12.31.2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"


        Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 61

Ukiwa na ufahamu wa hali yako mwenyewe basi utafanikisha mapenzi Yangu. Kwa kweli, mapenzi Yangu si magumu kushika, ni kwamba tu katika siku zilizopita hukuweza kutafuta kulingana na lengo Langu. Ninachotaka si dhana wala fikira za binadamu, sembuse pesa zako wala mali yako. Ninachotaka ni moyo wako, unaelewa? Haya ni mapenzi Yangu, na hata zaidi ni kitu ambacho Nataka kupata. Watu daima hutumia dhana zilizo akilini mwao kunifanyia maamuzi, na kuhakiki kimo Changu wakitumia Vipimo vyao. 

12.30.2018

Watu Wanamjua Mungu Bora Kupitia Kazi ya Maneno

Umeme wa Mashariki,siku za mwisho,ukweli

Watu Wanamjua Mungu Bora Kupitia Kazi ya Maneno

I
Mungu wa siku za mwisho hasa anatumia neno kumkamilisha mwanadamu,
si ishara na miujiza ya kumdhulumu au kumshawishi,
kwa kuwa hivi haviwezi kueleza nguvu za Mungu.
Ikiwa Mungu angeonyesha tu ishara na miujiza,
haingewezekana kudhihirisha ukweli wa Mungu,
na hivyo haingewezekana kumkamilisha mwanadamu. 

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 103

Sauti ya mngurumo inatoka, ikiutetemesha ulimwengu mzima, ikiwahanikiza watu, na kuwafanya wachelewe kukwepa, na wengine wanauawa, baadhi wanaangamizwa, na wengine wanahukumiwa. Kweli ni kioja ambacho hakuna yeyote amewahi kukiona awali. Sikiliza kwa makini, milio ya radi inafuatana na sauti za kuomboleza, na sauti hii inatoka kuzimu, sauti hii inatoka jahanamu.

12.29.2018

nyimbo za injili | Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo

Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

I
Watu leo hawamthamini Mungu.
Hana nafasi ndani ya mioyo yao.
Katika siku zijazo, siku za mateso,
je, wanaweza kuonyesha upendo wa kweli, kuonyesha upendo wa kweli Kwake? 

12.28.2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 98


Mambo yote yatakuja juu ya kila mmoja wenu, na yatawawezesha kujua zaidi juu Yangu na kuwa na uhakika zaidi juu Yangu. Yatawawezesha kunijua, Mungu mmoja Mwenyewe, kunijua Mimi Mwenye uweza, kunijua Mimi Mungu Mwenyewe mwenye mwili. Baadaye, Nitatoka katika mwili, Nirudi Sayuni, Nirudi katika nchi nzuri ya Kanaani, ambayo ni makazi Yangu, ndiyo hatima Yangu, na ndio msingi ambao niliumba vitu vyote. Sasa hakuna yeyote kati yenu anayeelewa maana ya maneno ambayo Ninasema, hakuna mtu hata mmoja ambaye anaweza kuelewa maana ya maneno haya.  

Umeme wa Mashariki | Sura ya 101

Sitakuwa mwenye huruma kwa yeyote anayeingilia usimamizi Wangu ama anayejaribu kuiharibu mipango Yangu. Kila mtu anapaswa kuelewa kile Ninachomaanisha kutoka kwa maneno Ninayosema na lazima aelewe vizuri kile Ninachozungumzia. Kwa kuzingatia hali iliyopo, kila mtu anapaswa kujichunguza: Ni wajibu gani unaotekeleza? Unaishi kwa ajili Yangu, au unamtumikia Shetani? Je, kila moja ya matendo yako hutoka Kwangu, au hutoka kwa Shetani?

Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path



Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path


Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Thamani na maana ya maneno Yake yanaamuliwa na kiini chao,
sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua. 

12.27.2018

Sura ya 100

Mwenyezi Mungu alisema,  Ninawachukia wale wote ambao hawajajaaliwa na kuchaguliwa na Mimi. Kwa hiyo ni lazima Niwafukuze watu hawa kutoka katika nyumba Yangu mmoja baada ya mwingine, hivyo hekalu Langu litakuwa takatifu na bila doa, nyumba Yangu itakuwa mpya daima na haitakuwa nzee kamwe, jina Langu takatifu litaenezwa milele na watu Wangu watakatifu watakuwa wapendwa Wangu. Aina hii ya mandhari, aina hii ya nyumba, aina hii ya ufalme ni lengo Langu, makao Yangu nayo ni msingi wa uumbaji Wangu wa vitu vyote. 

nyimbo za injili | Mungu Amekuwa Akijishughulisha Kumuongoza Mwanadamu Daima

Mungu Amekuwa Akijishughulisha Kumuongoza Mwanadamu Daima

I
Tangu Mungu alipoanza usimamizi Wake, amekuwa akijitolea kwa kazi Yake.
Daima akiwa karibu ya wanadamu, japo akijifichika, akiwaongoza kwa kiini Chake.
Mungu amekuwa akiwashughulikia wote kwa uwezo, kwa hekima na mamlaka,
akionyesha tabia Yake, na Akaleta Enzi za Sheria, Neema, na Ufalme. 

12.26.2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 45

Mnawahukumu ndugu zenu hadharani kana kwamba si kitu. Hakika hamjui mema na maovu; hamna aibu! Je, hii si tabia mbaya ya kifidhuli, ya kutojali? Kila mmoja wenu amechanganyikiwa na ni mwenye moyo mzito; mnabeba mizigo mingi na hakuna sehemu Yangu ndani yako. Watu vipofu! Ninyi ni wakatili namna gani—hili litakoma lini? 

Unyenyekevu wa Mungu ni wa Kupendeza Sana

Unyenyekevu wa Mungu ni wa Kupendeza Sana

I
Mungu hujinyenyekeza Mwenyewe na kufanya kazi Yake
kwa mwanadamu mchafu na mwovu ili kumfanya awe mkamilifu.
Mungu anakuwa mwanadamu.
Yeye huwachunga na kuwahudumia, huja kwa maskani ya joka kuu jekundu
kuokoa na kuwashinda wale waliopotoka,
kufanya kazi ya kuwabadilisha na kuwafanya wapya.