Umeme wa Mashariki | “Ivunje Laana” – Tunawezaje Kukaribisha Kurudi kwa Bwana? | Swahili Gospel Movie Clip 1/6
Miezi minne ya damu tayari imeonekana. Hii ina maana kwamba majanga makubwa yatakuja hivi karibuni, kama ilivyotabiriwa katika kitabu cha Yoeli, “Na pia juu ya watumishi wa kiume na wa kike nitamwaga roho wangu katika siku zile. Na nitaonyesha maajabu mbinguni na duniani, damu, na moto, na miimo ya moshi. Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja kwa siku kuu na ya kutisha ya Yehova” (Yoeli 2:29-31).
Kabla ya maafa makubwa kutufika, roho wa Mungu atawastawisha watumishi na wajakazi Wake, na Yeye atafanya kundi la washindi. Ikiwa hatuwezi kuchukuliwa kwenda mbinguni kabla ya majanga makubwa, labda tutaangamia kati ya majanga haya. Sasa, Umeme wa Mashariki linashuhudia kwamba Bwana Yesu amerudi, ameonyesha ukweli, na akafanya kundi la washindi. Je, si hili linatimiza unabii wa Kibiblia? Je, Umeme wa Mashariki ni onyesho la kazi ya Bwana?
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni