11.30.2018

Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  • I
  • Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu
  • wanaomwabudu na kumtii Yeye.
  • Ingawa wamepotoshwa na Shetani,
  • hawamwiti baba tena. 
  • Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
  • Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
  • Wanajua kile kilicho kibaya,
  • na kile ambacho ni kitakatifu.
  • Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
  • Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi
  • wala kumwabudu tena.
  • Kwa sababu hawa ni watu ambao
  • kwa kweli wametwaliwa na Mungu.
  • Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.
  • II
  • Katika usimamizi wa Mungu wa wakati huu,
  • mwanadamu ni lengo la upotovu wa Shetani,
  • yeye ni kasidi cha wokovu wa Mungu
  • na kile ambacho Mungu na Shetani wanapigania.
  • Wakati wa kazi ya Mungu,
  • Anampata tena mwanadamu hatua kwa hatua kutoka Shetani.
  • Kisha mwanadamu anakuwa karibu zaidi na Mungu ...
  • Wanajua kile kilicho kibaya,
  • na kile ambacho ni kitakatifu.
  • Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
  • Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi
  • wala kumwabudu tena.
  • Kwa sababu hawa ni watu ambao
  • kwa kweli wametwaliwa na Mungu.
  • Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.
  •  

  • kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

                Soma zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni