8.23.2019

Unasema kwamba Bwana Yesu amerudi, kwa nini hatujamwona? Kuona ni kuamini. Kama hatujamwona, basi hilo lazima limaanishe kuwa Yeye hajarudi bado; nitaamini hilo nitakapomwona. Unasema kwamba Bwana Yesu amerudi, kwa hiyo Yuko wapi sasa? Anafanya kazi gani? Bwana Amesema maneno gani? Nitaliamini ukishuhudia kwa dhahiri mambo haya.

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,siku za mwisho

Jibu:
Kuonekana kwa Mungu na kazi katika siku za mwisho ni kama tu Bwana Yesu alivyotabiri. Kuna sehemu mbili—kuwasili Kwake kwa siri na kuwasili Kwake hadharani. Kuwasili kwa siri kunamaanisha Mungu kupata mwili miongoni mwa wanadamu kama Mwana wa Adamu ili kutamka maneno Yake, na kufanya kazi Yake ya siku za mwisho. Huku ni kuwasili Kwake kwa siri. Kuwasili hadharani ni Bwana kuja kwa wazi na mawingu, yaani, Bwana kuwasili na watakatifu wengi sana, akionekana kwa mataifa yote na watu wote. Tunaposhuhudia kazi ya Mungu ya siku za mwisho kwa sasa, watu wengi wana mashaka: “Mnasema kwamba Mungu ameonekana na anafanya kazi.

8.22.2019

Unashuhudia kwamba Mungu amekuwa mwili na kuwa Mwana wa Adamu ili kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho, na bado wengi wa wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wanakiri kwamba Bwana atarudi akija na mawingu, na wanategemeza hili hasa aya za Biblia: “Huyu Yesu … atakuja kwa namna hiyo hiyo ambayo mmemuona akienda mbinguni” (Matendo 1:11). “Tazama, anakuja na mawingu; nalo kila jicho litamwona yeye” (Ufunuo 1:7). Na zaidi ya hayo, wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa pia hutufundisha kwamba Bwana Yesu yeyote asiyekuja na mawingu ni wa uongo na lazima aachwe. Kwa hiyo hatuna uhakika kama mtazamo huu unakubaliana na Biblia; ni sahihi kuchukua huu kama ukweli au la?

Ikija kwa kungoja kushuka kwa Bwana na mawingu, lazima tusitegemee mawazo ya mwanadamu na fikira! Mafarisayo walifanya kosa kubwa kwa kungoja kufika kwa Masiha. Walitumia kabisa mawazo na fikira ya mwanadamu kumtathmini Bwana Yesu ambaye alisharudi tayari. Mwishowe, walimsulubisha Bwana Yesu msalabani. Je, huu sio ukweli? Je, kungoja kufika kwa Bwana ni rahisi kama tufikiriavyo? Ikiwa Bwana atarudi na kufanya kazi kati ya binadamu kama jinsi Bwana Yesu kwa mwili Alikuwa Amefanya, na hatumtambui Yeye, basi pia sisi tutamhukumu na kumshutumu Yeye kama vile Mafarisayo walivyofanya na kumsulubisha Yeye mara nyingine? Je, huu ni uwezekano? Bwana Yesu alitabiri kuwa Atarudi na Akasema maneno mengi kuihusu, lakini nyinyi mnashikilia tu unabii kuwa Bwana atashuka na mawingu na hamtafuti na kuchunguza nabii zingine muhimu zilizoongelewa na Bwana.

8.21.2019

Swali la 1: Tunaamini kwamba kurudi kwa Bwana kutamaanisha kwamba waumini wanainuliwa moja kwa moja hadi katika ufalme wa mbinguni, kwa maana imeandikwa katika Biblia: “Baada ya hayo sisi ambao tuko hai na kusalia tutachukuliwa pamoja na wao mawinguni, kwa ajili ya kukutana na Bwana katika hewa: na hivyo tutakuwa naye Bwana daima” (1Wathesalonike 4:17). Unashuhudia kuwa Bwana Yesu amerejea, hivyo ni kwa nini sisi sasa tuko duniani na bado hatujanyakuliwa?

Tunaamini kwamba kurudi kwa Bwana kutamaanisha kwamba waumini wanainuliwa moja kwa moja hadi katika ufalme wa mbinguni, kwa maana imeandikwa katika Biblia: “Baada ya hayo sisi ambao tuko hai na kusalia tutachukuliwa pamoja na wao mawinguni, kwa ajili ya kukutana na Bwana katika hewa: na hivyo tutakuwa naye Bwana daima” (1Wathesalonike 4:17). Unashuhudia kuwa Bwana Yesu amerejea, hivyo ni kwa nini sisi sasa tuko duniani na bado hatujanyakuliwa?

Jibu:
Tunapaswa kutarajia kurudi kwa Bwana kulingana na unabii ambao Yeye Mwenyewe aliuzungumza. Hiyo ndiyo njia ya kawaida kabisa ya kusubiri kurudi kwa Bwana. Unamnukuu nani, kwa hakika? Je, unanukuu maneno ya Bwana au maneno ya wanadamu? “Kisha sisi tulio hai na tuliosalia tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani,” ni nani aliyasema hayo? Je, hayo ni maneno ya Bwana Yesu? Bwana Yesu hajawahi kamwe kusema kitu chochote kama hicho. Roho Mtakatifu hakuwahi kamwe kusema hilo, pia. Maneno unayoamini na unayonukuu ni maneno ya Paulo.

