8.19.2019

Unyakuo ni lazima utegemezwe maneno ya Mungu na sio dhana na mawazo ya mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Biblia

XX. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Unyakuo ni nini na Maana Halisi ya Kuinuliwa Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu

Unyakuo ni lazima utegemezwe maneno ya Mungu na sio dhana na mawazo ya mwanadamu

Aya za Biblia za Kurejelea:
Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako ufike, Mapenzi yako yafanywe duniani, kama ilivyo mbinguni” (Mathayo 6:9-10).
Na mimi Yohana nikauona mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukija chini kutoka kwa Mungu mbinguni…. Tazama, hema takatifu la Mungu liko pamoja nao watu, na yeye atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Na yeye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao, na kuwa Mungu wao” (Ufunuo 21:2-3).

8.18.2019

Kwa nini ulimwengu wa kidini daima umemkana Kristo, kumkataa na kumhukumu Yeye, na hivyo kupitia laana za Mungu?

XIX. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Ukweli wa ni Kwa Nini Njia ya Kweli Imepitia Usumbufu Tangu Nyakati za Kale

Kwa nini ulimwengu wa kidini daima umemkana Kristo, kumkataa na kumhukumu Yeye, na hivyo kupitia laana za Mungu?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Sikizeni mfano mwingine: Kulikuwa na mwenye nyumba fulani, aliyepanda shamba la zabibu, na akalizingira kwa ua, na akachimba kishinikizo cha zabibu ndani yake, na akajenga mnara, na akalipangisha kwa wakulima, na akasafiri kwenda nchi ya mbali: Na wakati wa matunda ulipokaribia, aliwatuma watumwa wake kwa wakulima, ili waweze kupokea matunda yake. Na wakulima wakawachukua watumwa wake, wakampiga mmoja, na kumuua mwingine, na kumpiga mwingine kwa mawe.

8.17.2019

Kwa nini serikali ya Kikomunisti ya China hutesa kwa ukali, kukandamiza na kuchukulia hatua Mwenyezi Mungu na Kanisa la Mwenyezi Mungu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Biblia

XIX. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Ukweli wa ni Kwa Nini Njia ya Kweli Imepitia Usumbufu Tangu Nyakati za Kale

Kwa nini serikali ya Kikomunisti ya China hutesa kwa ukali, kukandamiza na kuchukulia hatua Mwenyezi Mungu na Kanisa la Mwenyezi Mungu?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Hiki ni kizazi kibaya” (Luka 11:29).
Ulimwengu mzima uko ndani ya maovu” (1 Yohana 5:19).
“Namna ambavyo umeanguka toka mbinguni, Ewe Luciferi, mwana wa asubuhi! Namna ambavyo umeangushwa chini, wewe uliyedhoofisha mataifa! Kwani umesema moyoni mwako, Nitapaa hadi mbinguni, Nitakiinua kiti changu cha enzi juu ya nyota za Mungu: Pia nitakaa juu ya mlima wa mkusanyiko, kwa pande za kaskazini: Nitapaa juu ya mawingu; Nitakuwa kama Aliye Juu Zaidi” (Isaya 14:12-14).

8.16.2019

Ni nini hasa mtu anayefuata mapenzi ya Mungu? Na ushahidi wa kweli wa imani katika Mungu ni nini?

XVIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kilicho Kufuata Mapenzi ya Mungu na Kilicho Ushahidi wa Kweli wa Imani katika Mungu

Ni nini hasa mtu anayefuata mapenzi ya Mungu? Na ushahidi wa kweli wa imani katika Mungu ni nini?

Aya za Biblia za Kurejelea:
“Kutoka hapo Ayubu akainuka, na akalipasua joho lake, na akanyoa kichwa chake, na akaanguka chini, na kuabudu, Naye akasema, Nilitoka kwa tumbo la mama yangu nikiwa uchi, na mimi nitarudi huko nikiwa uchi; Yehova alinipa, na Yehova amechukua; jina la Yehova libarikiwe” (Ayubu 1:20-21).
“Naye akasema, Umchukue mwana wako sasa, mwana wako wa pekee Isaka, unayempenda, na uende hadi nchi ya Moria; na huko umtoe kwa sadaka ya kuteketezwa juu ya mojawapo ya milima ambayo nitakuambia.… Na Ibrahimu akanyosha mbele mkono wake, na kukichukua kisu ili amchinje mwana wake” (Mwanzo 22:2, 10).

