12.11.2018

Mungu Anamthamini Yule Anayeweza Kusikiliza Neno Lake na Kumtii

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo

Mungu Anamthamini Yule Anayeweza Kusikiliza Neno Lake na Kumtii

I
Mungu hajali kama mtu ni wa chini ama mkubwa.
Mradi tu anamsikiliza Mungu,
anatii kile ambacho Mungu anaamuru na kumwaminia,
anaweza kushirikiana na kazi Yake, na mpango Wake na mapenzi Yake,
ili mapenzi Yake na mpango uweze kuendelea bila kizuizi,
kitendo kama hiki kinastahili, kinastahili kukumbukwa na Mungu,
na kinastahili kupokea, kupokea baraka Yake. 

12.10.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Themanini na Mbili

Mwenyezi Mungu alisema, Wote wanaogopa wanaposikia neno Langu. Wote wamejawa na hofu. Mnaogopa nini? Sitawaua! Ni kwa sababu mnahisi hatia na mnaogopa kugunduliwa. Yale unayoyafanya nyuma Yangu ni ya upuuzi na yasiyo na maana kabisa.

Kuwa Mtu Mpya na Uuliwaze Moyo wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Nyimbo

Kuwa Mtu Mpya na Uuliwaze Moyo wa Mungu

I
Umeona ndani ya moyo wangu, kiburi kilichoje ndani yangu.
Nafikiri kuwa mimi ni mzuri sana na kila kitu ni duni kwangu.
Mkuu na mwenye majivuno, asili yangu ni ngumu kutupa.
Zaidi ya kudharau, mimi ni mdogo. Binadamu wamepotea. Oo, binadamu wamepotea. 

12.09.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Hamsini na Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Tafuta mapenzi Yangu zaidi katika mazingira unayoyakabili na kwa hakika utapata kibali Changu. Ilmradi uwe tayari kwenda katika utafutaji na kuhifadhi moyo ambao unanicha, Mimi Nitakupea yote unayokosa.

Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family


Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family

       Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini Biblia humaanisha kumwamini Bwana."

12.08.2018

Wimbo wa Ufalme (III) Watu Wote, Pigeni Kelele za Furaha!

I

Watu wote wanaona nuru tena katika nuru ya Mungu.

Watu wote wanafurahia mambo mema katika neno la Mungu.

Mungu anatoka Mashariki, na anatokea huko.

Mungu aangaza mwanga Wake wa kupendeza na mataifa yote yanaangaza.

Yote yanaangaza sana, na hakuna linalobaki katika giza. 

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Hamsini na Sita

Mwenyezi Mungu alisema,  Nimeanza kuchukua hatua kuadhibu wale ambao hufanya uovu, wale ambao hushika madaraka, na wale ambao hutesa wana wa Mungu. Kuanzia sasa kuendelea, yeyote anayenipinga katika moyo wake, mkono wa amri Zangu za utawala utakuwa daima juu yake.

12.07.2018

Shetani Hawezi Kubadili Chochote Chini ya Mamlaka ya Mungu


 Shetani Hawezi Kubadili Chochote Chini ya Mamlaka ya Mungu

I
Ni kwa miaka ngapi, maelfu ya miaka,
Shetani amekuwa akimpotosha mwanadamu, akifanya mabaya mengi sana.
Vizazi, kimoja baada ya kingine vimedanganywa naye.
Oh, ni uhalifu kiasi kipi, uhalifu wa kuogofya
ambao Shetani amefanya katika dunia hii yote. 

Tamko la Hamsini na Mbili

 Mwenyezi Mungu alisema, Ninatokea kama Jua la haki, na nyinyi pamoja na Mimi tunashiriki utukufu na baraka, milele na milele! Huu ni ukweli thabiti, na tayari umeanza kutimizwa kwenu. Kwa yote ambayo Nimewaahidi, Nitawatimizia; yote Nisemayo ni ya kweli, na hayatarudi tupu.

12.06.2018

2018 Gospel Music "Usimamizi wa Mungu Daima Ukiendelea Mbele" (Swahili Subtitles)


2018 Gospel Music "Usimamizi wa Mungu Daima Ukiendelea Mbele" (Swahili Subtitles)

      Mababu wa wanadamu, Adamu na Hawa, walipopotoshwa na Shetani, Mungu alianza usimamizi Wake wa wokovu wa wanadamu. Tangu wakati huo, Amefanya kazi bila ya kukoma: Mungu alitangaza sheria kuwaongoza wanadamu, na Yeye binafsi alikuja miongoni mwa wanadamu kusulubiwa na kuwakomboa wanadamu, na katika siku za mwisho, Mungu anaendelea na kazi Yake, akitimiza unabii wa Biblia: "Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali" (Yohana 14:2).

Kufanikiwa au Kushindwa Kunategemea na Ufuatiliaji wa Mwanadamu

I
Mwanadamu anapaswa kutekeleza wajibu wake
kama kiumbe wa Mungu,
atafute kumpenda Mungu bila chaguo lingine,
kwa kuwa Mungu anastahili upendo wa mwanadamu.
Watu ambao hutafuta kumpenda Mungu
hawapaswi kutafuta faida ya binafsi,
au kile wanachotaka wenyewe. 

12.05.2018

Tamko la Thelathini na Saba

Mwenyezi Mungu alisema,  Kwa kweli hamna imani mbele Yangu na mara kwa mara mnajitegemea wenyewe kufanya mambo. "Hamuwezi kufanya chochote bila Mimi!" Lakini nyinyi watu wapotovu daima mnachukua maneno Yangu ndani ya sikio moja na linatokea nje ya lile nyingine. Maisha siku hizi ni maisha ya maneno; bila maneno hakuna maisha, hakuna uzoefu, wala hakuna imani. Imani iko katika maneno; ni kwa kuegemea zaidi ndani ya maneno ya Mungu ndio mnaweza kuwa na kila kitu. Msihangaike kuhusu kutokomaa; maisha yanachipuka, sio kwamba watu hukomaa kwa kuhangaika.