Inaonyesha machapisho ya hoja yaliyopangwa kwa uhusiano ushuhuda. Panga kwa tarehe Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho ya hoja yaliyopangwa kwa uhusiano ushuhuda. Panga kwa tarehe Onyesha machapisho yote

8.16.2019

Ni nini hasa mtu anayefuata mapenzi ya Mungu? Na ushahidi wa kweli wa imani katika Mungu ni nini?

XVIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kilicho Kufuata Mapenzi ya Mungu na Kilicho Ushahidi wa Kweli wa Imani katika Mungu

Ni nini hasa mtu anayefuata mapenzi ya Mungu? Na ushahidi wa kweli wa imani katika Mungu ni nini?

Aya za Biblia za Kurejelea:
“Kutoka hapo Ayubu akainuka, na akalipasua joho lake, na akanyoa kichwa chake, na akaanguka chini, na kuabudu, Naye akasema, Nilitoka kwa tumbo la mama yangu nikiwa uchi, na mimi nitarudi huko nikiwa uchi; Yehova alinipa, na Yehova amechukua; jina la Yehova libarikiwe” (Ayubu 1:20-21).
“Naye akasema, Umchukue mwana wako sasa, mwana wako wa pekee Isaka, unayempenda, na uende hadi nchi ya Moria; na huko umtoe kwa sadaka ya kuteketezwa juu ya mojawapo ya milima ambayo nitakuambia.… Na Ibrahimu akanyosha mbele mkono wake, na kukichukua kisu ili amchinje mwana wake” (Mwanzo 22:2, 10).

11.06.2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unajua Nini Kuhusu Imani?

ukombozi, Video za Injili, Yesu Kristo

     Mwenyezi Mungu alisema,  Ndani ya binadamu, kunalo neno lisilokuwa la uhakika, ilhali binadamu hajui imani inajumuisha nini, na vilevile hajui ni kwa nini anayo imani. Binadamu huelewa kidogo sana, na binadamumwenyewe amepungukiwa sana; yeye anakuwa tu na imani ndani Yangu bila kujali na bila kujua. Ingawa hajui imani ni nini wala ni kwa nini anayo imani ndani Yangu, anaendelea kufanya hivyo kwa shauku mno.

4.14.2018

Umeme wa Mashariki | Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)

Umeme wa Mashariki | Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2) 

Umeme wa Mashariki | Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)

Mwenyezi Mungu alisema, Mlikuwa mnatafuta kutawala kama wafalme, na leo bado hamjaacha kabisa suala hili; bado mnatamani kutawala kama wafalme, kushikilia mbingu na kuhimili dunia. Sasa, fikiria kuhusu hilo: Je, unazo sifa kama hizo? Je, huoni unakuwa mtu mpumbavu? Je, mnachokitafuta na kujitolea umakini wenu kwacho ni cha uhalisi?

1.07.2018

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
kutenda ukweli

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Kwa kutafuta ukweli tu ndipo utapata mabadiliko katika tabia yako: Hili ni jambo unalofaa kulielewa na kulielewa vizuri kabisa. Usipoelewa ukweli vya kutosha, utateleza kwa urahisi na kupotoka. Kutafuta kukua katika maisha lazima utafute ukweli katika kila kitu.

4.18.2018

Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu

Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu

  Mwenyezi Mungu alisema, Ni sheria ya Mbinguni na kanuni za duniani kumwamini Mungu na kumjua Mungu, na leo—wakati wa enzi ambapo Mungu mwenye mwili Anafanya kazi Yake mwenyewe—ndio wakati mwafaka hasa wa kumjua Mungu. Kumridhisha Mungu kunaafikiwa kwa msingi wa kufahamu mapenzi ya Mungu, na kuyafahamu mapenzi ya Mungu, ni muhimu kumjua Mungu. Ufahamu huu wa Mungu ni maono ambayo muumini anapaswa kuwa nayo; huu ndio msingi wa imani ya mwanadamu katika Mungu.

2.10.2018

Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli

Mwenyezi Mungu alisema, Mnapotaka kumpenda na kumjua Mungu leo, kwa upande mmoja ni lazima mstahimili mateso, usafishaji, na kwa ule upande mwingine, ni lazima mgharamike. Hakuna funzo lililo kubwa kuliko lile la kumpenda Mungu, na inaweza kusemwa kuwa funzo ambalo watu hujifunza katika maisha yao yote ya imani ni jinsi ya kumpenda Mungu.

