12.18.2018

Tamko la Mia Moja na Kumi na Tisa



Mwenyezi Mungu alisema, Ni lazima nyote muelewe nia Zangu, nyote mnapaswa kuelewa hali Yangu ya moyo. Sasa ni wakati wa kujiandaa kurudi Sayuni, sina mawazo ya lolote isipokuwa hili. Mimi Ninatumaini tu kwamba Ninaweza kukutana nanyi siku moja hivi karibuni, na kutumia kila dakika na kila sekunde pamoja nanyi katika Sayuni.

Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu" | God Is My Salvation



Wakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani, Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu.
Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.
Atamshinda Shetani kumshinda mwanadamu, pia kupitia kukufanya mkamilifu.

12.17.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Mia Moja na Kumi na Saba

 Wewe Ndiwe ambaye hufungua kitabu, Wewe Ndiwe ambaye hufungua mihuri saba, kwa sababu siri zote hutoka Kwako na baraka zote hufichuliwa na Wewe. Mimi sina budi kukupenda Wewe milele, na Mimi sina budi kuwafanya watu wote wakuabudu Wewe, kwa sababu Wewe ni nafsi Yangu, Wewe ni sehemu ya onyesho Langu kamili lenye ukarimu, sehemu ya msingi ya mwili wangu. Kwa hiyo, ni lazima Mimi Nitoe ushahidi maalum.

nyimbo za injili | Jina la Mungu Linatukuzwa Kati ya Mataifa

Kanisa la Mwenyezi Mungu,nyimbo za dini,Nyimbo

Jina la Mungu Linatukuzwa Kati ya Mataifa

I
Kusudi la hukumu ya Mungu ni kuhimiza utiifu wa mwanadamu;
kusudi la adabu ya Mungu ni kuruhusu mbadiliko wa mwanadamu.
Ingawa kazi ya Mungu ni kwa ajili ya usimamizi Wake,
hakuna kitu Anachofanya kisicho kizuri kwa mwanadamu. 

12.16.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Themanini na nane

Mwenyezi Mungu alisema,  Watu hawawezi tu kuwaza kiasi ambacho mwendo Wangu umezidisha kasi: Ni ajabu ambayo imetokea isiyoeleweka kwa mwanadamu. Tangu uumbaji wa dunia, mwendo Wangu umeendelea na kazi Yangu haijawahi kusimama. Ulimwengu wote hubadilika siku kwa siku na watu pia wanabadilika mara kwa mara.

nyimbo za dini | Kiini cha Kristo Ni Mungu

Kiini cha Kristo Ni Mungu

I
Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
Si kupita kiasi kusema hivyo.
Kwani Ana kiini cha Mungu.
Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
ambayo haifikiwi na mwanadamu. 

12.15.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Sabini na Moja

Mwenyezi Mungu alisema, Mimi wote Nimejiweka dhahiri kwenu, lakini kwa nini mnashindwa kutafakari maneno Yangu kwa mioyo na nafsi zenu zote? Kwa nini mnachukua maneno Yangu kama takataka? Je,yote Ninayosema ni makosefu? Je, maneno Yangu yamekupiga katika sehemu ya uzima? Daima kuchelewesha, daima kusita, kwa nini mnafanya mambo hivi?

Gospel Video Clip "Wayahudi Wakienda Uhamishoni Ughaibuni na Injili ya Ufalme wa Mbinguni Ikienezwa"




       Baada ya kufufuka kwa Bwana Yesu, Wayahudi walitupwa uhamishoni duniani kote, na kusababisha injili ya ufalme wa mbinguni kuenea kwa kila kona ya dunia.

12.14.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Sitini na Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Mapenzi Yangu yatokapo, yeyote anayethubutu kupinga na yeyote anayethubutu kuhukumu au kuwa na shaka, mara moja Nitamfukuza. Leo, yeyote ambaye hatendi kulingana na mapenzi Yangu, au yeyote anayeyafikiria mapenzi Yangu visivyo, ni lazima atupwe nje na kuondolewa kutoka kwa ufalme Wangu.

nyimbo za dini | Katika Enzi ya Ufalme, Neno Linatimiza Kila Kitu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,nyimbo za injili,Nyimbo
I
Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anaikaribisha enzi mpya na neno.
Anabadilisha mbinu ya kazi Yake, anafanya kazi ya enzi nzima na neno.
Hii ni kanuni ambayo Mungu anafanya kazi nayo katika Enzi ya Neno.
Alikuwa mwili ili kunena kutoka sehemu tofauti,
hivyo mwanadamu kweli anamwona Mungu, Neno likionekana katika mwili,
anaona ajabu Yake, na anaona hekima Yake. 

12.13.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Sitini na Sita

Kazi Yangu imeendelea hadi hatua ya sasa na yote imefuata mipango ya busara ya mkono Wangu, na pia kuwa fanikio Langu kuu. Nani kati ya wanadamu anaweza kufanya kitu kama hiki? Na je, si wanaona ni afadhali waingilie kati usimamizi Wangu? Lakini lazima ujue kuwa hakuna namna yeyote anaweza kufanya kazi Yangu badala Yangu, sembuse kuizuia, kwani hakuna yeyote anayeweza kusema au kufanya vitu Nifanyavyo na kusema.

nyimbo za dini | Umuhumi wa Maombi

Kanisa la Mwenyezi Mungu,nyimbo za dini,maombi
I
Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu,
kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu.
Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, kutiwa nuru na kuwa na mawazo ya nguvu zaidi.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.