8.15.2019

Ni ushuhuda wa kweli wa imani katika Mungu kama mtu hufurahia neema ya Mungu tu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,upendo wa Mungu

XVIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kilicho Kufuata Mapenzi ya Mungu na Kilicho Ushahidi wa Kweli wa Imani katika Mungu

Ni ushuhuda wa kweli wa imani katika Mungu kama mtu hufurahia neema ya Mungu tu?

Maneno Husika ya Mungu:
Kama wewe hufurahia tu neema ya Mungu, na maisha ya familia yenye amani au baraka yakinifu, basi hujampata Mungu, na imani yako kwa Mungu haijafaulu. Mungu tayari ametekeleza hatua moja ya kazi ya neema katika mwili, na tayari amempa mwanadamu baraka yakinifu—lakini mwanadamu hawezi kufanywa mkamilifu na neema, upendo, na rehema pekee.

8.14.2019

Kufuata mapenzi ya Mungu ni nini? Ni kufuata mapenzi ya Mungu kama mtu anatekeleza kazi ya misheni kwa ajili yaBwana?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Biblia

XVIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kilicho Kufuata Mapenzi ya Mungu na Kilicho Ushahidi wa Kweli wa Imani katika Mungu

Kufuata mapenzi ya Mungu ni nini? Ni kufuata mapenzi ya Mungu kama mtu anatekeleza kazi ya misheni kwa ajili yaBwana?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako mzima, na roho yako nzima, na akili yako nzima. Hii ni amri ya kwanza na kubwa. Na ya pili ni kama hiyo, Mpende jirani yako kama unavyojipenda” (Mathayo 22:37-39).
Kama mwanadamu ananipenda, atayazingatia maneno yangu…. Yeye asiyenipenda hayazingatii maneno yangu” (Yohana 14:23-24).
Mkidumu katika neno langu, basi ninyi ni wanafunzi wangu kweli …” (Yohana 8:31).

8.13.2019

Kwa nini ukweli unaoonyeshwa na Mungu katika siku za mwisho unaweza kumtakasa mtu, kumkamilisha mwanadamu na kuwa maisha ya mwanadamu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,siku za mwisho

XVII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Jinsi ya Kutambua Kati ya Uhalisi wa Ukweli na Maarifa ya Biblia na Mafundisho

Kwa nini ukweli unaoonyeshwa na Mungu katika siku za mwisho unaweza kumtakasa mtu, kumkamilisha mwanadamu na kuwa maisha ya mwanadamu?

Maneno Husika ya Mungu:
Njia ya maisha si kitu ambacho kinaweza kumilikiwa na mtu yeyote tu, wala hakipatikani kwa urahisi na wote. Hiyo ni kwa sababu maisha yanaweza kuja tu kutoka kwa Mungu, ambayo ni kusema, Mungu Mwenyewe tu ndiye Anamiliki mali ya maisha, hakuna njia ya maisha bila Mungu Mwenyewe, na hivyo Mungu tu ndiye chanzo cha uzima, na kijito cha maji ya uzima kinachotiririka nyakati zote. Kutoka Alipoumba dunia, Mungu amefanya kazi kubwa inayoshirikisha uhai wa maisha, Amefanya kazi kubwa ambayo huletea mwanadamu maisha, na Amelipa gharama kubwa ili mtu aweze kupata uzima, kwa kuwa Mungu Mwenyewe ni uzima wa milele, na Mungu Mwenyewe ni njia ambayo kwayo mtu hufufuliwa.

8.12.2019

Matokeo yatakuwa gani kama mtu anamwamini Mungu kwa kutegemea maarifa ya teolojia katika Biblia?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

XVII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Jinsi ya Kutambua Kati ya Uhalisi wa Ukweli na Maarifa ya Biblia na Mafundisho

Matokeo yatakuwa gani kama mtu anamwamini Mungu kwa kutegemea maarifa ya teolojia katika Biblia?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Watu hawa wananikaribia kwa vinywa vyao, na wananiheshimu kwa midomo yao; lakini moyo wao uko mbali nami. Lakini wananiabudu bure, wakifunza mafundisho ya dini ambayo ni amri za wanadamu” (Mathayo 15:8-9).
“Kwa sababu andiko huua, lakini roho hupeana maisha” (2 Wakorintho 3:6).
Maneno Husika ya Mungu:
Watu, ambao wamepotoshwa, wote huishi katika mtego wa Shetani, wao kuishi katika mwili, kuishi katika tamaa za ubinafsi, na hakuna hata mmoja kati yao anayelingana na Mimi.

