XV. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Jinsi ya Kutambua Asili ya Mafarisayo na ya Ulimwengu wa kidini ambao Humkana Mungu
Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wote kweli wamewekwa na Mungu? Kukubali na utii kwa wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa kunawakilisha utii wa mtu kwa Mungu na kumfuata Mungu?
“Kwa hivyo basi, tazama, nimefikiwa na kilio chao wana wa Israeli: na mimi pia nimeona ukandamizaji ambao Wamisri wanatumia kuwakandamiza. Kwa hivyo njoo sasa, nami nitakutuma kwake Farao, ili uwalete watu wangu, wana wa Israeli, kutoka Misri” (Kutoka 3:9-10).
“Yesu akasema kwa Simoni Petro, Simoni, mwana wa Yohana, je, unanipenda Mimi kuliko hawa? … Akasema kwake, Walishe wanakondoo Wangu. Akasema kwake tena mara ya pili, Simioni, mwana wa Yona, unanipenda Mimi? … Akasema kwake, Walishe kondoo Wangu” (Yohana 21:15-16).