11.28.2018

Kiini cha Mungu Kimejaa Heshima

Umeme wa Mashariki,Nyimbo,Mungu

Kiini cha Mungu Kimejaa Heshima

I
Sehemu ya kiini cha Mungu ni upendo, huruma Yake hufikia wote,
lakini watu husahau asili Yake ni heshima pia.
Kwamba Mungu ana upendo haimaanishi
Anaweza kukosewa bila hisia yoyote au athari. 
Usitumie mawazo ya mwanadamu kumfafanua Mungu,
wala kulazimisha matakwa yako Kwake,
kumfanya Mungu atumie mawazo na mtindo wa mwanadamu
katika jinsi Anavyowatendea wanadamu, jinsi Anavyowatendea wanadamu.
II
Rehema Yake haimaanishi Yeye hana kanuni
katika jinsi Anavyowatendea watu Wake.
Mungu anaishi, ndiyo, Yeye yupo kweli.
Yeye si karagosi au kitu kingine, ndiyo.
Usitumie mawazo ya mwanadamu kumfafanua Mungu,
wala kulazimisha matakwa yako Kwake,
kumfanya Mungu atumie mawazo na mtindo wa mwanadamu
katika jinsi Anavyowatendea wanadamu.
Ukifanya hivyo, utamkasirisha Mungu, kuijaribu ghadhabu Yake,
utakuwa unaijaribu heshima, heshima ya Mungu.
III
Kwa kuwa Yeye yupo, tunapaswa kusikiliza sauti ya moyo Wake,
kuwa makini na mtazamo Wake na kuelewa hisia Zake.
Usitumie mawazo ya mwanadamu kumfafanua Mungu,
wala kulazimisha matakwa yako Kwake, ndiyo,
kumfanya Mungu atumie mawazo na mtindo wa mwanadamu
katika jinsi Anavyowatendea wanadamu.
Ukifanya hivyo, utamkasirisha Mungu, kuijaribu ghadhabu Yake,
utakuwa unaijaribu heshima, heshima ya Mungu,
eh, heshima ya Mungu.
kutoka katika "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

      Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni