injili ya Kichina 13


Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa "Kwaya ya Injili ya Kichina 13"

1. WANADAMU WAMEUPATA TENA UTAKATIFU WAO WALIOKUWA NAO AWALI
La … la … la … la …
Wakati huu wa shangwe, wakati huu wa nderemo (du ba du ba), haki ya Mungu na utakatifu wa Mungu vimeenda ugenini kote ulimwenguni (ba ba ba …), na binadamu wote wanavisifu bila kikomo. (Du … ba … ba la ba ba) Miji ya mbingu inacheka kwa furaha (du ba du ba), na falme za nchi zinacheza kwa shangwe (Ba ba ba …) Ni nani wakati huu ambaye haonyeshi furaha? Na ni nani wakati huu ambaye halii? (Du … ba … ba la ba ba) Nchi ni miliki ya mbingu, na mbingu imeungana na nchi.

11.09.2019

Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi



Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi

I
Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo.
Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu.
Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema, lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi.
Imani juu ya msingi wa kesho na majaliwa, sina ukweli au uhalisi.
Mila na sheria, zikifungia imani yangu; sikubaki na kitu ila utupu.
Kushindwa kuishi kama binadamu, sistahili upendo wa Mungu kwa ajili yangu.