Mwenyezi Mungu anasema, "Hii dhana ya Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu ni upuuzi mtupu! Hili linamweka Mungu katika vitengo na kumgawanya kuwa nafsi tatu, kila moja ikiwa na hadhi na Roho; basi Atawezaje kuwa Roho mmoja na Mungu mmoja? Hebu niambie, je, mbingu na dunia na vyote vilivyomo viliumbwa na Baba, Mwana, au na Roho Mtakatifu?
Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
1.04.2019
1.03.2019
2018 Gospel Music "Uumbaji wa Mungu wa Dunia" (Swahili Subtitles)
2018 Gospel Music "Uumbaji wa Mungu wa Dunia" (Swahili Subtitles)
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (5): Upingaji wa Ajabu wa Mkristo wa Mawazo ya Mchungaji wa Utatu
CCP kinamkaribisha mchungaji na Kanisa la Utatu kujaribu kumtia kasumba na kumbadilisha Mkristo mmoja. Huyu Mkristo na mchungaji wanafungua mjadala mzuri katika kukabiliana na dhana zilizotolewa na mchungaji wa Utatu.
1.02.2019
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (2) - Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili?
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (2) - Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili?
“Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari” (4) - Kwa Nini Binadamu Humwasi Mungu?
1.01.2019
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma
Latest Swahili Christian Video "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God
12.31.2018
Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 61
Ukiwa na ufahamu wa hali yako mwenyewe basi utafanikisha mapenzi Yangu. Kwa kweli, mapenzi Yangu si magumu kushika, ni kwamba tu katika siku zilizopita hukuweza kutafuta kulingana na lengo Langu. Ninachotaka si dhana wala fikira za binadamu, sembuse pesa zako wala mali yako. Ninachotaka ni moyo wako, unaelewa? Haya ni mapenzi Yangu, na hata zaidi ni kitu ambacho Nataka kupata. Watu daima hutumia dhana zilizo akilini mwao kunifanyia maamuzi, na kuhakiki kimo Changu wakitumia Vipimo vyao.
12.30.2018
Watu Wanamjua Mungu Bora Kupitia Kazi ya Maneno
Watu Wanamjua Mungu Bora Kupitia Kazi ya Maneno
I
Mungu wa siku za mwisho hasa anatumia neno kumkamilisha mwanadamu,
si ishara na miujiza ya kumdhulumu au kumshawishi,
kwa kuwa hivi haviwezi kueleza nguvu za Mungu.
Ikiwa Mungu angeonyesha tu ishara na miujiza,
haingewezekana kudhihirisha ukweli wa Mungu,
na hivyo haingewezekana kumkamilisha mwanadamu.
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 103
Sauti ya mngurumo inatoka, ikiutetemesha ulimwengu mzima, ikiwahanikiza watu, na kuwafanya wachelewe kukwepa, na wengine wanauawa, baadhi wanaangamizwa, na wengine wanahukumiwa. Kweli ni kioja ambacho hakuna yeyote amewahi kukiona awali. Sikiliza kwa makini, milio ya radi inafuatana na sauti za kuomboleza, na sauti hii inatoka kuzimu, sauti hii inatoka jahanamu.
12.29.2018
nyimbo za injili | Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)