Ishara ya Tabia ya Mungu
I
Tabia ya Mungu inajumuisha upendo Wake na faraja Yake kwa binadamu,
inajumuisha chuki Yake na ufahamu Wake wa kina wa binadamu.
Tabia ya Mungu,
tabia ya Mungu ni kitu ambacho Mtawala wa viumbe vyote vinavyoishi
au kile ambacho Bwana wa uumbaji wote anacho.
Tabia ya Mungu
inawakilisha heshima, nguvu, na maadili,
inawakilisha ukuu na utawala.