Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

8.18.2019

Kwa nini ulimwengu wa kidini daima umemkana Kristo, kumkataa na kumhukumu Yeye, na hivyo kupitia laana za Mungu?

XIX. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Ukweli wa ni Kwa Nini Njia ya Kweli Imepitia Usumbufu Tangu Nyakati za Kale

Kwa nini ulimwengu wa kidini daima umemkana Kristo, kumkataa na kumhukumu Yeye, na hivyo kupitia laana za Mungu?


Aya za Biblia za Kurejelea:
Sikizeni mfano mwingine: Kulikuwa na mwenye nyumba fulani, aliyepanda shamba la zabibu, na akalizingira kwa ua, na akachimba kishinikizo cha zabibu ndani yake, na akajenga mnara, na akalipangisha kwa wakulima, na akasafiri kwenda nchi ya mbali: Na wakati wa matunda ulipokaribia, aliwatuma watumwa wake kwa wakulima, ili waweze kupokea matunda yake. Na wakulima wakawachukua watumwa wake, wakampiga mmoja, na kumuua mwingine, na kumpiga mwingine kwa mawe.

6.26.2019

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake Sehemu ya Tatu

Namna Ambavyo Mungu Huanzisha Matokeo Ya Binadamu na Kiwango Ambacho Hutumia Kuasisi Matokeo ya Binadamu


Kabla ya kuwa na mitazamo au hitimisho zako binafsi, unafaa kwanza kuelewa mwelekeo wa Mungu kwako, kile ambacho Mungu anafikiria, na kuamua kama kufikiria kwako ni sahihi au la. Mungu hajawahi kutumia vipimo vya muda katika kuasisi matokeo ya mtu, na Hajawahi kutumia kiwango cha mateso yaliyovumiliwa na mtu katika kuasisi matokeo yake. Basi Mungu hutumia kiwango gani katika kuasisi matokeo ya binadamu? Kutumia vipimo vya muda katika kuasisi matokeo ya binadamu—hii ndiyo inaingiliana zaidi na dhana za watu.

4.20.2019

Baada ya Usaliti wa Mumewe Mungu Alimuokoa Kutoka kwenye Fadhaa ya Uchungu


   Baada ya miongo miwili ya mema na mabaya ambayo yeye na mumewe walipitia pamoja, hakuwahi kamwe kufikiria kwamba mumewe angekuwa na uhusiano wa nje ya ndoa. Alishindwa kabisa kuvumilia wakati alipogundua hilo. Licha ya kujaribu kila kitu ili kumfanya mumewe ampende tena, yote ilikuwa kazi bure. Katikati ya maumivu yake na kutokuwa na tumaini, ni maneno ya Munguyaliyomwokoa, yakimsaidia kupata kiini cha maumivu yake, kuelewa maana ya maisha, na hatua kwa hatua kutoka kwenye fadhaa ya mateso yake.

3.14.2019

Ushuhuda wa Mkristo: Jinsi Alivyoshinda Majaribu ya Kuwa na Mpenzi wa Siri (Sehemu ya 2)



Na Xiyue, Mkoa wa Henan
   Katika siku chache zilizofuata, ingawa Jingru hakuwa ameanguka katika majaribu ya Shetani na alijua kwamba hangeweza kuwa mwenzi wa Wang Wei kamwe, mkutano wake na Wang Wei jioni hiyo na ungamo lake la kweli vilirudiwa akilini mwake tena na tena kama onyesho katika filamu …
   Wang Wei alipompigia simu tena, moyo wa Jingru ulishtuka kidogo, naye akajiambia: “Sote wawili hatuwezi kuwa kitu kimoja, lakini bado tunaweza kuwa marafiki wa kawaida. Mradi nijizuie ili nisifanye chochote kinachoenda mbali mno, basi itakuwa sawa.”

2.06.2019

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (9) - Ushuhuda kutoka kwa Kupitia Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho


Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (9) - Ushuhuda kutoka kwa Kupitia Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho


Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu anaonyesha ukweli nchini China na anafanya kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu. Alishinda na kuokoa kundi la watu, na wao ndio ambao wamepata njia ya uzima wa milele.

1.31.2019

Maonyesho ya Mungu | "Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu"

Maonyesho ya Mungu | "Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu"


Mwenyezi Mungu anasema, "Sababu mwanadamu hana ufahamu wa umuhimu wa Mungu kumwokoa na umuhimu wa kazi ya usimamizi wa Mungu, na hafahamu jinsi Mungu Anavyotamani zaidi wanadamu wawe.

1.22.2019

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | "Kuwa na Tabia Isiyobadilika Ni Kuwa katika Uadui na Mungu"



Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | Kuwa na Tabia Isiyobadilika Ni Kuwa katika Uadui na Mungu 

      Chanzo cha ufunuo wa upotovu wa tabia ya mwanadamu ni dhamiri yake iliyofifia, asili yake mbovu na akili yake isiyo timamu; kama dhamiri ya mwanadamu na hisia vinaweza kurudi kawaida, basi atafaa kwa matumizi mbele ya Mungu.

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Je, Umekuwa Hai Tena?"




       Wale wanaoishi chini ya ushawishi wa giza, ni wale ambao wanaishi katikati ya kifo, ni wale ambao wametawaliwa na Shetani. Bila kuokolewa na Mungu, na kuhukumiwa na kuadibiwa na Mungu, watu wanakuwa hawana uwezo kukwepa athari ya kifo, hawawezi kuwa hai.

1.17.2019

“Kaa Mbali na Shughuli Zangu” – Tunaweza Kunyakuliwa Hadi kwenye Ufalme wa Mbinguni Baada ya Kukubali Ukombozi Kutoka kwa Bwana Yesu? | Video za Kikristo (Movie Clip 3/5)


“Kaa Mbali na Shughuli Zangu” – Tunaweza Kunyakuliwa Hadi kwenye Ufalme wa Mbinguni Baada ya Kukubali Ukombozi Kutoka kwa Bwana Yesu? | Video za Kikristo (Movie Clip 3/5)


Kwa msingi wa maneno ya Bwana Yesu akiwa msalabani “Imekwisha,” wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini kwa kawaida huhitimisha kwamba kazi ya Mungu ya wokovu wa wanadamu ilikuwa basi imekamilika. Bwana aliporudi, waumini wangepokelewa kwenye ufalme wa mbinguni, bila ya haja ya kazi yoyote ya utakaso na uokoaji wa watu.

4.26.2018

4. Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

4. Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo


Zhang Jin, Beijing
Agosti 16, 2012
Mimi ni dada mzee mwenye miguu miwili yenye kasoro. Hata wakati hali ya hewa ni nzuri nje, nina shida kutembea, lakini wakati maji ya mafuriko yalipokuwa karibu kunimeza, Mungu aliniruhusu kutoroka hatari kimiujiza.
Ilikuwa Julai 21, mwaka wa 2012. Siku hiyo mvua ya mfoko ilinyesha, na nilikuwa tu nje nikitimiza wajibu wangu. Baada ya saa 10 alasiri, mvua ilikuwa bado haijaisha. Wakati mkutano wetu ulipomalizika, niliikabili mvua bila woga na kupanda basi kwelekea nyumbani.