2.12.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Je, Umekuwa Hai Tena?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Je, Umekuwa Hai Tena?
Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya kutimiza kuishi kulingana na ubinadamu wa kawaida, na umefanywa mkamilifu, ingawa utakuwa huwezi kunena unabii, wala siri zozote, utakuwa unaishi kulingana na kufichua taswira ya mwanadamu. Mungu alimuumba mwanadamu, baada ya hapo mwanadamu akaharibiwa na Shetani, na uharibifu huu umewafanya watu wawe maiti—na hivyo, baada ya kuwa umebadilika, utakuwa tofauti na maiti hizi. Ni maneno ya Mungu ndiyo yanatoa uzima kwa roho za watu na kuwasababisha kuzaliwa upya, na roho za watu zinapozaliwa upya, watakuwa hai tena.

8.26.2018

Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Manne ya Neno la Mungu Juu ya “Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi”

Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Manne ya Neno la Mungu Juu ya “Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi”

Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Manne ya Neno la Mungu Juu ya "Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi"
1. Wanadamu kwa kupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo. Lakini baada ya kupotoshwa, mwanadamu alipoteza utukufu na ushuhuda kwa sababu kila mtu alimwasi Mungu na kuacha kumtukuza kabisa.

9.21.2019

Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wana elimu dhabiti ya Biblia, kuieleza Biblia kinaganaga mara kwa mara kwa watu wakiwafanya washikilie Biblia, kwa hiyo kuieleza Biblia kinaganaga na kuiinua kwa kweli ni kumshuhudia na kumtukuza Bwana? Kwa nini inasemwa kwamba wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa ni Mafarisayo wa uongo? Bado hatuwezi kulielewa jambo hili, kwa hiyo unaweza kutujibu hili tafadhali?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki, Biblia

Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wana elimu dhabiti ya Biblia, kuieleza Biblia kinaganaga mara kwa mara kwa watu wakiwafanya washikilie Biblia, kwa hiyo kuieleza Biblia kinaganaga na kuiinua kwa kweli ni kumshuhudia na kumtukuza Bwana? Kwa nini inasemwa kwamba wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa ni Mafarisayo wa uongo? Bado hatuwezi kulielewa jambo hili, kwa hiyo unaweza kutujibu hili tafadhali?

Jibu:
Kwa watu, kueleza Biblia hakupaswi kuwa makosa, lakini wakati huo huo kama kueleza Biblia, kile wanachofanya hasa ni vitendo ambavyo vinavyopinga Mungu. Hawa ni watu wa aina gani? Je, si Mafarisayo wanafiki? Je, si wao ni wapinga Kristo wanaompinga Mungu? Kueleza Biblia ni kumpinga Mungu vipi? Kwa nini ni kumhukumu Mungu? Hata kuwasiliana kwa njia hii bado kuna watu ambao hawaelewi na bado wanadhani kuwa kuieleza Biblia ni kumwinua na kumshuhudia Mungu. Makuhani wakuu wa Kiyahudi, waandishi na Mafarisayo wakati huo wote walikuwa wasomi wa maandiko na wataalamu ambao mara nyingi walieleza maandiko kwa watu.

1.22.2019

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Je, Umekuwa Hai Tena?"

       Wale wanaoishi chini ya ushawishi wa giza, ni wale ambao wanaishi katikati ya kifo, ni wale ambao wametawaliwa na Shetani. Bila kuokolewa na Mungu, na kuhukumiwa na kuadibiwa na Mungu, watu wanakuwa hawana uwezo kukwepa athari ya kifo, hawawezi kuwa hai.

7.15.2019

Kumjua Mungu ni nini hasa? Kuwa kwa ufahamu wa Biblia na nadharia ya teolojia unaweza kuchukuliwa kama kumjua Mungu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ukweli

X. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kipengele cha Ukweli Kuhusu Jinsi ya Kumjua Mungu

Kumjua Mungu ni nini hasa? Kuwa kwa ufahamu wa Biblia na nadharia ya teolojia unaweza kuchukuliwa kama kumjua Mungu?

Maneno Husika ya Mungu:
Kumjua Mungu kunamaanisha nini? Kunamaanisha kwamba mwanadamu anajua shangwe, hasira, huzuni na furaha ya Mungu; huku ndiko kumjua Mungu. Unasema kwamba umemwona Mungu, ilhali huelewi shangwe, hasira, huzuni, na furaha ya Mungu, huelewi tabia Yake, wala huelewi haki Yake. Huna ufahamu wa rehema Zake, na hujui Anachokipenda ama Anachokichukia. Huu si ufahamu wa Mungu. Ikiwa unamjua, unamwelewa, na unaweza kuelewa mapenzi Yake kiasi, basi unaweza kumwamini kwa kweli, kumtii kwa kweli, kumpenda kwa kweli, na kumwabudu Yeye kwa kweli. Ikiwa huelewi mambo haya, basi unafuata tu, mtu fulani anayefuata tu na kufuata umati.

9.15.2019

Biblia ni ushahidi wa kazi ya Mungu; ni kwa kusoma Biblia pekee ndiyo wale wanaomwamini Bwana wanaweza kutambua kwamba Mungu aliumba mbingu na dunia na vitu vyote na kuona matendo ya ajabu ya Mungu, ukuu Wake na uweza. Katika Biblia kuna maneno mengi ya Mungu na ushuhuda mwingi wa uzoefu wa mwanadamu; inaweza kuyakimu maisha ya mwanadamu na kuwa na manufaa sana kwa mwanadamu, hivyo kile ninachopenda kufuatilia ni, kwa kweli tunaweza kupata uzima wa milele kwa kusoma Biblia? Kweli hakuna njia ya uzima wa milele katika Biblia?

Kupitia kusoma Biblia tunakuja kuelewa kuwa Mungu ni Muumba wa vitu vyote na tunaanza kutambua matendo Yake ya ajabu. Hii ni kwa sababu Biblia ni ushuhuda wa hatua mbili za kwanza za kazi ya Mungu. Ni rekodi ya maneno na kazi ya Mungu na ushuhuda wa mwanadamu katika Enzi ya Sheria na Enzi ya Neema. Kwa hivyo, Biblia ni muhimu sana kwa imani yetu. Fikiria kuihusu, kama sio Biblia, mwanadamu angewezaje kuelewa neno la Bwana na kumjua Bwana? Ni kwa njia nyingine ipi ndiyo mwanadamu angeshuhudia matendo ya Mungu na kuanza kukuza imani ya kweli kwa Mungu? Mwanadamu asiposoma Biblia, ni kwa njia nyingine ipi ataweza kushuhudia ushuhuda wa kweli wa watakatifu wote katika enzi zote wakimtii Mungu? Kwa hivyo, kusoma Biblia ni muhimu kwa utendaji wa imani, na muumini yeyote wa Mungu hafai kupotoka kutoka kwa Biblia. Unaweza kusema, yeyote anayepotoka kutoka kwa Biblia hawezi kuamini katika Bwana.

11.26.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Thelathini na Nne

Mwenyezi Mungu ni mwenye nguvu zote , mwenye kutimiliza yote na Mungu wa kweli kabisa! Habebi tu nyota saba, ana Roho saba, ana macho saba, anafungua mihuri saba na kufungua hati ya kukunja yenye maandishi, lakini zaidi ya hayo Yeye anaendesha mapigo saba na vikasa saba na kufungua radi saba; zamani za kale Yeye alipiga vinumbi saba!

11.27.2018

Tamko la Thelathini na Nne

Mwenyezi Mungu ni mwenye nguvu zote , mwenye kutimiliza yote na Mungu wa kweli kabisa! Habebi tu nyota saba, ana Roho saba, ana macho saba, anafungua mihuri saba na kufungua hati ya kukunja yenye maandishi, lakini zaidi ya hayo Yeye anaendesha mapigo saba na vikasa saba na kufungua radi saba; zamani za kale Yeye alipiga vinumbi saba!

7.06.2018

12. Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ushuhuda

12. Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu

Yongxin, Jiji la Yibin, Mkoa wa Sichuan
Hatukuwahi kumwamini Mungu kabla. Mnamo mwaka wa 2005, tukitiwa moyo na Mungu, mume wangu, baba mkwe wangu, mjomba wangu, na mimi wote tuliikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho. Baada ya muda mfupi, kanisa lilinipangia kufanya wajibu wa kuhifadhi vitabu. Baadaye, nyumba yetu ilishika moto, na wakati wa moto huu tulipokea ulinzi wa Mungu wa ajabu. Mungu kwa hakika ni mwenyezi!

8.07.2018

Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Hukumu na Kuadibu.

