Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-ya-Siku-za-Mwisho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-ya-Siku-za-Mwisho. Onyesha machapisho yote

9.04.2019

Unashuhudia kuwa katika siku za mwisho Mungu huonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mwanadamu, hivyo ni kwa jinsi gani hasa Mungu humhukumu, kumtakasa na kumwokoa mwanadamu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,hukumu

Unashuhudia kuwa katika siku za mwisho Mungu huonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mwanadamu, hivyo ni kwa jinsi gani hasa Mungu humhukumu, kumtakasa na kumwokoa mwanadamu?

Jibu:
Kila mtu ambaye sasa anatafuta na kuchunguza njia ya kweli anataka kuelewa jinsi Mwenyezi Mungu anavyofanya kazi Yake ya hukumu ya siku za mwisho. Mwenyezi Mungu ameonyesha maneno mengi kuhusu suala hili la ukweli. Hebu tusome vifungu vichache vya neno la Mwenyezi Mungu.
Mwenyezi Mungu anasema, “Mungu Anapopata mwili mara hii, kazi Yake ni kuonyesha tabia Yake, kimsingi kupitia kuadibu na hukumu. Akitumia haya kama msingi, Analeta ukweli zaidi kwa mwanadamu, kuonyesha njia zaidi za matendo, na hivyo Hufikia lengo Lake la kumshinda mwanadamu na kumwokoa mwanadamu kutokana na tabia yake potovu. Hili ndilo liko katika kazi ya Mungu katika Enzi ya Ufalme” (Dibaji ya Neno Laonekana katika Mwili).

9.02.2019

Sisi hufuata mfano wa Paulo na hufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya Bwana, tukieneza injili na kumshuhudia Bwana, na tukiyalisha makanisa ya Bwana, kama vile Paulo tu: “Nimepigana vita vizuri, nimeutimiza mwendo wangu, nimeihifadhi imani” (2 Timotheo 4:7). Si huku ni kufuata mapenzi ya Mungu? Kutenda kwa njia hii kunamaanisha kuwa tunastahili kunyakuliwa na kuingia katika ufalme wa mbinguni, hivyo kwa nini tunapaswa kuikubali kazi ya Mungu ya hukumu na utakaso katika siku za mwisho kabla tuweze kuletwa katika ufalme wa mbinguni?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa

Swali ni la muhimu sana. Inahusisha ikiwa mtu anaweza kuletwa kwenye ufalme wa mbinguni kwa kuamini katika Bwana. Waumini wengi wa Bwana wanahisi kwamba kufuata mfano wa Paulo kwa kutumia na kutumia rasilmali na kufanya kazi kwa ajili ya Bwana ni sawa na kufuata njia ya Bwana na kustahili kuingia kwenye ufalme wa mbinguni wakati Bwana atakaporudi. Hii imekuwa dhana ya watu wengi. Je, dhana hii ina msingi katika neno la Bwana? Je, inafurahisha moyo wa Bwana tukifuatilia kwa njia hii? Je, kwa kweli tunafuatilia njia ya Bwana kwa kumtumikia Bwana kama Paulo? Je, tutakuwa na sifa zinazostahili ufalme wa mbinguni? Bwana Yesu alisema, “Siye kila mmoja ambaye aliniambia, Bwana, Bwana, ataingia ufalme wa mbinguni, ila yeye atendaye mapenzi ya Baba yangu ambaye yuko mbinguni.

4.14.2019

Jina la Mungu linaweza kubadilika, lakini asili Yake haitabadilika kamwe.

Jina la Mungu linaweza kubadilika, lakini asili Yake haitabadilika kamwe

Maneno Husika ya Mungu:

Kuna wale ambao wanasema kuwa Mungu habadiliki. Hiyo ni sahihi, lakini inaashiria mabadiliko ya tabia ya Mungu na pia kiini chake. Mabadiliko ya jina lake na kazi hayathibitishi ya kuwa kiini chake kimebadilika; kwa maneno mengine, Mungu siku zote Atakuwa Mungu, na hii kamwe haitabadilika. Iwapo utasema kuwa kazi ya Mungu daima inabaki vile vile, basi Angekuwa na uwezo wa kumaliza mpango wake wa usimamizi wa miaka elfu sita? Wewe hujua tu kwamba Mungu habadiliki milele, lakini je, unajua kuwa Mungu ni mpya milele na kamwe si wa zamani? Kama kazi ya Mungu kamwe haikubadilika, basi Angeweza kulea mwanadamu hadi leo? Kama Mungu habadiliki, basi mbona Yeye tayari Amefanya kazi ya nyakati mbili? Kazi yake daima inaendelea mbele, na hivyo pia ndivyo tabia yake inafichuliwa kwa binadamu hatua kwa hatua, na kile ambacho kinafichuliwa ni tabia yake ya asilia. 

2.07.2019

Neno la Mungu | Sura ya 29

Kati ya kazi inayofanywa na watu, baadhi yake hutekelezwa kwa maagizo ya moja kwa moja kutoka kwa Mungu, lakini kwa sehemu yake Mungu hatoi maagizo ya wazi, ikionyesha vya kutosha kwamba kile kinachofanywa na Mungu, leo, bado hakijafichuliwa kabisa—ambalo ni kusema, mengi bado yamefichwa na bado hayajajulikana na watu. Lakini mambo mengine yanahitaji kujulikana na watu, na kuna mwengine yanayohitaji kuwaacha watu wakiwa wamekanganywa na kuchanganyikiwa; hiki ndicho kinachohitajika na kazi ya Mungu.

2.04.2019

1.25.2019

Wimbo wa Kuabudu 2019 | "Mungu Anashuka na Hukumu" | Christ of the Last Days Has Appeared

Wimbo wa Kuabudu 2019 | "Mungu Anashuka na Hukumu" | Christ of the Last Days Has Appeared

Anapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu,
Mungu anageuka kuutazama ulimwengu na unaanza kutingika.
Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake?
Ama kuishi katika janga Analotoa?

1.24.2019

Matamshi ya Mungu | Sura ya 49

       Ili kutumikia kwa uratibu, mtu lazima ajiunge kwa usahihi, na pia awe mchangamfu na dhahiri. Zaidi ya hayo, mtu lazima awe na uchangamfu, nguvu, na kujawa na imani, ili kwamba wengine waruzukiwe na watakuwa wakamilifu. Kunitumikia Mimi lazima utumikie Ninayonuia, sio tu kuupendeza moyo Wangu, lakini zaidi ya hayo kuridhisha nia Zangu, ili Niridhishwe na kile Ninachotimiza ndani yako.

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Wote Wasiomjua Mungu Ndio Wanaompinga Mungu"

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Wote Wasiomjua Mungu Ndio Wanaompinga Mungu"

       Mwenyezi Mungu anasema, "Wale Ninaosema wanampinga Mungu ni wale wasiomjua Mungu, wale wanaokiri Mungu na maneno matupu ilhali hawamjui, wale wanaomfuata Mungu lakini hawamtii, na wale wanaofurahia neema ya Mungu lakini hawawezi kumshuhudia.