Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Injili-ya-Ufalme. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Injili-ya-Ufalme. Onyesha machapisho yote

1.18.2018

4. Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki4. Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China

Mwaka wa 1995, kazi ya kushuhudia kwa injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu ilianza rasmi China Bara. Kwa njia ya shukrani kwa Mungu na kwa upendo ambao ulikuwa wa kweli, tulishuhudia kwa kuoenekana na kazi ya Mwenyezi Mungu kwa ndugu wa kiume na kike katika madhehebu mbalimbali na makundi ya kidini. Hatukutarajia hata kidogo kukumbwa na upinzani na kukashifiwa kulikokithiri kutoka kwa viongozi wao. Tungeweza tu kuja mbele ya Mwenyezi Mungu kusali kwa ari, tukimsihi Mungu kufanya kazi binafsi. Kutoka 1997 na kuendelea, tulimwona Roho Mtakatifu akifanya kazi kwa kiwango kikubwa. Kulikuwa na ongezeko la haraka la washirika wa makanisa katika maeneo mbalimbali.