12.24.2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 85

Mimi huwatumia watu tofauti kufanikisha mapenzi Yangu. Laana Zangu hufanikishwa kwa wale Ninaowaadibu na baraka Zangu kufanikishwa kwa wale ambao Ninawapenda. Ambao sasa hukutana na baraka Zangu na ambao hupitia laana Zangu kwa neno Langu moja na tamko Langu.

nyimbo za injili | Hakuna Anayeweza Kuizuia Kazi ya Mungu

Umeme wa Mashariki,Biblia,nyimbo za injili
Hakuna Anayeweza Kuizuia Kazi ya Mungu
Kazi ya Mungu, kazi ya Mungu, hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe.

I

Mungu alipomwahidi Ibrahimu kuwa angekuwa na mwana,
alifikiri haiwezekani. 

12.23.2018

Sura ya 83

Hujui kwamba Mimi ni Mwenyezi Mungu; hujui kwamba mambo yote na vitu vyote viko chini ya udhibiti Wangu! Maana ya kila kitu huumbwa na kukamilishwa na Mimi ni ni? Baraka au misiba ya kila mtu hutegemea utimilifu Wangu, matendo Yangu. Mwanadamu anaweza kufanya nini? Mwanadamu anaweza kufanikisha nini kwa kufikiri? Katika enzi hii ya mwisho, katika enzi hii potovu, katika dunia hii ya giza ambayo Shetani ameipotosha sana, ni kina nani wachache ambao wako jinsi Nipendavyo? Ikiwa ni leo, jana, au katika siku zijazo zisizo mbali, maisha ya kila mtu huamuliwa na Mimi.

Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake

Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake

I
Mungu ni uzima, chanzo cha viumbe wote wanaoishi.
Mamlaka ya Mungu hufanya kila kitu kitii maneno Yake,
kije kuwepo kulingana na maneno Yake,
kiishi na kuzaa kwa amri ya Mungu.
Mungu huwaongoza viumbe wote waishio,
na hakutakuwa na kupotoka milele na milele. 

12.22.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 53

       Mimi ndiye mwanzo, na Mimi ndiye mwisho. Mimi ndiye Mungu mmoja wa kweli aliyefufuka na kamili. Nasema maneno Yangu mbele yenu, na lazima muamini Ninachosema kwa thabiti. Mbingu na dunia zinaweza kupita lakini hakuna herufi moja au mstari mmoja wa kile Ninachosema kitawahi kupita. Kumbuka hili! Kumbuka hili! Punde ambapo Nimesema, hakuna neno hata moja limewahi kurudishwa na kila neno litatimizwa.

nyimbo za injili | Unapaswa Kutafuta Kumpenda Mungu kwa Hiari

Umeme wa Mashariki,nyimbo za dini,ukweli

Unapaswa Kutafuta Kumpenda Mungu kwa Hiari

I
Leo lazima uwe katika njia sahihi
kwani unamwamini Mungu wa vitendo.
Ukiwa na imani, usitafute tu baraka Zake,
bali tafuta kumpenda na kumjua Mungu. 

12.21.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Sitini

Mwenyezi Mungu alisema, Si jambo rahisi kwa maisha kukua; yanahitaji mchakato, na aidha, kwamba muweze kulipa gharama na kwamba mshirikiane na Mimi kwa uwiano, na hivyo mtapata sifa Yangu. Mbingu na dunia na vitu vyote vinaanzishwa na kufanywa kamili kupitia maneno ya kinywa Changu na chochote kinaweza kutimizwa nami. 

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini"



Mwenyezi Mungu alisema, Ni kitu gani ambacho mwanadamu amepokea tangu alipomwamini Mungu mara ya kwanza? Umejua kitu gani kumhusu Mungu? Umebadilika kiasi gani kwa sababu ya imani yako kwa Mungu? Sasa mnajua nyote ya kwamba imani ya mwanadamu katika Mungu si kwa ajili ya wokovu wa roho na ustawi wa mwili tu, wala si kuimarisha maisha yake kwa njia ya upendo wa Mungu, na kadhalika. Kama ilivyo sasa, kama unampenda Mungu kwa ajili ya ustawi wa mwili au furaha ya muda, basi hata kama, mwishoni, upendo wako kwa Mungu utafikia kilele chake na wewe hutaulizia kitu chochote, upendo huu unaoutafuta ni upendo mchafu na haumpendezi Mungu.

12.20.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Sabini na Nane

Nimesema kabla ya kuwa kazi inafanywa na Mimi, sio na mwanadamu yeyote. Kwangu, kila kitu kimetulia na kufurahi, lakini na ninyi mambo ni tofauti sana na chochote mnachofanya ni kigumu sana. Kitu chochote Ninachokubali hakika kitatimizwa na Mimi, wakati mtu yeyote Ninayemkubali atakamilishwa na Mimi. Wanadamu—msiingilie katika kazi Yangu!

nyimbo za dini | Mamlaka ya Mungu ni ya Pekee


I

Mamlaka ya Mungu ni ya pekee; ni maneno Yake maalum na kiini,
ambayo hakuna viumbe wengine walio nayo, walioumbwa au wasioumbwa.
Muumba peke Yake ndiye aliye na mamlaka kama hayo, Mungu wa Pekee ana kiini hiki.
Mungu aliumba kila kitu, Yeye ana mamlaka juu ya vyote. 

12.19.2018

Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,nyimbo za injili

Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

I
Mungu aliumba vitu vyote, na hivyo Yeye hufanya viumbe wote
kuja chini ya utawala Wake, na kutii utawala Wake.
Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mikono Yake. 

Matamshi ya Mungu | Sura ya 104


      Mwenyezi Mungu alisema,  “Watu, matukio na vitu vyote nje Yangu vitakufa na kuwakatika hali ya kutokuwepo, ilhali watu, matukio na vitu vyote vilivyo ndani Yangu vitapata kila kitu kutoka Kwangu na kuingia katika utukufu pamoja na Mimi, kuingia katika Mlima Wangu Sayuni, makazi Yangu, na kuishi pamoja kwa amani nami milele. Niliumba vitu vyote mwanzoni na Nitamaliza kazi Yangu mwishowe, na pia Nitatawala milele kama Mfalme. Katikati, pia Ninaongoza na kuutawala ulimwengu mzima. Hakuna anayeweza kuondoa mamlaka Yangu, kwani Mimi ni Mungu mmoja Mwenyewe, na pia Nina uwezo wa kupitisha mamlaka Yangu kwawazaliwa Wangu wa Kwanza, ili wazaliwa Wangu wa kwanza waweze kutawala kandokando Yangu.