Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
1.19.2018
Wafaa Kujua Namna Ambavyo Binadamu Wote Wameendelea Hadi Siku ya Leo
Mwenyezi Mungu alisema, Uzima wa kazi ya miaka 6,000 yote umebadilika kwa utaratibu kuambatana na nyakati. Mabadiliko katika kazi hii kumefanyika kulingana na hali zinazozunguka ulimwengu mzima. Kazi ya usimamizi ya Mungu imebadilika tu kwa utaratibu kulingana na mitindo ya kimaendeleo ya binadamu kwa ujumla; haikuwa imepangwa tayari mwanzoni mwa uumbaji.
Mwenyezi Mungu alisema, Uzima wa kazi ya miaka 6,000 yote umebadilika kwa utaratibu kuambatana na nyakati. Mabadiliko katika kazi hii kumefanyika kulingana na hali zinazozunguka ulimwengu mzima. Kazi ya usimamizi ya Mungu imebadilika tu kwa utaratibu kulingana na mitindo ya kimaendeleo ya binadamu kwa ujumla; haikuwa imepangwa tayari mwanzoni mwa uumbaji.
1.18.2018
Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?
Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?
Watu wengi hawaelewi ni kwa nini, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwisho, Bwana Yesu anaitwa Mwenyezi Mungu wakati Anapokuja kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho. Kwa nini haendelei kuitwa Bwana Yesu? Kwa kweli, Mungu ana jina jipya kila wakati Anapofanya hatua moja ya kazi Yake. Jina hili jipya linachukuliwa na Mungu Mwenyewe kama inavyofaa kazi hii–siyo kitu ambacho watu humuita Yeye kama wanavyotaka. Jina analolichukua Mungu katika kila hatua ya kazi lina msingi wake katika Biblia.
4. Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China
4. Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China
Mwaka wa 1995, kazi ya kushuhudia kwa injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu ilianza rasmi China Bara. Kwa njia ya shukrani kwa Mungu na kwa upendo ambao ulikuwa wa kweli, tulishuhudia kwa kuoenekana na kazi ya Mwenyezi Mungu kwa ndugu wa kiume na kike katika madhehebu mbalimbali na makundi ya kidini. Hatukutarajia hata kidogo kukumbwa na upinzani na kukashifiwa kulikokithiri kutoka kwa viongozi wao. Tungeweza tu kuja mbele ya Mwenyezi Mungu kusali kwa ari, tukimsihi Mungu kufanya kazi binafsi. Kutoka 1997 na kuendelea, tulimwona Roho Mtakatifu akifanya kazi kwa kiwango kikubwa. Kulikuwa na ongezeko la haraka la washirika wa makanisa katika maeneo mbalimbali.
1.17.2018
3. Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
3. Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3) Kadhalika Alitabiri, “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa.” (Mathayo 24:27) Katika siku za mwisho, kama ilivyoahidiwa na kutabiriwa na Yeye, Mungu tena Amekuwa mwili na kushukia Mashariki ya dunia—China—kufanya kazi ya kuhukumu, kuadibu, ushindi, na wokovu Akitumia neno, kwa msingi wa kazi ya ukombozi ya Bwana Yesu.
2. Utangulizi Mfupi Kuhusu Usuli wa Kuonekana kwa Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho Nchini China
2. Utangulizi Mfupi Kuhusu Usuli wa Kuonekana kwa Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho Nchini China
China ni nchi ambamo joka kubwa jekundu hukaa, na ni mahali ambapo pamempinga na kumshutumu Mungu zaidi sana katika historia. China ni kama ngome ya mapepo na gereza linalodhibitiwa na shetani, lisilopenyeka na lisiloingilika. Zaidi ya hayo, utawala wa joka kubwa jekundu husimama ukilinda katika ngazi zote na umeanzisha ulinzi katika kila kaya. Matokeo yake, hakuna mahali pagumu zaidi ya hapa kueneza injili ya Mungu na kufanya kazi ya Mungu.
1.16.2018
Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho
Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho |
Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Baadhi ya watu huuliza, “Mungu huangalia kwa makini moyo wa binadamu, na mwili na Roho wa Mungu ni moja. Mungu hujua kila kitu ambacho watu husema, kwa hivyo Mungu anajua kwamba sasa ninamwamini?” Kujibu hili swali huhusisha jinsi ya kuelewa Mungu mwenye mwili na uhusiano kati ya Roho Wake na mwili. Baadhi husema, “Mungu ni halisi kwa njia thabiti.” Wengine husema, “Yeye ni halisi kwa njia thabiti.
Mungu ni Mkuu | “Upendo wa Kweli wa Mungu” Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya
Mungu ni Mkuu | “Upendo wa Kweli wa Mungu” Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya
Upendo wa Kweli wa Mungu
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha
na furaha kutoka kwa neema Yake.
1.15.2018
2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri
2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri |
Kanisa la Mwenyezi Mungu | 2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri
Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu
Upendo wa Mungu na wokovu | “Kutanafusi kwa Mwenye Uweza” Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho
Upendo wa Mungu na wokovu | “Kutanafusi kwa Mwenye Uweza” Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho
Mwenyezi Mungu alisema, "Mwanadamu, ambaye aliacha kupokea uzima wake kutoka kwa Mwenye Uweza, hajui ni kwa nini anaishi, na bado anaogopa kifo. Hukuna usaidizi, wala msaada, lakini mwanadamu bado anasita kufumba macho yake, akiyakabili yote bila woga, kuishi katika maisha yasiyokuwa na maana katika ulimwengu ndani ya miili isiyokuwa na utambuzi wa roho. Unaishi hivyo, pasipo tumaini; anaishi hivyo, pasipo kuwa na malengo.
1.14.2018
Muujiza katika Msiba | Video ya Injili “Mungu Abariki”
Muujiza katika Msiba | Video ya Injili “Mungu Abariki”
Watu mara nyingi husema kwamba "Dhoruba hukusanyika bila tahadhari na balaa huwafika watu kwa ghafula sana." Katika enzi yetu iliyopo ya kupanua kwa haraka kwa sayansi, uchukuzi wa kisasa na utajiri wa mali, maafa yanayotokea pande zote zinazotuzunguka huongeza kila siku. Tunapoligeuza na kulifungua gazeti au kuwasha TV, tunayoyaona hasa ni: vita, matetemeko ya ardhi, sunami, tufani, moto, mafuriko, ajali za ndege, maafa ya kuchimba madini,
1.13.2018
Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video
Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)