8.11.2019

Ukweli ni nini? Maarifa ya Biblia na mafundisho ni nini?

XVII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Jinsi ya Kutambua Kati ya Uhalisi wa Ukweli na Maarifa ya Biblia na Mafundisho

Ukweli ni nini? Maarifa ya Biblia na mafundisho ni nini?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Mwanzoni kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa na Mungu, na Neno alikuwa Mungu” (Yohana1:1).
“Na Neno alifanywa kuwa mwili, na akakaa kati yetu, aliyejawa neema na ukweli” (Yohana 1:14).
Mimi ndiye njia, ukweli na uhai” (Yohana 14:6).
Watakase kupitia kwa ukweli wako: neno lako ni ukweli” (Yohana 17:17).

8.10.2019

Kumuainisha Mungu mmoja wa kweli kama “Mungu wa utatu” ni kumkana na kumkufuru Mungu

XVI. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kama Mungu Kweli ni Mungu wa Utatu au ni Mungu Mmoja wa Kweli

Kumuainisha Mungu mmoja wa kweli kama “Mungu wa utatu” ni kumkana na kumkufuru Mungu

Maneno Husika ya Mungu:
Hebu Niwaambie hilo, kwa hakika, Utatu Mtakatifu haupo popote katika dunia hii. Mungu hana Baba wala Mwana, vivyo hivyo hakuna dhana ya chombo kitumiwacho kwa pamoja na Baba na Mwana: Roho Mtakatifu. Huu wote ni uongo mkubwa zaidi na haupo kabisa katika dunia hii! Hata hivyo uongo huu una asili yake na haukosi msingi kabisa, kwani akili zenu si punguani, na mawazo yenu hayakosi mantiki. Badala yake, ziko sawa na yenye ubunifu kwa kiasi kikubwa, kwamba haziwezi kuzuiwa hata na Shetani yeyote.

8.09.2019

Kwa nini inasemekana kwamba “Utatu” ni kauli ya upuuzi zaidi?

XVI. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kama Mungu Kweli ni Mungu wa Utatu au ni Mungu Mmoja wa Kweli

Kwa nini inasemekana kwamba “Utatu” ni kauli ya upuuzi zaidi?

Maneno Husika ya Mungu:
Baada ya ukweli wa Yesu aliyepata mwili kutokea, mwanadamu aliamini hili: Si Baba pekee aliye mbinguni, bali pia Mwana, na hata Roho Mtakatifu. Hii ndiyo dhana ya kawaida aliyonayo mwanadamu, kwamba kuna Mungu wa aina hii mbinguni: Utatu ambao ni Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, wote katika nafsi moja. Wanadamu wote wana fikra hizi: Mungu ni Mungu mmoja, ila Anajumuisha sehemu tatu, kile ambacho wale wote waliofungwa kwa huzuni katika hizi dhana za kawaida wanachukulia kuwa kuna Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. Ni sehemu hizo tatu pekee ambazo zimefanywa moja ambazo ni Mungu kamili. Bila Baba Mtakatifu, Mungu asingekuwa mkamilifu.

8.08.2019

Mungu wa kweli aliyeziumba mbingu na ardhi na vitu vyote ni mmoja au watatu?

XVI. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kama Mungu Kweli ni Mungu wa Utatu au ni Mungu Mmoja wa Kweli

Mungu wa kweli aliyeziumba mbingu na ardhi na vitu vyote ni mmoja au watatu?

Aya za Biblia za Kurejelea:
“Filipo akamwambia, Bwana, tuonyeshe Baba, na hiyo itatutosha. Yesu akasema kwake, nimekuwa nanyi kwa muda mrefu, na bado hujanijua, Filipo? Yeye ambaye ameniona amemwona Baba; na unasemaje basi, Tuonyeshe Baba? Huamini kwamba mimi niko ndani ya Baba, na Baba yuko ndani ya mimi? Maneno ninenayo kwenu sineni juu yangu, ila Baba aishiye ndani yangu, anazifanya kazi hizo” (Yohana 14:8-10).
Mimi na yeye Baba yangu tu mmoja” (Yohana 10:30).