Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ujio-wa-pili-wa-Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ujio-wa-pili-wa-Yesu. Onyesha machapisho yote

9.17.2019

Unashuhudia kwamba Bwana Yesu amekwisha kurudi kama Mwenyezi Mungu mwenye mwili, ambaye huonyesha ukweli wote ambao humtakasa na kumwokoa wanadamu na ambaye hufanya kazi ya hukumu akianzia na familia ya Mungu, hivyo tunafaa kutambuaje sauti ya Mungu na tunafaa kuthibitishaje kwamba Mwenyezi Mungu ndiye hasa Yesu aliyerudi?

Jibu:
Swali ni la umuhimu mkubwa sana. Kukubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho, na kutazama kuonekana kwa Mungu, lazima tujue jinsi ya kutambua sauti ya Mungu. Kwa Kweli, kutambua sauti ya Mungu kumaanisha kufahamu maneno na matamshi ya Mungu, na kufahamu zile sifa bainifu za maneno ya Muumba. Bila kujali kama maneno ya Mungu aliyepata mwili, au matamshi ya Roho wa Mungu, yote ni maneno yaliyonenwa na Mungu kwa mwanadamu kutoka juu sana. Sauti na sifa bainifu ya maneno ya Mungu ni namna hiyo. Hapa, mamlaka na utambulisho ya Mungu vimebainishwa kwa dhahiri. Hii, inaweza kusemwa, ni njia ya pekee ambayo Muumba hunena. Matamshi ya Mungu kila wakati Yeye huwa mwili bila shaka hufikia maeneo mengi.

2.03.2019

Maneno ya Roho Mtakatifu | “Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wanachaguliwa”

Maneno ya Roho Mtakatifu | “Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wanachaguliwa”

Mwenyezi Mungu anasema, “Nawaita katika nyumba Yangu wale Niliowajaalia kulisikiliza neno Langu, kisha Nawaweka wote wanaotii na kulitarajia neno Langu mbele ya kiti Changu cha enzi.

1.29.2019

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu" (Sehemu ya Kwanza)

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu" (Sehemu ya Kwanza)

        Mwenyezi Mungu anasema, "Kile ambacho mwanadamu hukidhihirisha ni kile anachokiona, kupitia uzoefu na kukitafakari. Hata kama ni mafundisho au mitazamo, haya yote hufikiwa na fikra za mwanadamu.

1.28.2019

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu" (Sehemu ya Pili)

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu" (Sehemu ya Pili)

Kazi ya Mungu miongoni mwa mwanadamu haitengani na mwanadamu, kwa kuwa mwanadamu ni chombo cha kazi hii na kiumbe wa pekee aliyeumbwa na Mungu anayeweza kutoa ushuhuda kwa Mungu.

1.23.2019

Matamshi ya Mungu | "Wale wanaomtii Mungu kwa Moyo wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu"

Matamshi ya Mungu | "Wale wanaomtii Mungu kwa Moyo wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu"

       Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Roho Mtakatifu inabadilika kutoka siku hadi siku, ikipanda juu kwa kila hatua; ufunuo wa kesho unakuwa hata juu kuliko wa leo, hatua kwa hatua ukikwea hata juu zaidi. Hii ndiyo kazi anayotumia Mungu kumkamilisha mwanadamu. Iwapo mwanadamu hawezi kwenda sambamba, basi anaweza kuachwa wakati wowote. Kama mwanadamu hana moyo wa kutii, basi hawezi kufuata hadi mwisho. Enzi ya kale imepita; sasa ni enzi mpya. Na katika enzi mpya, kazi mpya lazima ifanywe.

3.24.2018

“Ivunje Laana” – Tunawezaje Kukaribisha Kurudi kwa Bwana? | Swahili Gospel Movie Clip 1/6

Umeme wa Mashariki | “Ivunje Laana” – Tunawezaje Kukaribisha Kurudi kwa Bwana? | Swahili Gospel Movie Clip 1/6

Miezi minne ya damu tayari imeonekana. Hii ina maana kwamba majanga makubwa yatakuja hivi karibuni, kama ilivyotabiriwa katika kitabu cha Yoeli, “Na pia juu ya watumishi wa kiume na wa kike nitamwaga roho wangu katika siku zile. Na nitaonyesha maajabu mbinguni na duniani, damu, na moto, na miimo ya moshi. Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja kwa siku kuu na ya kutisha ya Yehova” (Yoeli 2:29-31).