- Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu
- I
- Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana,
- vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu.
- Angalia kandokando yako, si kama awali,
- kila kitu ni kizuri na kipya.
- Kila kitu kimehuishwa, vyote vimetengenezwa upya,
- vyote vimetakaswa.
- Tunamsifu Mungu, tukijawa furaha,
- nyimbo za sifa zinapepea mbinguni Kwake.
- Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
- Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.
- Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
- Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.
- II
- Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu,
- isifuni hekima Yake, isiyoshindwa.
- Isifuni tabia Yake yenye haki,
- msifuni kwa kuwa ni Mungu mwaminifu.
- Kazi halisi ya Mungu imebadilisha tabia yangu ya kutotii.
- Nimeadhimiwa na kazi iliyoteuliwa ya Mungu,
- kushuhudia kwa matendo Yake matakatifu.
- Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
- Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.
- Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
- Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.
- III
- Wale wanaompenda Mungu, mtiini daima,
- na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi wa neno Lake.
- Baada ya kuacha dhambi zao na uchafu,
- wote huwa watakatifu.
- Kuwa na ushuhuda kwa jina takatifu la Mungu,
- baada ya kuutosheleza moyo wa Mungu.
- Uadilifu na utakatifu kujaa katika ulimwengu huu,
- kila mahali ni pazuri na papya.
- Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
- Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.
- Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
- Kuimba sifa kwa Mungu kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.
- IV
- Tukuzeni ufanikishaji wa kazi ya Mungu,
- Mungu ametukuzwa kikamilifu,
- wote na yeyote anafanya kutii,
- kila mmoja ana mahali pa mwisho pa kupumzika.
- Watu wa Mungu, watakatifu hata zaidi,
- humtukuza Mungu wa kweli.
- Pamoja na Yeye, wametota kwa furaha.
- Wametota kwa furaha.
- Mtukuzeni! Pamoja, sisi humtukuza!
- Nyimbo zetu za sifa hazitafika kikomo kamwe.
- Mtukuzeni! Pamoja, sisi humtukuza!
- Nyimbo zetu za sifa hazitafika kikomo kamwe,
- hazitafika kikomo.
- kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu nyimbo za injili
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni