Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Video za Hivi Punde. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Video za Hivi Punde. Onyesha machapisho yote

11.24.2019

Maskani Yangu Yako Wapi

Wazazi wa Wenya walitengana alipokuwa na umri wa miaka miwili, na baada ya hapo aliishi na baba yake na mama wa kambo. Mamake wa kambo hakuweza kumvumilia na daima alikuwa akibishana na baba yake.