9.30.2018

Swahili Christian Testimony Video "Katikati ya Majira ya Baridi"



Swahili Christian Testimony Video "Katikati ya Majira ya Baridi"


      Jina lake ni Xiao Li. Ameamini katika Mungu kwa zaidi ya muongo mmoja. Katika majira ya baridi ya mwaka wa 2012, alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China katika mkutano. Wakati wa mahojiano, polisi walimshawishi, kumtisha, kumpiga na kumtesa tena na tena katika majaribio yao ya kumshawishi ili amsaliti Mungu kwa kufichua walipokuwa viongozi na fedha za kanisa.

9.29.2018

Tamko La Thelathini na Tatu

Tamko La Thelathini na Tatu

Ufalme Wangu unawahitaji wale ambao ni waaminifu, wasio wanafiki, na wasio wadanganyifu. Je, si watu wenye moyo safi na waaminifu duniani hawapendwi na watu? Mimi ni kinyume kabisa cha jinsi ilivyo. Inakubalika kwa watu waaminifu kuja Kwangu; Nafurahia mtu wa aina hii, pia Ninamhitaji mtu wa aina hii. Hii ni haki Yangu hasa. 

Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

  • Unapaswa Kupokeaje
  • Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

  • I
  • Mwili wa Mungu utajumlisha
  • kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
  • Atakapofanywa mwili,
  • Ataleta
  • matunda ya kazi Aliyopewa
  • ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
  • awape uhai na awaonyeshe njia.

9.28.2018

Adabu Takatifu Ambayo Waumini wa Mungu Wanapasa Kuwa Nayo

Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu

Adabu Takatifu Ambayo Waumini wa Mungu Wanapasa Kuwa Nayo

Maneno Husika ya Mungu:

Ni nini kinashirikishwa ndani ya ubinadamu wa kawaida? Utambuzi, hisia, dhamiri na tabia. Iwapo unaweza kufanikisha ukawaida katika kila mojawapo ya vipengele hivi, ubinadamu wako uko katika kiwango kinachostahili. Unapaswa kuwa na mfanano wa binadamu wa kawaida na utende kama anayemwamini Mungu. Sio lazima ufikie viwango vya juu zaidi au kujishughulisha na diplomasia. Unapaswa tu kuwa mwanadamu wa kawaida, na hisia za kawaida za mtu, uweze kung’amua vitu, na kwa kiwango cha chini uonekane kama mwanadamu wa kawaida.

Tamko la Kumi na Mbili

Tamko la Kumi na Mbili

Ikiwa una tabia ambayo si thabiti, nyepesi kuhamaki kama upepo au mvua, kama huwezi kuendelea kusonga mbele, basi fimbo Yangu haitakuwa mbali na wewe. Unaposhughulikiwa, kadiri hali ilivyo mbaya zaidi, na kadiri unavyoteswa zaidi, ndivyo upendo wako kwa Mungu unavyoongezeka, na unaacha kushikilia dunia.

9.27.2018

Nitalipa Upendo Wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli, Nyimbo

Nitalipa Upendo Wa Mungu

Nahisi furaha sana kumfuata Mungu wa matendo.
Sikufikiria kamwe kuuona uso wa Mungu.
Ni neema kubwa sana kupokea hukumu ya Mungu.
Lazima tuujali moyo Wake.
Katika uzoefu wa kazi ya Mungu, nimefurahia upendo Wake.

Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Umeme wa Mashariki, Kanisa,Mungu, siku za mwisho

Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Faith China
Mimi ni mfanyakazi wa kawaida. Mwishoni mwa Novemba, 2013, mfanyakazi mwenza aliona kwamba mke wangu na mimi tungefanya kelele nyingi sana juu ya vitu vidogo, kwamba kila siku tulikuwa na wasiwasi na huzuni, hivyo alipitisha kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku mwisho kwetu.

9.26.2018

Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? “Bwana Wangu Ni Nani”


Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? “Bwana Wangu Ni Nani”



        Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Tamko la Thelathini

Tamko la Thelathini

Mwenyezi Mungu alisema, Kati ya binadamu, wakati mmoja Nilifanya muhtasari wa ukaidi na udhaifu wa mwanadamu, na hivyo Nilielewa udhaifu wa binadamu na Nikafahamu vema ukaidi wake. Kabla ya kuwasili kati ya binadamu, Nilikuwa nimekuja kuelewa kitambo furaha na huzuni kati ya binadamu—na kwa sababu ya hili, Ninaweza kufanya kile ambacho binadamu hawezi, na kusema kile ambacho binadamu hawezi, na Mimi hufanya hivyo kwa urahisi sana.

9.25.2018

Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba

  • Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba
  •  
  • I
  • Kwa mamlaka ya Muumba, miujiza yaonekana,
  • ikiwa na mvuto kwa mwanadamu,
  • Mwanadamu hutazama kwa butwaa.
  • Nguvu Zake huleta furaha;
  • mwanadamu hustabishwa, kwa furaha tele. 

Katika Kumwamini Mungu, Unapaswa Kuweka Uhusiano wa Kawaida na Mungu

Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu

Katika Kumwamini Mungu, Unapaswa Kuweka Uhusiano wa Kawaida na Mungu

Maneno Husika ya Mungu:

Katika kuwa na imani kwa Mungu, ni lazima angalau utatue swala la kuwa na uhusiano wa kawaida na Mungu. Bila uhusiano wa kawaida na Mungu, basi umuhimu wa kumwamini Mungu unapotea. Kuunda uhusiano wa kawaida na Mungu kunapatikana kikamilifu kupitia kuutuliza moyo wako mbele ya Mungu. Uhusiano wa kawaida na Mungu unamaanisha kuweza kutoshuku au kukataa kazi yoyote ya Mungu na kutii, na zaidi ya hayo unamaanisha kuwa na nia sahihi mbele ya Mungu, sio kufikiria kujihusu, daima kuwa na maslahi ya familia ya Mungu kama jambo muhimu zaidi haijalishi kile unachofanya, kukubali kutazamiwa na Mungu, na kukubali mipangilio ya Mungu.

9.24.2018

Tamko la Arubaini

Tamko la Arubaini

Watu hukodolea macho kila mwendo Wangu, kana kwamba Nakaribia kuleta mbingu chini, na wao kila mara hukanganyikiwa na shughuli Zangu, kana kwamba matendo Yangu ni yasiyoeleweka kabisa kwao. Hivyo, wao hufuata nyayo Zangu kwa yote watendayo, wakiogopa sana kwamba watakosea Mbinguni na kutupwa katika "ulimwengu wa wenye kufa." Sijaribu kuwashikilia watu, bali Huufanya upungufu wao lengo la kazi Yangu.