10.06.2018

Nimeuona uzuri wa Mungu

Umeme wa Mashariki, Mungu, Nyimbo, wokovu



  • Nimeuona uzuri wa Mungu

  •  
  • I
  • Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara.
  • Nikaamka na kuangalia kuona,
  • ni nani aliye pale akizungumza.
  • Sauti yake ni nyororo lakini kali,
  • picha Yake nzuri! 

Maana ya Mateso na ni Mateso ya Aina Gani Ambayo Waumini wa Mungu Lazima Wastahimili

Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu

Maana ya Mateso na ni Mateso ya Aina Gani Ambayo Waumini wa Mungu Lazima Wastahimili

Maneno Husika ya Mungu:

Leo, watu wengi sana hawana ufahamu huo. Wao huamini kwamba mateso hayana thamani, wao hukanwa na ulimwengu, maisha yao ya nyumbani yamesumbuliwa, wao si wapendwa wa Mungu, na matazamio yao ni matupu. Kuteseka kwa watu wengine hufikia kiwango fulani, na fikira zao hugeukia kifo. Huu si upendo wa kweli kwa Mungu; watu kama hao ni waoga, hawana ustahamilivu, wao ni wadhaifu na wasio na nguvu! Mungu ana hamu ya mwanadamu kumpenda Yeye, lakini kadri mwanadamu anavyompenda Yeye, ndivyo kuteseka kwa mwanadamu huwa kwingi zaidi, na kadri mwanadamu anavyompenda Yeye, ndivyo majaribio ya mwanadamu huwa makubwa zaidi. Ikiwa unampenda Yeye, basi kila aina ya mateso yatakufika—na ikiwa humpendi, basi labda kila kitu kitaendelea kwa urahisi kwako, na kila kitu kinachokuzunguka kitakuwa kitulivu kwako.  

10.05.2018

Mfuate Mungu Katika Njia Yenye Mabonde

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili, Mungu

Mfuate Mungu Katika Njia Yenye Mabonde

Kila ambacho nimewahi kuwa nacho, mimi hukitumia kwa Mungu.
Kila nilicho nacho nakitoa; najitoa mwenyewe Kwake.
Familia imenitelekeza; nimekashifiwa na dunia.
Basi, njia ya kumfuata Mungu ina mabonde, imejaa na mawe na miiba.
Nilitoa kila kitu changu ili kueneza ufalme wa Mungu mbali.
Nimeona misimu ikija na kuenda. 

Ufafanuzi wa Tamko la Tano

Ufafanuzi wa Tamko la Tano

Mungu anapoweka mahitaji kwa wanadamu ambayo ni magumu kwao kueleza, na maneno Yake yanapogonga moja kwa moja katika moyo wa mwanadamu na watu wanatoa mioyo ya dhati ili Afurahie, basi Mungu huwapa watu nafasi ya kutafakari, kufanya uamuzi, na kutafuta njia ya kutenda. Kwa njia hii, wote ambao ni watu Wake kwa mara nyingine, ngumi zikiwa zimekunjwa kwa ujasiri, wanatoa hali zao zote kwa Mungu.

10.04.2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (1): Jiwe, Karatasi, Makasi


Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (1): Jiwe, Karatasi, Makasi


     Kikundi cha watoto wachangamfu, wanaopendeza kilikuwa kikicheza mchezo wakati, bila kufikiri, waliuliza swali lenye cha kali: "Wanadamu hutoka wapi?" Je, unalijua jibu la swali hili?

    Yaliyopendekezwa: Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu

Tamko la Arubaini na Tano

Tamko la Arubaini na Tano

Wakati mmoja Nilichagua bidhaa nzuri kubaki ndani ya nyumba Yangu, ili ndani yake kungekuwa na utajiri usio na kifani, na ingepambwa hivyo, Nilipata raha kutokana na hilo. Lakini kwa sababu ya mtazamo wa mwanadamu Kwangu, na kwa sababu ya motisha za watu, Sikuwa na budi ila kuiweka kazi hii kando na kufanya kazi nyingine.

10.03.2018

Nitampenda Mungu Milele

Umeme wa Mashariki, nyimbo, mungu


  • Nitampenda Mungu Milele

  • I
  • Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kukurudia Wewe.
  • Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku.
  • Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi sana.
  • Mara nyingi nilitoa machozi na kuhuzunika sana,
  • mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.
  • Lakini hujaniacha kamwe. 

Upendo Safi Bila Dosari

Upendo Safi Bila Dosari

I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu, cha malipo. 

10.02.2018

Tamko la Arubaini na Nne

Tamko la Arubaini na Nne

Watu huichukulia kazi Yangu kama kijalizo, hawaachilii chakula au usingizi kwa ajili yake, na kwa hiyo Sina budi ila kufanya madai yafaayo kwa mwanadamu kama inavyostahili mtazamo wake Kwangu. Nakumbuka kuwa wakati mmoja Nilimpa mwanadamu neema nyingi sana na baraka nyingi, lakini baada ya kunyakua vitu hivi aliondoka mara moja.

Tamko la Arubaini na Tatu

Tamko la Arubaini na Tatu

Mwenyezi Mungu alisema, Labda ni kwa sababu tu ya amri Zangu za utawala ndio watu "wamevutiwa" sana na maneno Yangu. Wasingaliongozwa na amri Zangu za utawala, wote wangalikuwa wakilia kama chui wakubwa wenye milia ambao wamesumbuliwa sasa hivi. Kila siku Mimi Huzurura juu ya mawingu, Nikiwaangalia binadamu wanaoifunika dunia wakiwa katika kukurukakara zao, wakizuiliwa na Mimi kwa njia ya amri Zangu za utawala. Hii ndiyo njia pekee ya kuweka jamii ya binadamu kwa hali ya utaratibu, na hivyo Nimedumisha amri Zangu za utawala.

10.01.2018

Tamko la Thelathini na Sita

Tamko la Thelathini na Sita

Mwenyezi Mungu wa kweli, Mfalme katika kiti cha enzi, hutawala ulimwengu mzima, Anakabiliana na mataifa yote na watu wote, kila kitu chini ya mbingu hung’aa kwa utukufu wa Mungu. Viumbe vyote hai katika miisho ya ulimwengu vitaona. Milima, mito, maziwa, ardhi, bahari na viumbe vyote viishivyo, katika nuru ya uso wa Mungu wa kweli wamefungua mapazia yao, kuhuishwa, kama kuamka kutoka kwa ndoto, kuchipuka kwa kuvunja uchafu!

Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu, ukweli

Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu

Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda,
uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme.
Maneno Yako yamenitakasa mimi, yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha.
Moyoni mwangu nahisi, kwa kweli, ni upendo Wako mkuu.
Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!