- I
- Mnyenyekevu na Uliyejificha,
- Waambatana na watu katika matatizo yao,
- Ukiwapa njia ya uzima wa milele.
- Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwenyewe.
- Na Wastahili upendo wao.
- Afadhali Uteseke Mwenyewe,
- ili Umwezeshe mwanadamu apate faida.
- Na Wanyesha uzima juu yao.
- Moyo Wako unapendeza kweli,
- Wewe ni mwenye haki sana
- na Wastahili sifa ya mwanadamu.
- Maneno Yako yanitwaa.
- Hukumu Yako yanitakasa.
- Wewe pekee Waweza niokoa.
- Unanipogoa na kunishugulikia,
- kunijaribu na kuniboresha.
- Wewe tu Waweza kunikamilisha. Wewe tu.
- II
- Upendo Wako wanibeba kupitia njia ya dhiki,
- na ninaonja utamu.
- Ukifahamu mwanadamu ni mnyonge,
- Wewe waweza kuwaelewa.
- Mwanadamu angewezaje kukusahau Wewe?
- Unaishi na watu na kuwaongoza binafsi (binafsi),
- ukiwapa kitu cha kutegemea (kitu cha kutegemea).
- Wateseka kwanza, ukiwa mfano kamili.
- Na upendo Wako u kati ya mwanadamu.
- Maneno Yako yanitwaa.
- Hukumu Yako yanitakasa.
- Wewe pekee Waweza niokoa.
- Unanipogoa na kunishugulikia,
- kunijaribu na kuniboresha.
- Wewe tu Waweza kunikamilisha.
- III
- Upendo Wako ni wa thamani, na wapendeza sana.
- Umeacha hisia Zako za kweli kati ya mwanadamu.
- Kama ningekuamini lakini nisikupe moyo wangu wote,
- ningeishi maisha yangu nikijuta.
- Ikiwa ningekuamini lakini nisiwe mwaminifu,
- basi ningekuwaje mwanadamu?
- (Hah ... hah ... hah ... hah ...)
- Maneno Yako yanitwaa.
- Hukumu Yako yanitakasa.
- Wewe pekee Waweza niokoa.
- Unanipogoa na kunishugulikia,
- kunijaribu na kuniboresha.
- Wewe tu Waweza kunikamilisha.
- Upendo Wako ni wa thamani, na wapendeza sana.
- Umeacha hisia Zako za kweli kati ya mwanadamu.
- Wewe tu Waweza kuniokoa.
- Ni Wewe tu Unayeweza kunikamilisha.
- kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Tazama zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni