12.03.2018

Mtazamo wa Ayubu kwa Baraka za Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,neema,Nyimbo

Mtazamo wa Ayubu kwa Baraka za Mungu

I

Ayubu aliamini moyoni mwake kwamba yote aliyomiliki

yalitolewa na Mungu na si kwa mkono wake mwenyewe.

Hakuona baraka kama vitu vya kumnufaisha,

lakini aliishikilia njia ambayo anapaswa kufuata

kama mwongozo wake wa kuishi. 

12.02.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Moja

Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Roho Mtakatifu sasa imewaleta katika mbingu mpya na dunia mpya. Kila kitu kinaendelea kufanywa upya, kila kitu ki mikononi Mwangu, kinarudi ulingoni! Kwa dhana zao, watu wanashindwa kulifikiria kwa makini, na kwao haina maana, lakini ni Mimi ambaye niko kazini, na hekima Yangu iko ndani yake.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nimeona Uzuri wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo,ukweli

Nimeona Uzuri wa Mungu

Nasikia sauti ninayoifahamu ikiniita kila wakati.
Nikiamshwa na kutazama ili nione, ni nani yuko hapo akizungumza.
Sauti Yake ni nyororo lakini kali, sura Yake nzuri!
Pitia pigo na uvumilie uchungu mkubwa, kupapaswa na mkono Wake wa upendo. 

12.01.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Sabini na Mbili

Mwenyezi Mungu alisema, Sharti unitegemee kuondoa upungufu ama udhaifu mara tu unapougundua. Usichelewe; vinginevyo kazi ya Roho Mtakatifu atakuwa mbali sana nawe, na utaanguka nyuma mbali sana. Kazi ambayo Nimekuaminia inaweza kutimizwa kwa kupitia tu kukaribia kwako mara kwa mara, kuomba, na kuwa na ushirika katika uwepo Wangu.

Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" (Mazungumzo Chekeshi) | The Son of Man Has Come to Earth


      Katika siku za mwisho, hali ya moyo ya Wakristo wanaongoja kurudi kwa Bwana Yesu inakuwa kali sana, lakini ni kwa vipi, hasa, Bwana atarudi?Baadhi wanasema, "Bwana Yesu atakuja na mawingu." Wengine wanasema, "Unabii unaotabiri kurudi Kwake nao unasema, 'Tazama, mimi nakuja kama mwizi' (Ufu 16:15).

11.30.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Hamsini na Moja

Ee! Mwenyezi Mungu! Amina! Ndani Yako yote yanaachiliwa, yote ni huru, yote ni wazi, yote hufichuliwa, yote hung’aa, bila sitara au maficho yoyote. Wewe ni Mwenyezi Mungu mwenye mwili.

Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu


  • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  • I
  • Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu
  • wanaomwabudu na kumtii Yeye.
  • Ingawa wamepotoshwa na Shetani,
  • hawamwiti baba tena. 

11.29.2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Sita

Kutoka kwa maneno yote yaliyonenwa na Mungu, inaweza kuonekana kwamba siku ya Mungu inakaribia kila siku inapopita. Ni kama kwamba siku hii iko mbele ya macho ya watu, kama kwamba itafika kesho.

Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo,wokovu

Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili

I
Mungu alikuwa mwili kwa sababu chombo cha kazi Yake
sio roho wa Shetani, wala chochote, kisicho cha mwili, bali ni mwanadamu.
Mwili wa mwanadamu ulikuwa umepotoshwa na Shetani na hivyo ukakuwa chombo cha kazi ya Mungu. 

11.28.2018

Tamko la Thelathini na Tano

Ngurumo saba zinatoka kwenye kiti cha enzi, zinautikisa ulimwengu, zinageuza mbingu na ardhi, na zinavuma angani! Sauti hiyo inapenya sana kiasi kwamba watu hawawezi kuepuka wala kujificha. Nuru ya ghafla ya umeme na sauti ya radi zinatumwa mbele, zikiiangusha chini mbingu na ardhi papo hapo, na watu wamekaribia kufa.

Kiini cha Mungu Kimejaa Heshima

Umeme wa Mashariki,Nyimbo,Mungu

Kiini cha Mungu Kimejaa Heshima

I
Sehemu ya kiini cha Mungu ni upendo, huruma Yake hufikia wote,
lakini watu husahau asili Yake ni heshima pia.
Kwamba Mungu ana upendo haimaanishi
Anaweza kukosewa bila hisia yoyote au athari. 

11.27.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Moja

Mwenyezi Mungu alisema,  Ninawapenda wale wote wanaonitaka Mimi kwa dhati. Mkilenga kunipenda, hakika Nitawabariki kwa kiasi kikubwa. Je, mnaelewa nia Zangu? Katika nyumba Yangu, hakuna tofauti kati ya hali ya juu na chini. Kila mtu ni mwanangu, Mimi ni Baba yenu, Mungu wenu. Mimi ni mkuu na wa pekee. Ninadhibiti kila kitu ulimwenguni!