8.20.2019

Unyakuo wa kweli ni nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Kanisa

XX. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Unyakuo ni nini na Maana Halisi ya Kuinuliwa Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu

Unyakuo wa kweli ni nini?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Na kukawa na kelele saa sita ya usiku, Tazama, anakuja bwana arusi; ondokeni nje ili kumkaribisha. … na wale waliokuwa tayari wakaingia ndani na yeye kwa harusi: nao mlango ukafungwa” (Mathayo 25:6, 10).
Tazama, nimesimama mlangoni, na kupiga hodi: mtu yeyote akisikia sauti yangu, na aufungue mlango, Mimi nitaingia kwake, na nitakula na yeye, na yeye na Mimi” (Ufunuo 3:20).
Andika, Wamebarikiwa wale wanaoitwa katika karamu ya arusi ya Mwanakondoo” (Ufunuo 19:9).

8.19.2019

Unyakuo ni lazima utegemezwe maneno ya Mungu na sio dhana na mawazo ya mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Biblia

XX. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Unyakuo ni nini na Maana Halisi ya Kuinuliwa Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu

Unyakuo ni lazima utegemezwe maneno ya Mungu na sio dhana na mawazo ya mwanadamu

Aya za Biblia za Kurejelea:
Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako ufike, Mapenzi yako yafanywe duniani, kama ilivyo mbinguni” (Mathayo 6:9-10).
Na mimi Yohana nikauona mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukija chini kutoka kwa Mungu mbinguni…. Tazama, hema takatifu la Mungu liko pamoja nao watu, na yeye atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Na yeye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao, na kuwa Mungu wao” (Ufunuo 21:2-3).

8.18.2019

Kwa nini ulimwengu wa kidini daima umemkana Kristo, kumkataa na kumhukumu Yeye, na hivyo kupitia laana za Mungu?

XIX. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Ukweli wa ni Kwa Nini Njia ya Kweli Imepitia Usumbufu Tangu Nyakati za Kale

Kwa nini ulimwengu wa kidini daima umemkana Kristo, kumkataa na kumhukumu Yeye, na hivyo kupitia laana za Mungu?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Sikizeni mfano mwingine: Kulikuwa na mwenye nyumba fulani, aliyepanda shamba la zabibu, na akalizingira kwa ua, na akachimba kishinikizo cha zabibu ndani yake, na akajenga mnara, na akalipangisha kwa wakulima, na akasafiri kwenda nchi ya mbali: Na wakati wa matunda ulipokaribia, aliwatuma watumwa wake kwa wakulima, ili waweze kupokea matunda yake. Na wakulima wakawachukua watumwa wake, wakampiga mmoja, na kumuua mwingine, na kumpiga mwingine kwa mawe.

8.17.2019

Kwa nini serikali ya Kikomunisti ya China hutesa kwa ukali, kukandamiza na kuchukulia hatua Mwenyezi Mungu na Kanisa la Mwenyezi Mungu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Biblia

XIX. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Ukweli wa ni Kwa Nini Njia ya Kweli Imepitia Usumbufu Tangu Nyakati za Kale

Kwa nini serikali ya Kikomunisti ya China hutesa kwa ukali, kukandamiza na kuchukulia hatua Mwenyezi Mungu na Kanisa la Mwenyezi Mungu?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Hiki ni kizazi kibaya” (Luka 11:29).
Ulimwengu mzima uko ndani ya maovu” (1 Yohana 5:19).
“Namna ambavyo umeanguka toka mbinguni, Ewe Luciferi, mwana wa asubuhi! Namna ambavyo umeangushwa chini, wewe uliyedhoofisha mataifa! Kwani umesema moyoni mwako, Nitapaa hadi mbinguni, Nitakiinua kiti changu cha enzi juu ya nyota za Mungu: Pia nitakaa juu ya mlima wa mkusanyiko, kwa pande za kaskazini: Nitapaa juu ya mawingu; Nitakuwa kama Aliye Juu Zaidi” (Isaya 14:12-14).

8.16.2019

Ni nini hasa mtu anayefuata mapenzi ya Mungu? Na ushahidi wa kweli wa imani katika Mungu ni nini?

XVIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kilicho Kufuata Mapenzi ya Mungu na Kilicho Ushahidi wa Kweli wa Imani katika Mungu

Ni nini hasa mtu anayefuata mapenzi ya Mungu? Na ushahidi wa kweli wa imani katika Mungu ni nini?

