Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukweli-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukweli-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

1.16.2018

Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Yesu
Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho

Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Baadhi ya watu huuliza, “Mungu huangalia kwa makini moyo wa binadamu, na mwili na Roho wa Mungu ni moja. Mungu hujua kila kitu ambacho watu husema, kwa hivyo Mungu anajua kwamba sasa ninamwamini?” Kujibu hili swali huhusisha jinsi ya kuelewa Mungu mwenye mwili na uhusiano kati ya Roho Wake na mwili. Baadhi husema, “Mungu ni halisi kwa njia thabiti.” Wengine husema, “Yeye ni halisi kwa njia thabiti.