Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Tano
Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Kuhusu Ayubu
Mwenyezi Mungu alisema, “Katika Maisha ya Kila Siku ya Ayubu Tunaona Utimilifu, Unyofu, Kumcha Mungu, na Kujiepusha na Maovu Kwake”
Maonyesho ya Ubinadamu wa Ayubu Wakati wa Majaribio Yake (Kuelewa Utimilifu wa Ayubu, Unyofu, Kumcha Mungu na Kujiepusha na Maovu Wakati wa Majaribio Yake)
Urazini wa Ayubu
Asili Halisi ya Ayubu: Mkweli, Aliyetakaswa, na Asiye na Uongo
Utenganisho wa Ayubu kati ya Upendo na Chuki
Ukarimu na Uaminifu wa Ayubu