Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wana elimu dhabiti ya Biblia, kuieleza Biblia kinaganaga mara kwa mara kwa watu wakiwafanya washikilie Biblia, kwa hiyo kuieleza Biblia kinaganaga na kuiinua kwa kweli ni kumshuhudia na kumtukuza Bwana? Kwa nini inasemwa kwamba wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa ni Mafarisayo wa uongo? Bado hatuwezi kulielewa jambo hili, kwa hiyo unaweza kutujibu hili tafadhali?
Jibu:
Kwa watu, kueleza Biblia hakupaswi kuwa makosa, lakini wakati huo huo kama kueleza Biblia, kile wanachofanya hasa ni vitendo ambavyo vinavyopinga Mungu. Hawa ni watu wa aina gani? Je, si Mafarisayo wanafiki? Je, si wao ni wapinga Kristo wanaompinga Mungu? Kueleza Biblia ni kumpinga Mungu vipi? Kwa nini ni kumhukumu Mungu? Hata kuwasiliana kwa njia hii bado kuna watu ambao hawaelewi na bado wanadhani kuwa kuieleza Biblia ni kumwinua na kumshuhudia Mungu. Makuhani wakuu wa Kiyahudi, waandishi na Mafarisayo wakati huo wote walikuwa wasomi wa maandiko na wataalamu ambao mara nyingi walieleza maandiko kwa watu.