Aya za Biblia za Kurejelea:
“Kutoka hapo Ayubu akainuka, na akalipasua joho lake, na akanyoa kichwa chake, na akaanguka chini, na kuabudu, Naye akasema, Nilitoka kwa tumbo la mama yangu nikiwa uchi, na mimi nitarudi huko nikiwa uchi; Yehova alinipa, na Yehova amechukua; jina la Yehova libarikiwe” (Ayubu 1:20-21).
“Naye akasema, Umchukue mwana wako sasa, mwana wako wa pekee Isaka, unayempenda, na uende hadi nchi ya Moria; na huko umtoe kwa sadaka ya kuteketezwa juu ya mojawapo ya milima ambayo nitakuambia.… Na Ibrahimu akanyosha mbele mkono wake, na kukichukua kisu ili amchinje mwana wake” (Mwanzo 22:2, 10).

8.15.2019

Ni ushuhuda wa kweli wa imani katika Mungu kama mtu hufurahia neema ya Mungu tu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,upendo wa Mungu

XVIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kilicho Kufuata Mapenzi ya Mungu na Kilicho Ushahidi wa Kweli wa Imani katika Mungu

Ni ushuhuda wa kweli wa imani katika Mungu kama mtu hufurahia neema ya Mungu tu?

Maneno Husika ya Mungu:
Kama wewe hufurahia tu neema ya Mungu, na maisha ya familia yenye amani au baraka yakinifu, basi hujampata Mungu, na imani yako kwa Mungu haijafaulu. Mungu tayari ametekeleza hatua moja ya kazi ya neema katika mwili, na tayari amempa mwanadamu baraka yakinifu—lakini mwanadamu hawezi kufanywa mkamilifu na neema, upendo, na rehema pekee.

8.14.2019

Kufuata mapenzi ya Mungu ni nini? Ni kufuata mapenzi ya Mungu kama mtu anatekeleza kazi ya misheni kwa ajili yaBwana?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Biblia

XVIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kilicho Kufuata Mapenzi ya Mungu na Kilicho Ushahidi wa Kweli wa Imani katika Mungu

Kufuata mapenzi ya Mungu ni nini? Ni kufuata mapenzi ya Mungu kama mtu anatekeleza kazi ya misheni kwa ajili yaBwana?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako mzima, na roho yako nzima, na akili yako nzima. Hii ni amri ya kwanza na kubwa. Na ya pili ni kama hiyo, Mpende jirani yako kama unavyojipenda” (Mathayo 22:37-39).
Kama mwanadamu ananipenda, atayazingatia maneno yangu…. Yeye asiyenipenda hayazingatii maneno yangu” (Yohana 14:23-24).
Mkidumu katika neno langu, basi ninyi ni wanafunzi wangu kweli …” (Yohana 8:31).

8.13.2019

Kwa nini ukweli unaoonyeshwa na Mungu katika siku za mwisho unaweza kumtakasa mtu, kumkamilisha mwanadamu na kuwa maisha ya mwanadamu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,siku za mwisho

XVII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Jinsi ya Kutambua Kati ya Uhalisi wa Ukweli na Maarifa ya Biblia na Mafundisho

Kwa nini ukweli unaoonyeshwa na Mungu katika siku za mwisho unaweza kumtakasa mtu, kumkamilisha mwanadamu na kuwa maisha ya mwanadamu?

Maneno Husika ya Mungu:
Njia ya maisha si kitu ambacho kinaweza kumilikiwa na mtu yeyote tu, wala hakipatikani kwa urahisi na wote. Hiyo ni kwa sababu maisha yanaweza kuja tu kutoka kwa Mungu, ambayo ni kusema, Mungu Mwenyewe tu ndiye Anamiliki mali ya maisha, hakuna njia ya maisha bila Mungu Mwenyewe, na hivyo Mungu tu ndiye chanzo cha uzima, na kijito cha maji ya uzima kinachotiririka nyakati zote. Kutoka Alipoumba dunia, Mungu amefanya kazi kubwa inayoshirikisha uhai wa maisha, Amefanya kazi kubwa ambayo huletea mwanadamu maisha, na Amelipa gharama kubwa ili mtu aweze kupata uzima, kwa kuwa Mungu Mwenyewe ni uzima wa milele, na Mungu Mwenyewe ni njia ambayo kwayo mtu hufufuliwa.

8.12.2019

Matokeo yatakuwa gani kama mtu anamwamini Mungu kwa kutegemea maarifa ya teolojia katika Biblia?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

XVII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Jinsi ya Kutambua Kati ya Uhalisi wa Ukweli na Maarifa ya Biblia na Mafundisho

Matokeo yatakuwa gani kama mtu anamwamini Mungu kwa kutegemea maarifa ya teolojia katika Biblia?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Watu hawa wananikaribia kwa vinywa vyao, na wananiheshimu kwa midomo yao; lakini moyo wao uko mbali nami. Lakini wananiabudu bure, wakifunza mafundisho ya dini ambayo ni amri za wanadamu” (Mathayo 15:8-9).
“Kwa sababu andiko huua, lakini roho hupeana maisha” (2 Wakorintho 3:6).
Maneno Husika ya Mungu:
Watu, ambao wamepotoshwa, wote huishi katika mtego wa Shetani, wao kuishi katika mwili, kuishi katika tamaa za ubinafsi, na hakuna hata mmoja kati yao anayelingana na Mimi.