12.13.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Sitini na Sita

Kazi Yangu imeendelea hadi hatua ya sasa na yote imefuata mipango ya busara ya mkono Wangu, na pia kuwa fanikio Langu kuu. Nani kati ya wanadamu anaweza kufanya kitu kama hiki? Na je, si wanaona ni afadhali waingilie kati usimamizi Wangu? Lakini lazima ujue kuwa hakuna namna yeyote anaweza kufanya kazi Yangu badala Yangu, sembuse kuizuia, kwani hakuna yeyote anayeweza kusema au kufanya vitu Nifanyavyo na kusema.

nyimbo za dini | Umuhumi wa Maombi

Kanisa la Mwenyezi Mungu,nyimbo za dini,maombi
I
Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu,
kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu.
Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, kutiwa nuru na kuwa na mawazo ya nguvu zaidi.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni. 

12.12.2018

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Ufalme wa Milenia Umewasili"


Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Ufalme wa Milenia Umewasili"


       Mwenyezi Mungu anasema, "kuwasili kwa Ufalme wa Milenia duniani ni kuwasili kwa neno la Mungu duniani. Kushuka kwa Yerusalemu mpya kutoka mbinguni ni kuwasili kwa maneno ya Mungu kuishi miongoni mwa mwanadamu, kuenenda na kila tendo la mwanadamu, na mawazo yake yote ya ndani.

Tamko la Sitini na Tano

Maneno Yangu daima yanaendeleza barabara, yaani yanaonyesha udhaifu wenu wa jaala, vinginevyo bado mgekuwa mnakokota visigino vyenyu, bila wazo la muda gani ulioko sasa. Fahamu hili! Mimi Hutumia njia ya upendo ili kuwaokoa. Bila kujali jinsi nyinyi mlivyo, bila shaka Nitakamilisha mambo ambayo Nimekubali bila kufanya kosa lolote.

12.11.2018

Tamko la Sitini na Tatu

Mwenyezi Mungu alisema, Zielewe hali zako mwenyewe, na zaidi ya hayo, kuwa wazi kuhusu njia unayohitaji kutembea; usubiri tena Mimi niyainue masikio yako na kukuonyesha mambo. Mimi ni Mungu ninayekagua moyo wa ndani kabisa wa mwanadamu nami najua kila fikra na wazo lako, hata zaidi Naelewa matendo na tabia yako.

Mungu Anamthamini Yule Anayeweza Kusikiliza Neno Lake na Kumtii

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo

Mungu Anamthamini Yule Anayeweza Kusikiliza Neno Lake na Kumtii

I
Mungu hajali kama mtu ni wa chini ama mkubwa.
Mradi tu anamsikiliza Mungu,
anatii kile ambacho Mungu anaamuru na kumwaminia,
anaweza kushirikiana na kazi Yake, na mpango Wake na mapenzi Yake,
ili mapenzi Yake na mpango uweze kuendelea bila kizuizi,
kitendo kama hiki kinastahili, kinastahili kukumbukwa na Mungu,
na kinastahili kupokea, kupokea baraka Yake. 

12.10.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Themanini na Mbili

Mwenyezi Mungu alisema, Wote wanaogopa wanaposikia neno Langu. Wote wamejawa na hofu. Mnaogopa nini? Sitawaua! Ni kwa sababu mnahisi hatia na mnaogopa kugunduliwa. Yale unayoyafanya nyuma Yangu ni ya upuuzi na yasiyo na maana kabisa.

Kuwa Mtu Mpya na Uuliwaze Moyo wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Nyimbo

Kuwa Mtu Mpya na Uuliwaze Moyo wa Mungu

I
Umeona ndani ya moyo wangu, kiburi kilichoje ndani yangu.
Nafikiri kuwa mimi ni mzuri sana na kila kitu ni duni kwangu.
Mkuu na mwenye majivuno, asili yangu ni ngumu kutupa.
Zaidi ya kudharau, mimi ni mdogo. Binadamu wamepotea. Oo, binadamu wamepotea. 

12.09.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Hamsini na Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Tafuta mapenzi Yangu zaidi katika mazingira unayoyakabili na kwa hakika utapata kibali Changu. Ilmradi uwe tayari kwenda katika utafutaji na kuhifadhi moyo ambao unanicha, Mimi Nitakupea yote unayokosa.

Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family


Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family

       Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini Biblia humaanisha kumwamini Bwana."

12.08.2018

Wimbo wa Ufalme (III) Watu Wote, Pigeni Kelele za Furaha!

I

Watu wote wanaona nuru tena katika nuru ya Mungu.

Watu wote wanafurahia mambo mema katika neno la Mungu.

Mungu anatoka Mashariki, na anatokea huko.

Mungu aangaza mwanga Wake wa kupendeza na mataifa yote yanaangaza.

Yote yanaangaza sana, na hakuna linalobaki katika giza. 

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Hamsini na Sita

Mwenyezi Mungu alisema,  Nimeanza kuchukua hatua kuadhibu wale ambao hufanya uovu, wale ambao hushika madaraka, na wale ambao hutesa wana wa Mungu. Kuanzia sasa kuendelea, yeyote anayenipinga katika moyo wake, mkono wa amri Zangu za utawala utakuwa daima juu yake.