Sura ya 4 Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho

Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Hukumu na Kuadibu

Maneno Husika ya Mungu:
Kazi ya siku za mwisho ni kutenganisha vitu vyote kulingana na jinsi yavyo, kuhitimisha mpango wa usimamizi wa Mungu, kwa maana muda u karibu na siku ya Mungu imewadia. Mungu huwaleta wote ambao wameingia katika ufalme Wake, yaani, wale wote ambao wamekuwa waaminifu Kwake mpaka mwisho, katika enzi ya Mungu Mwenyewe. Hata hivyo, kabla ya kuja kwa enzi ya Mungu Mwenyewe, kazi Atakayofanya Mungu si kutazama matendo ya mwanadamu wala kuchunguza maisha ya wanadamu, ila ni kuhukumu uasi wake, kwa maana Mungu atawatakasa wale wote wanaokuja mbele ya kiti Chake cha enzi. Wale wote ambao wamefuata nyayo za Mungu mpaka siku hii ni wale ambao wamekuja mbele ya kiti cha enzi cha Mungu, na kwa hivyo, watu wote wanaokubali kazi ya Mungu katika awamu yake ya mwisho ni chombo cha utakaso wa Mungu. Kwa maneno mengine, wale wote wanaoikubali kazi ya Mungu katika awamu yake ya mwisho ni chombo cha hukumu ya Mungu.

11.04.2017

Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake

Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake

Mwenyezi Mungu alisemaKiini cha imani ya watu wengi katika Mungu ni imani za kidini: Hawana uwezo wa kumpenda Mungu, na wanaweza kumfuata Mungu tu kama roboti, bila kuweza kumtamani Mungu, ama kumwabudu. Wanamfuata tu kimyakimya. Watu wengi wanamwamini Mungu, lakini wapo wachache sana ambao humpenda Mungu; wanamheshimu tu Mungu kwa sababu wanaogopa majanga, au hata wanamstahi Mungu kwa sababu ni Mwenye nguvu na aliye juu—lakini katika kumheshimu na kuvutiwa kwao hakuna upendo au kutamani kwa kweli. Katika matukio wanayoyapitia wanataka chembe za ukweli, au hata miujiza fulani isiyokuwa na maana. Watu wengi hufuata tu, wanapitia njia mbaya ili tu kupokea baraka; hawataki ukweli, wala kumtii Mungu kwa kweli ili kupokea baraka za Mungu. 

2.12.2018

Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
Mwenyezi Mungu alisema, Kiini cha imani ya watu wengi katika Mungu ni imani za kidini: Hawana uwezo wa kumpenda Mungu, na wanaweza kumfuata Mungu tu kama roboti, bila kuweza kumtamani Mungu, ama kumwabudu. Wanamfuata tu kimyakimya. Watu wengi wanamwamini Mungu, lakini wapo wachache sana ambao humpenda Mungu; wanamheshimu tu Mungu kwa sababu wanaogopa majanga, au hata wanamstahi Mungu kwa sababu ni Mwenye nguvu na aliye juu—lakini katika kumheshimu na kuvutiwa kwao hakuna upendo au kutamani kwa kweli.

2.24.2019

Ushuhuda wa Mkristo: Jinsi Alivyoshinda Majaribu ya Kuwa na Mpenzi wa Siri (Sehemu ya 1)

Na Xiyue, Mkoa wa Henan
Jioni moja, Jingru alikuwa akinadhifisha kwake.
“Krr, krr.” Simu ilianza kulia. Aliijibu na sauti ngeni lakini bado inayojulikana ililia sikioni mwake: “Halo! Ni Wang Wei. Uko nyumbani!”
“Wang Wei?” Jingru kwa namna fulani alistaajabu: Kwa nini alikuwa akimpigia simu sasa baada ya miaka mingi sana?
“Ndiyo … niko nyumbani. Kuna nini?” aliuliza Jingru kwa mshangao.

9.13.2019

Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wanashikilia maneno ya Paulo katika Biblia: “Andiko lote limetolewa kwa msukumo wa Mungu” (2 Timotheo 3:16), wakiamini kwamba kila kitu katika Biblia ni maneno ya Mungu. Lakini unasema kwamba maneno ya Biblia si maneno ya Mungu kabisa, kwa hiyo haya yote yanamaanisha nini?

Kuanzia, tunahitaji kuelewa jinsi Biblia ilipata umbo, na wakati ilitungwa. Kitabu asili cha Biblia kinahusu Agano la Kale. Waisraeli, yaani, Wayahudi, waliliita Agano la Kale Andiko pekee. Na kisha, katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu alifanya hatua ya kazi ya ukombozi. Zaidi ya miaka mia tatu baada ya Bwana, viongozi wa kanisa wa wakati huo walikuja pamoja kufanya mkutano. Waliamini kwamba siku za mwisho zilikuwa zikikaribia na kwamba maneno ambayo Bwana Yesu alikuwa amenena, na nyaraka ambazo wanafunzi walikuwa wameandika, zinapaswa kujumuishwa pamoja kuunda kitabu sawa na Agano la Kale, na kutumiwa makanisa kila mahali.