2.09.2019

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III” Sehemu ya Tatu


Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III” Sehemu ya Tatu


Mwenyezi Mungu anasema, “Wakati Mungu alipofanya kazi katika ubinadamu, mbinu, maneno, na ukweli Wake mwingi vyote vilionyeshwa kwa njia ya kibinadamu.

2.08.2019

Hakuna Anayeelewa Matamanio ya Mungu Yenye Bidii ya Kumwokoa Mwanadamu

Hakuna Anayeelewa Matamanio ya Mungu Yenye Bidii ya Kumwokoa Mwanadamu

I
Mungu aliumba ulimwengu huu na akamleta mwanadamu ndani yake,
kiumbe hai ambaye Mungu alimpa uhai.
Kisha mwanadamu akawa na wazazi na jamaa, hayuko pekee tena,
alikusudiwa kuishi katika utaratibu wa Mungu. 

2018 nyimbo za injili "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)


2018 nyimbo za injili "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)

Ili kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alituma mapigo kumi Misri, akatumia mamlaka Yake kwa kutenganisha bahari, na kuwakomboa Waisraeli kutoka kwa maisha yao ya utumwa—yote ambayo yalidhihirisha uwezo Wake mkuu, na kueleza upendo Wake mkubwa na hangaiko Lake kwa wale wateule.

2.07.2019

Neno la Mungu | Sura ya 29

Kati ya kazi inayofanywa na watu, baadhi yake hutekelezwa kwa maagizo ya moja kwa moja kutoka kwa Mungu, lakini kwa sehemu yake Mungu hatoi maagizo ya wazi, ikionyesha vya kutosha kwamba kile kinachofanywa na Mungu, leo, bado hakijafichuliwa kabisa—ambalo ni kusema, mengi bado yamefichwa na bado hayajajulikana na watu. Lakini mambo mengine yanahitaji kujulikana na watu, na kuna mwengine yanayohitaji kuwaacha watu wakiwa wamekanganywa na kuchanganyikiwa; hiki ndicho kinachohitajika na kazi ya Mungu.

Swahili Gospel Video Clip "Maangamizi ya Mungu ya Sodoma na Gomora"


Swahili Gospel Video Clip "Maangamizi ya Mungu ya Sodoma na Gomora"

 Ikifurika na uovu na uzinzi, miji hii miwili mikubwa ya Sodoma na Gomora iliichokoza tabia ya Mungu. Mungu alinyesha moto wa jahanamu kutoka mbinguni, akiiteketeza hiyo miji na watu ndani yayo hadi kuwa majivu, na kuwafanya watoweke katikati ya hasira Yake…. Tazama dondoo ya filamu ya Kikristo Maangamizo ya Mungu ya Sodoma na Gomora ili kujua zaidi juu ya tabia ya ghadhabu, isiyokiukwa ya Mungu na onyo Lake kwa vizazi vijavyo.

       Tazama zaidi: Kwaya za Injili

2.06.2019

Neno la Mungu | Sura ya 105

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa sababu ya kanuni za maneno Yangu, kwa sababu ya utaratibu wa kazi Yangu, watu hunikana; hili ndilo kusudi Langu la kuzungumza kwa muda mrefu (imezungumzwa kuhusu wazao wote wa joka kubwa jekundu). Ni njia ya hekima ya kazi Yangu; ni hukumu Yangu ya joka kubwa jekundu; huu ni mkakati Wangu, hakuna mtu hata mmoja anayeweza kuuelewa kikamilifu.

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (9) - Ushuhuda kutoka kwa Kupitia Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho


Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (9) - Ushuhuda kutoka kwa Kupitia Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho


Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu anaonyesha ukweli nchini China na anafanya kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu. Alishinda na kuokoa kundi la watu, na wao ndio ambao wamepata njia ya uzima wa milele.

2.05.2019

Hukumu ya Neno la Mungu ni Kumwokoa Mwanadamu

Hukumu ya Neno la Mungu ni Kumwokoa Mwanadamu

I
Ingawa Mungu amenena maneno mengi kwako
ya kuadibu, ya hukumu,
hayajafanyika kwako,
naam, hayajafanyika kwako kweli.
Mungu alikuja kufanya kazi Yake na kunena maneno.
Ingawa maneno Yake yanaweza kuwa makali,
yananenwa kwa hukumu
ya upotovu wako, uasi. 

Swahili Gospel Video Clip "Maangamizo ya Mungu ya Dunia kwa Mafuriko"


Swahili Gospel Video Clip "Maangamizo ya Mungu ya Dunia kwa Mafuriko"

 Unapoitazama dondoo hii ya kustaajabisha ya filamu ya Kikristo Kuangamizwa kwa Dunia kwa Gharika na Mungu, utagundua tabia takatifu, ya haki ya Mungu na utunzaji Wake na huruma kwa wanadamu, na utapata njia ya wokovu wa Mungu katikati ya maafa.

2.04.2019

Filamu za Kikristo | “Kumbukumbu Chungu” (Clip 1/5)


Filamu za Kikristo | “Kumbukumbu Chungu” Movie Clip: Wokovu Kupitia Imani Pekee Unaweza Kuwa Tiketi ya Kuingia Katika Ufalme wa Mbinguni?



       upendo wa Mungu, Hasa ni mtu aina gani anayeweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni? Baadhi ya watu hufikiria dhambi zetu zinasamehewa pindi tunaposadiki Bwana, kwamba pindi tunapookolewa basi tunaokolewa milele, na kwamba mtu aina hii anaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni.

Neno la Mungu | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu (Sehemu ya Pili)


Neno la Mungu | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu (Sehemu ya Pili)


Mwenyezi Mungu anasema, "Punde tu kazi ya ushindi imekwisha kamilika, mwanadamu ataletwa katika dunia nzuri.

2.03.2019

Maneno ya Roho Mtakatifu | “Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wanachaguliwa”


Maneno ya Roho Mtakatifu | “Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wanachaguliwa”


Mwenyezi Mungu anasema, “Nawaita katika nyumba Yangu wale Niliowajaalia kulisikiliza neno Langu, kisha Nawaweka wote wanaotii na kulitarajia neno Langu mbele ya kiti Changu cha enzi.