Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maisha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maisha. Onyesha machapisho yote

1.19.2018

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?
Mwenyezi Mungu alisema, Ninyi nyote mara nyingi mmepata uzoefu wa hali ya kuwa katika mkutano, na kuhisi kana kwamba huna chochote cha kuhubiri kuhusu—hatimaye unajilazimisha na unasema kitu cha juu juu. Unajua vizuri kuwa maneno haya ya juu juu ni kanuni, lakini unahubiri kuyahusu hata hivyo, na mwishowe unahisi kuwa huna shauku, na watu chini yako wanasikiliza na wanahisi kuwa yanachosha sana—je hilo halijafanyika? Kama inabidi ujilazimishe kuhubiri, basi kwa upande mmoja Roho Mtakatifu hatafanya kazi, na kwa upande huo mwingine, hakuna faida kwa watu.

1.08.2018

Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)

Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)

Leo, tunafanya ushirika juu ya mada maalum. Kwa kila mmoja wenu, kuna vitu viwili vikuu tu ambavyo mnapaswa kujua, kuvipitia na kuvielewa—na vitu hivi viwili ni vipi? Cha kwanza ni kuingia binafsi kwa watu katika maisha, na cha pili kinahusu kumjua Mungu.

1.06.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,utukufu kwa Mungu
utukufu kwa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

 Mwenyezi Mungu alisema, Je, ni vitu vipi vya asili ya mwanadamu? Unajua tu kuhusu upotovu wa mwanadamu, uasi, upungufu, dosari, fikra, na dhamira, lakini huwezi kugundua sehemu za ndani za asili ya mwanadamu—unafahamu tu safu ya nje, lakini huwezi kugundua chanzo chake.