Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maswali-na-Majibu-Mia-Moja-Kuhusu-Kuichunguza-Njia-ya-Kweli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maswali-na-Majibu-Mia-Moja-Kuhusu-Kuichunguza-Njia-ya-Kweli. Onyesha machapisho yote

7.06.2018

12. Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ushuhuda

12. Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu

Yongxin, Jiji la Yibin, Mkoa wa Sichuan
Hatukuwahi kumwamini Mungu kabla. Mnamo mwaka wa 2005, tukitiwa moyo na Mungu, mume wangu, baba mkwe wangu, mjomba wangu, na mimi wote tuliikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho. Baada ya muda mfupi, kanisa lilinipangia kufanya wajibu wa kuhifadhi vitabu. Baadaye, nyumba yetu ilishika moto, na wakati wa moto huu tulipokea ulinzi wa Mungu wa ajabu. Mungu kwa hakika ni mwenyezi!

7.04.2018

8. Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mungu,Injili

8. Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Wang Lan, Beijing
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, mafuriko makubwa zaidi tangu miaka sitini yalipitia kijijini mwetu kwa nguvu mno. Maafa yalianguka kutoka mbinguni, maji ya mafuriko yalichanganya matope na mawe na kuharibu kijiji chote. Nyumba nyingi  ziliharibiwa na maji na maporomoko ya matope. Baada ya saa kumi na moja alasiri hiyo, mvua ilikuwa ikinyesha kwa nguvu sana.

4.27.2018

1. Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu, Umeme wa Mashariki

1. Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Ndugu wawili wa kawaida, Beijing
Agosti 15, 2012
Julai 21, mwaka wa 2012 ilikuwa siku isiyosahaulika sana kwangu, pamoja na kuwa siku muhimu zaidi ya maisha yangu.
Siku hiyo, mvua kubwa ilikuwa ikinyesha katika Wilaya ya Fangshan jijini Beijing—ilikuwa kubwa kuliko yoyote iliyowahi kuonekana pale katika miaka sitini na mmoja. Muda mfupi baada ya saa 10 jioni, nilitoka nje mtaani ili kuangalia na nikaona kuwa maji yalikuwa kila mahali. Gari la familia yetu lilikuwa tayari limeelea, na sababu ya pekee gari hilo kutosombwa na mkondo wa maji ilikuwa kwamba lilizuiwa na kitu mbele yake kilicholizuia kusonga. Maono hayo yalinifanya kuwa na wasiwasi sana, hivyo kwa haraka nilimpigia mume wangu simu, ambaye pia ni muumini, lakini sikuweza kumpata kwa simu bila kujali ni mara ngapi nilijaribu. Kisha, badala ya kutafuta mapenzi ya Mungu, niliharakisha kurudi nyumbani kumwita mume wangu kwa haraka.

4.26.2018

4. Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

4. Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo


Zhang Jin, Beijing
Agosti 16, 2012
Mimi ni dada mzee mwenye miguu miwili yenye kasoro. Hata wakati hali ya hewa ni nzuri nje, nina shida kutembea, lakini wakati maji ya mafuriko yalipokuwa karibu kunimeza, Mungu aliniruhusu kutoroka hatari kimiujiza.
Ilikuwa Julai 21, mwaka wa 2012. Siku hiyo mvua ya mfoko ilinyesha, na nilikuwa tu nje nikitimiza wajibu wangu. Baada ya saa 10 alasiri, mvua ilikuwa bado haijaisha. Wakati mkutano wetu ulipomalizika, niliikabili mvua bila woga na kupanda basi kwelekea nyumbani.