11.21.2018

Mungu Humkimu Kila Mtu kwa Unyamavu

Mungu Humkimu Kila Mtu kwa Unyamavu

I
Mungu huyakimu mahitaji ya kila mtu, kila mahali, wakati wote.
Yeye huyachunguza mawazo yao yote, jinsi mioyo yao hupitia mabadiliko.
Na Yeye huwapa faraja wanayohitaji, akiwatia moyo na kuwaongoza.
Kwa yule anayempenda Yeye, kwa yule anayefuata,
Mungu hatakatalia chochote, baraka Zake zote zitajitokeza. 
Yeye huwapa wote neema, na rehema Yake hutiririka kwa mapana.
Kile Anacho na kile alicho, Yeye hutoa bila kusita.
II
Ingawa wanadamu hupuuza mawazo Yake, Mungu bado huwaongoza katika mwanga,
huwakimu na kuwasaidia waifuate njia Yake, akiwasaidia wote kutii,
ili waweze kupokea kutoka kwa mkono Wake majaliwa mazuri yaliyopangwa.
Kwa yule anayempenda Yeye, kwa yule anayefuata,
Mungu hatakatalia chochote, baraka Zake zote zitajitokeza.
Yeye huwapa wote neema, na rehema Yake hutiririka kwa mapana.
Kile Anacho na kile alicho, Yeye hutoa bila kusita.
III
Mungu hajawahi kufichua maumivu yote ambayo Yeye huvumilia, au hali Yake ya mawazo.
Hakuna malalamiko yatakayosikika, wakati hakuna mtu hujali au kuelewa.
Mungu hungojea mpaka siku moja waamke.
Kwa yule anayempenda Yeye, kwa yule anayefuata,
Mungu hatakatalia chochote, baraka Zake zote zitajitokeza.
Yeye huwapa wote neema, na rehema Yake hutiririka kwa mapana.
Kile Anacho na kile alicho, Yeye hutoa bila kusita.
Kile Anacho na kile alicho, Yeye hutoa bila kusita.
Kile Anacho na kile alicho, Yeye hutoa bila kusita.
kutoka kwa "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

      Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni