9.25.2018

Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba

  • Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba
  •  
  • I
  • Kwa mamlaka ya Muumba, miujiza yaonekana,
  • ikiwa na mvuto kwa mwanadamu,
  • Mwanadamu hutazama kwa butwaa.
  • Nguvu Zake huleta furaha;
  • mwanadamu hustabishwa, kwa furaha tele. 
  • Kwa kupendezwa na kushangaa, Yeye hushangilia.
  • Mwanadamu huguswa waziwazi;
  • na kunyenyekea kwa hofu.
  • Heshima utolewa naye unganishwa na Mungu.
  • Matendo ya Muumba huathiri moyo wa mwanadamu,
  • husafisha nafsi yake, nakukidhi roho ya mwanadamu.
  • Matamshi Yake yote, kila wazo Analowaza,
  • kila ufunuo wa mamlaka Yake, kazi bora kwa vitu vyote.
  • II
  • Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.
  • Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.
  • Viumbe majini au wa angani,
  • kwa amri ya Muumba viwepo kwa kila aina ya uhai.
  • Kwa amri ya Muumba, viumbe hawa huishi kwa aina.
  • Hii amri, hii kanuni, hakuna kiumbe chaweza kubadili
  • Kwa kukosa ujasiri na uwezo wa kuvuka mipaka iliyowekwa na Mungu,
  • waliishi na kuongezeka kwa idadi kwa mpango wa Muumba.
  • Kwa madhubuti, wanashikilia sheria za Mungu;
  • kwa uangalifu, wanashika amri za Mungu zisizonenwa hadi leo.
  • Matamshi Yake yote, kila wazo Analowaza,
  • kila ufunuo wa mamlaka Yake, kazi bora kwa vitu vyote.
  • Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.
  • Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.
  • III
  • Inayostahili kuelewa kwa mwanadamu, hii ni kazi kuu mno.
  • Inayostahili ujuzi wa mwanadamu, hii ni kazi kuu mno.
  • Mamlaka Yake ya kipekee yanaonyesha nguvu Yake
  • kuumba na kuamuru vyote vije katika uwepo,
  • kuwa na mamlaka juu ya uumbaji wote,
  • kuweka uhai juu ya vitu vyote.
  • Yaonyeshwa katika uwezo Wake kufanya kuwepo mara ya kwanza na milele,
  • vitu vyote vionekane duniani, viwepo na maumbo kamili, uhai na majukumu.
  • Kwa kutozuiliwa na muda, kutokuwepo chini ya vizuizi,
  • mawazo ya Muumba hayazuiliwi na nafasi.
  • Matamshi Yake yote, kila wazo Analowaza,
  • kila ufunuo wa mamlaka Yake, kazi bora kwa vitu vyote.
  • Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.
  • Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.
  •  
  • kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

                    Tazama zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni