9.27.2018

Nitalipa Upendo Wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli, Nyimbo

Nitalipa Upendo Wa Mungu

Nahisi furaha sana kumfuata Mungu wa matendo.
Sikufikiria kamwe kuuona uso wa Mungu.
Ni neema kubwa sana kupokea hukumu ya Mungu.
Lazima tuujali moyo Wake.
Katika uzoefu wa kazi ya Mungu, nimefurahia upendo Wake.
Kumwona Mungu akiteseka sana kwa ajili yetu,
nagundua kuwa mwanadamu amepotoshwa sana na Shetani.
Nitalipa upendo wa Mungu.
Naishi mbele ya Mungu, nafurahia neno Lake kila siku;
uchafu na upotovu Wangu umetakaswa.
Neno la Mungu linakuwa ukweli wa maisha yangu.
Tumepokea wokovu mkuu.
Leo, nafurahia upendo mkuu wa Mungu katika familia Yake,
Sitawahi tena kutupa mbali muda.
Nimedhamiria kumshuhudia Mungu kumfanya Yeye astarehe.
Leo, nafurahia upendo mkuu wa Mungu katika familia Yake,
Sitawahi tena kutupa mbali muda.
Nimedhamiria kumshuhudia Mungu
kumfanya Yeye astarehe.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

            Soma zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni