12.26.2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 45

Mnawahukumu ndugu zenu hadharani kana kwamba si kitu. Hakika hamjui mema na maovu; hamna aibu! Je, hii si tabia mbaya ya kifidhuli, ya kutojali? Kila mmoja wenu amechanganyikiwa na ni mwenye moyo mzito; mnabeba mizigo mingi na hakuna sehemu Yangu ndani yako. Watu vipofu! Ninyi ni wakatili namna gani—hili litakoma lini? 

Unyenyekevu wa Mungu ni wa Kupendeza Sana

Unyenyekevu wa Mungu ni wa Kupendeza Sana

I
Mungu hujinyenyekeza Mwenyewe na kufanya kazi Yake
kwa mwanadamu mchafu na mwovu ili kumfanya awe mkamilifu.
Mungu anakuwa mwanadamu.
Yeye huwachunga na kuwahudumia, huja kwa maskani ya joka kuu jekundu
kuokoa na kuwashinda wale waliopotoka,
kufanya kazi ya kuwabadilisha na kuwafanya wapya. 

12.25.2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 97

Mwenyezi Mungu alisema, Nitafanya kila mtu aone matendo Yangu ya ajabu na kusikia maneno Yangu ya hekima. Ni lazima iwe kila mtu na ni lazima iwe juu ya kila suala. Hii ni amri Yangu ya utawala na ni ghadhabu Yangu. Nitahusisha kila mtu na kila jambo ili watu wote kutoka mwisho mmoja wa ulimwengu hadi mwingine wataona kwa macho yao wenyewe, la sivyo Sitaacha kamwe. Ghadhabu Yangu imemwagwa kikamilifu na hakuna hata chembe imezuiwa. Inaelekezwa kwa kila mtu mmoja ambaye anakubali jina hili (hivi karibuni itageuzwa juu ya mataifa yote ya dunia). Na ghadhabu Yangu ni nini? 

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli"



        Mwenyezi Mungu anasema, "Katika siku za mwisho, Kristo anatumia ukweli tofauti kumfunza mwanadamu, kufichua kiini cha mwanadamu, na kuchangua maneno na matendo yake. Maneno haya yanajumuisha ukweli mbalimbali, kama vile wajibu wa mwanadamu, jinsi mwanadamu anavyofaa kumtii Mungu, jinsi mwanadamu anavyopaswa kuwa mwaminifu kwa Mungu, jinsi mwanadamu anavyostahili kuishi kwa kudhihirisha ubinadamu wa kawaida, na pia hekima na tabia ya Mungu, na kadhalika.

12.24.2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 85

Mimi huwatumia watu tofauti kufanikisha mapenzi Yangu. Laana Zangu hufanikishwa kwa wale Ninaowaadibu na baraka Zangu kufanikishwa kwa wale ambao Ninawapenda. Ambao sasa hukutana na baraka Zangu na ambao hupitia laana Zangu kwa neno Langu moja na tamko Langu.

nyimbo za injili | Hakuna Anayeweza Kuizuia Kazi ya Mungu

Umeme wa Mashariki,Biblia,nyimbo za injili
Hakuna Anayeweza Kuizuia Kazi ya Mungu
Kazi ya Mungu, kazi ya Mungu, hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe.

I

Mungu alipomwahidi Ibrahimu kuwa angekuwa na mwana,
alifikiri haiwezekani. 

12.23.2018

Sura ya 83

Hujui kwamba Mimi ni Mwenyezi Mungu; hujui kwamba mambo yote na vitu vyote viko chini ya udhibiti Wangu! Maana ya kila kitu huumbwa na kukamilishwa na Mimi ni ni? Baraka au misiba ya kila mtu hutegemea utimilifu Wangu, matendo Yangu. Mwanadamu anaweza kufanya nini? Mwanadamu anaweza kufanikisha nini kwa kufikiri? Katika enzi hii ya mwisho, katika enzi hii potovu, katika dunia hii ya giza ambayo Shetani ameipotosha sana, ni kina nani wachache ambao wako jinsi Nipendavyo? Ikiwa ni leo, jana, au katika siku zijazo zisizo mbali, maisha ya kila mtu huamuliwa na Mimi.

Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake

Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake

I
Mungu ni uzima, chanzo cha viumbe wote wanaoishi.
Mamlaka ya Mungu hufanya kila kitu kitii maneno Yake,
kije kuwepo kulingana na maneno Yake,
kiishi na kuzaa kwa amri ya Mungu.
Mungu huwaongoza viumbe wote waishio,
na hakutakuwa na kupotoka milele na milele. 

12.22.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 53

       Mimi ndiye mwanzo, na Mimi ndiye mwisho. Mimi ndiye Mungu mmoja wa kweli aliyefufuka na kamili. Nasema maneno Yangu mbele yenu, na lazima muamini Ninachosema kwa thabiti. Mbingu na dunia zinaweza kupita lakini hakuna herufi moja au mstari mmoja wa kile Ninachosema kitawahi kupita. Kumbuka hili! Kumbuka hili! Punde ambapo Nimesema, hakuna neno hata moja limewahi kurudishwa na kila neno litatimizwa.

nyimbo za injili | Unapaswa Kutafuta Kumpenda Mungu kwa Hiari

Umeme wa Mashariki,nyimbo za dini,ukweli

Unapaswa Kutafuta Kumpenda Mungu kwa Hiari

I
Leo lazima uwe katika njia sahihi
kwani unamwamini Mungu wa vitendo.
Ukiwa na imani, usitafute tu baraka Zake,
bali tafuta kumpenda na kumjua Mungu. 

12.21.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Sitini

Mwenyezi Mungu alisema, Si jambo rahisi kwa maisha kukua; yanahitaji mchakato, na aidha, kwamba muweze kulipa gharama na kwamba mshirikiane na Mimi kwa uwiano, na hivyo mtapata sifa Yangu. Mbingu na dunia na vitu vyote vinaanzishwa na kufanywa kamili kupitia maneno ya kinywa Changu na chochote kinaweza kutimizwa nami. 

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini"



Mwenyezi Mungu alisema, Ni kitu gani ambacho mwanadamu amepokea tangu alipomwamini Mungu mara ya kwanza? Umejua kitu gani kumhusu Mungu? Umebadilika kiasi gani kwa sababu ya imani yako kwa Mungu? Sasa mnajua nyote ya kwamba imani ya mwanadamu katika Mungu si kwa ajili ya wokovu wa roho na ustawi wa mwili tu, wala si kuimarisha maisha yake kwa njia ya upendo wa Mungu, na kadhalika. Kama ilivyo sasa, kama unampenda Mungu kwa ajili ya ustawi wa mwili au furaha ya muda, basi hata kama, mwishoni, upendo wako kwa Mungu utafikia kilele chake na wewe hutaulizia kitu chochote, upendo huu unaoutafuta ni upendo mchafu na haumpendezi Mungu.