Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu-wa-Ajabu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu-wa-Ajabu. Onyesha machapisho yote

1.24.2019

Matamshi ya Mungu | Sura ya 49

       Ili kutumikia kwa uratibu, mtu lazima ajiunge kwa usahihi, na pia awe mchangamfu na dhahiri. Zaidi ya hayo, mtu lazima awe na uchangamfu, nguvu, na kujawa na imani, ili kwamba wengine waruzukiwe na watakuwa wakamilifu. Kunitumikia Mimi lazima utumikie Ninayonuia, sio tu kuupendeza moyo Wangu, lakini zaidi ya hayo kuridhisha nia Zangu, ili Niridhishwe na kile Ninachotimiza ndani yako.