9.29.2018

Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

  • Unapaswa Kupokeaje
  • Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

  • I
  • Mwili wa Mungu utajumlisha
  • kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
  • Atakapofanywa mwili,
  • Ataleta
  • matunda ya kazi Aliyopewa
  • ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
  • awape uhai na awaonyeshe njia.
  • Mwili wowote usiokuwa na dutu
  • Yake sio Mwili wa Mungu.
  • II
  • Thibitisha mwili Wake na njia ya kweli
  • tazamia tabia,
  • maneno na matendo Yake.
  • Angazia dutu Yake
  • wala si sura Yake ya nje.
  • Ni upumbavu na ujinga kuangazia
  • sura ya nje ya Mungu.
  • Ya nje haiamui ile ya ndani,
  • na kazi ya Mungu haiambatani
  • na dhana za mwanadamu.
  • III
  • Je, si sura ya nje ya Yesu
  • ilitofautiana na matarajio ya watu
  • Je, si mfano Wake
  • na mavazi Yake
  • yalificha utambulisho Wake
  • Si ndio sababu
  • Mafarisayo walimpinga Yesu
  • Walilenga sura Yake ya nje wakapuuza maneno
  • Aliyoyasema.
  • Mungu hutarajia wanaotafuta uonekano Wake,
  • wasirudie historia.
  • Usifuate Mafarisayo
  • usulubishe Mungu msalabani tena.
  • Tilia maanani
  • utakavyokaribisha kurudi Kwake.
  • Waza wazi utakavyotii ukweli.
  • Ndio wajibu
  • wa kila angojaye kurudi
  • kwake Yesu.
  •  
  • kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

                     Tazama zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni