Mwenyezi Mungu alisema, Oh, enzi hii mbaya na yenye uzinzi! Nitakumeza! Mlima Sayuni! Simama unisifu Mimi! Kwa kukamilika kwa mpango Wangu wa usimamizi, kwa kukamilika kwa kazi Yangu kuu, ni nani athubutuye kutoinuka na kufurahi! Ni nani athubutuye kutoinuka na kuruka kwa furaha bila kukoma! Atakutana na kifo chake mkononi Mwangu.
Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
12.04.2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (3) - Kufichua Fumbo la Kupata Mwili
12.03.2018
Tamko la Sabini na Tisa
Vipofu! Wajinga! Rundo la takataka lisilo na maana! Nyinyi hutenganisha ubinadamu Wangu wa kawaida na uungu Wangu! Je, hamfikiri kuwa hii ni dhambi dhidi Yangu? Na zaidi ni kuwa ni kitu ambacho ni vigumu kusamehe! Mungu wa vitendo anakuja miongoni mwenu leo lakini mwajua tu upande Wangu mmoja ambao ni ubinaamu Wangu wa kawaida, na hamjaona kabisa upande Wangu ambao ni wa kiungu kabisa.
Mtazamo wa Ayubu kwa Baraka za Mungu
Mtazamo wa Ayubu kwa Baraka za Mungu
I
Ayubu aliamini moyoni mwake kwamba yote aliyomiliki
yalitolewa na Mungu na si kwa mkono wake mwenyewe.
Hakuona baraka kama vitu vya kumnufaisha,
lakini aliishikilia njia ambayo anapaswa kufuata
kama mwongozo wake wa kuishi.
12.02.2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Moja
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Roho Mtakatifu sasa imewaleta katika mbingu mpya na dunia mpya. Kila kitu kinaendelea kufanywa upya, kila kitu ki mikononi Mwangu, kinarudi ulingoni! Kwa dhana zao, watu wanashindwa kulifikiria kwa makini, na kwao haina maana, lakini ni Mimi ambaye niko kazini, na hekima Yangu iko ndani yake.
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nimeona Uzuri wa Mungu
Nimeona Uzuri wa Mungu
Ⅰ
Nasikia sauti ninayoifahamu ikiniita kila wakati.
Nikiamshwa na kutazama ili nione, ni nani yuko hapo akizungumza.
Sauti Yake ni nyororo lakini kali, sura Yake nzuri!
Pitia pigo na uvumilie uchungu mkubwa, kupapaswa na mkono Wake wa upendo.
12.01.2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Sabini na Mbili
Mwenyezi Mungu alisema, Sharti unitegemee kuondoa upungufu ama udhaifu mara tu unapougundua. Usichelewe; vinginevyo kazi ya Roho Mtakatifu atakuwa mbali sana nawe, na utaanguka nyuma mbali sana. Kazi ambayo Nimekuaminia inaweza kutimizwa kwa kupitia tu kukaribia kwako mara kwa mara, kuomba, na kuwa na ushirika katika uwepo Wangu.
Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" (Mazungumzo Chekeshi) | The Son of Man Has Come to Earth
Katika siku za mwisho, hali ya moyo ya Wakristo wanaongoja kurudi kwa Bwana Yesu inakuwa kali sana, lakini ni kwa vipi, hasa, Bwana atarudi?Baadhi wanasema, "Bwana Yesu atakuja na mawingu." Wengine wanasema, "Unabii unaotabiri kurudi Kwake nao unasema, 'Tazama, mimi nakuja kama mwizi' (Ufu 16:15).
11.30.2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Hamsini na Moja
Ee! Mwenyezi Mungu! Amina! Ndani Yako yote yanaachiliwa, yote ni huru, yote ni wazi, yote hufichuliwa, yote hung’aa, bila sitara au maficho yoyote. Wewe ni Mwenyezi Mungu mwenye mwili.
Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu
- Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu
- I
- Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu
- wanaomwabudu na kumtii Yeye.
- Ingawa wamepotoshwa na Shetani,
- hawamwiti baba tena.
11.29.2018
Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Sita
Kutoka kwa maneno yote yaliyonenwa na Mungu, inaweza kuonekana kwamba siku ya Mungu inakaribia kila siku inapopita. Ni kama kwamba siku hii iko mbele ya macho ya watu, kama kwamba itafika kesho.
Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili
Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili
I
Mungu alikuwa mwili kwa sababu chombo cha kazi Yake
sio roho wa Shetani, wala chochote, kisicho cha mwili, bali ni mwanadamu.
Mwili wa mwanadamu ulikuwa umepotoshwa na Shetani na hivyo ukakuwa chombo cha kazi ya Mungu.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)